Categories
Dondoo za afya Tendo la ndoa

Jinsi ya Kukipata na Kusugua Kipele G au G spot

g spot
kipele G

Ni wazi kwamba kumfikisha kileleni mwanamke ni ndoto ya kila mwanaume pale anapofanya mapenzi. Kwa bahati mbaya wengi hawafahamu ni jinsi gani amkune mwanamke ili kumfikisha kilaleni, jambo ambalo hupelekea kuvunjika kwa mahusiano ama mwamanamke kutoka nje ya ndoa.

Kufika kileleni kwa mwanamke kunamsaidia kupunguza mawazo, kuimarisha afya ya ngozi na kumfanya awe na furaha. Wanawake wengi karibu asilimia 75 wanahitaji kuchezewa kisimi ndipo kufika kileleni, kwa maana hiyo ni wanawake wachache asilimia 15 tu ambao hufika kileleni kwa kumsugua ukeni kupitia uume. Kumbe kazi ya ziada inahitajika ili kumfikisha mwanamke kileleni na ndio somo letu la leo, endelea kusoma.. Tutazungumzia eneo moja lililojificha ambalo likisisimuliwa vizuri mwanamke atafika haraka kileleni. Eneo hili huitwa G spot au kipele G. Kabla ya kusoma kwa undani makala yetu, fahamu kwamba siyo kila mwanamke anaweza kupata msisimko na kufika kileleni kupitia kipele G, lakini wengie wao.

Nini Maana ya G spot au kipele G?

Pengine umewahi kusikia watu wakiongelea kuhusu kipele G katika kumfikisha mwanamke kilaleni, lakini bado hujui ni nini hasa? G spot kwa kirefu Grafenberg spot au kipele G ni eneo ndani ya uke, lililogunduliwa na Dr. Beverrly kwamba linaweza kuzalisha hisia kali endapo litakunwa kwa kutumia kidole cha shahada kwa mtindo wa kumwita mtu.

Muhimu kufahamu kuhusu G spot

Jambo la kufahamu ni kwamba kipele G siyo kiuongo ambacho kinajitegemea, bali ni mwendelezo wa kisimi kwa upande wa ndani. Kisimi ni kama mlima barafu juu ya maji(iceberg), unauona umeelea kwenye maji lakini una mizizi pia chini ya maji. Kisimi pia kimegawanyika katika kuna eneo la nje na eneo liliojificha la ndani ambako ndipo kuna G spot. Endapo kipele hiki kikikunwa vizuri basi humfanya mwanamke kumwaga hraka na akafika kileleni.

Jinsi ya Kukipata Kipele G (G spot)

Kupata kipele G inaweza kuwa changamoto kidogo kutokana na kutofautiana kwa maumbile ya wanawake. Kwanza hakikisha umerelax wakati unamwandaa mwanamke kufanya tendo la ndoa.

Jinsi ya kukuna kipele G

Kwa kutumia kidole chako cha shahada, ingiza taratibu kwenye uke wakati mwanamke amelala chali, chezesha kidole chako kwa kukuna eneo la juu la uke kama picha inavoonesha hapo juu. fanya hivo taratibu wakati huo unafatilia mabadiliko ya kihisia ya mwanamke. Badala ya kuingiza kidole na kutoa nje fanya kwa mtindo huo hapo juu.

Kumbuka kila mwanamke anpenda kushikwa mahali fulani ambapo anasisimuka zaidi, kwahivo ni vyema pia kuongea na mpenzi wako akweleze ni wapi panapomsisimua zaidi kwenye mwili. Chukua muda kumfahamu zaidi mpenzi wako ni kipi anataka kufanyiwa pale mnapokuwa kitandani ili wote mfurahie mapenzi.

Staili nzuri ya Kumuweka Mwanamke ili Kusisimua Kipele G.

Kama unapenda kusisimua G spot na kumfikisha mwanamke kileleni basi mikao hii iatsaidia kukipata na kukisisimua haraka kipele G

  • Closed missionary position au kifo cha mende:Mtindo huu unahitaji mwanamke kulala chali na kisha mwanamume unamwingia katikati ya miguu yake akiwa ameikunja kidogo, kisha taratibu unaingiza kidole cha shahada ukeni na kuanza kukuna.
  • Doggy style au kichuma mboga: Style hii inahitaji mwanamke kujikunja magoti na mwanaume kuja kwa nyuma ya makalio. Mkao huu unafanya uume kuingia kiurahisi na wote kwenye uke, kupitia style hii unaweza kusisimua kipele G kwa kuingiza uume kwa spidi inayokufaa, wakati huo unabadilisha engo ya mkao.
  • Cowgirl au kibodaboda: Style hii inakufanya uguse kipele G kwa urahisi wakati huo mnashiriki tendo la ndoa. Mwanaume analala chali na mwanamke anamkalia kwa juu na kuanza kuingiza uke kama vile ananyonga baiskeli.

Angalizo: mwanamke anatakiwa akwenda pole pole ili kuepusha majeraha kwenye uume endapo ataukali vibaya. Badala ya mwanamke kwenda juu na chini, ajaribu kupump kwa kwenda mbele na kurudi nyuma.

Tafuta staili Utakayoifurahia zaidi

Usiige unachoona kwenye video za ngono, vingi siyo uhalisia na vinaweza kukuathiri kisaikologia pale utakaposhindwa kuvitimiza. Badala yake shirikiana na mwenza wako mkubaliane mkao ambao hauumizi na utakaowapa raha ya tendo wote wawili. Jambo la muhimu ni kuridhika na kumridhisha mwanamke. Usiogpe pia kujaribu staili mpya ama kutumia zaidi ya staili moja kwa wakati mmoja wa tendo.

Soma makala inayofuata: Kwanini uume hulegea na kushindwa kuhimili tendo la ndoa

Share and Enjoy !

Shares
Shares