virutubisho asili vya mifupa na joints
joint health.

Kazi na Faida zake:
- Kuondoa maumivu na uvimbe unaosababishwa na arthritis
- Kuondoa magonjwa ya uchakavu wa viungio vya mifupa kwa watu wa umri wa kati na wazee
Inafaa Kutumika Kwa:
- Watu walioumia joints
- Watu wenye magonjwa ya uchakavu wa maungio ya mifupa na maumivu ya mifupa kama rheumatoid arthritis na/au osteoarthritis
- Watu wenye matatizo ya cervical spondylosis, lumbar spondylosis na gout
- Wanariadha au watu wanofanya mazoezi ya viungo
- Watu wenye umri mkubwa.
- Gharama. Tsh 75,000/=, vidonge 60
-
Calcium tablets.

kazi na faida za kirutubisho cha Calcium.
- Kujenga afya ya mifupa na meno, na kuzuia kumomonyoka kwa mifupa (osteoporosis).
- Kusaidiaa kuuweka uzito wa mwili katika kiwango kizuri
- Kuzuia maumivu kabla ya hedhi (PMS) au matatizo baada ya kukoma hedhi
- Kuboresha ufanyaji kazi wa moyo na misuli ya moyo
- Kuboresha mawasiliano ya neva
- Kuzuia matatizo ya kubanwa misuli (muscle spasms)na maumivu kwenye mapaja, mikono na kwapani, na kutoa jasho usiku.
- Gharama Tsh 80,000/= vidonge 100.
3. Compound marrow.

kazi na faida zake.
- Kuongeza calcium na magnesium kuondoa dalili za osteoporosis kama maumivu ya maungio ya mifupa na sehemu ya chini ya mgongo;
- Kuimarisha utengenezaji wa damu;
- Kuimarisha kinga za mwili na kuondoa uchovu;
- Kuboresha usingizi na kumbukumbu, kuzuia kuzeeka kwa haraka
Yafaa Kutumika Kwa:
- Watu wenye upungufu wa calcium na wenye tatizo la osteoporosis
- Watu wenye matatizo ya mifupa au maungio ya mifupa kama arthritis
- Watu wenye utapiamlo
- Watu wenye upungufu wa kinga za mwili
- Watu wenye upungufu wa damu
- Gharama: Tsh 75,000/=, pakiti 24 zenye ujazo wa 15gm kila moja.