Njia Salama ya kusafisha Kizazi

ucp kusafisha kizazi
vidonge vya kusafisha kizazi vya UCP

Fahamu kwanini Nakushauri Kutumia Vidonge vya Ucp kusafisha kizazi na Siyo Njia nyingine.

UCP ni dawa asili yenye vidonge 2 kama vinavyoonekana kwenye picha hapo juu. Ambayo vinatumika kwa siku wiki moja, kwa kuweka kidonge ukeni na kutoa kila baada ya siku tatu. Kisha unapumzika masaa 24 unaweka tena kidonge kingine. Vimetengenezwa kitaalamu kupitia muunganiko wa mimea na kuhifadhiwa vizuri ili kutunza uasili wa dawa pasipo kuwekwa kemikali.

UCP imetengenezwa kiasili ili kutatua changamoto mbalimbali za wanawake kama kuziba kwa mirija, uchafu ukeni. PID na ugumba.

Vidonge hivi vya UCP vitakusaidia kutibu Changamoto zaidi za Uzazi

Kwa mwanamke kusafisha kizazi ni jambo la msingi hasa pale unapotaka kushika mimba ama baada ya mimba kuharibika.

  • Kwa tiba ya hospitali kusafisha kizazi kwa Kifaaa cha MVA ambacho hutumika kusafisha kizazi pamoja gharama za dawa inaweza kufikia shilingi laki 3 na kuendelea. Gharama hii yaweza kuwa kikwazo kwa wanawake wengine kufikia lengo la kusafisha kizazi.
  • Vidonge vya UCP vinagharimu pesa kidogo tu sh elfu 50 ukilinganisha na gharama ya kusafisha kizazi hospitali, na uwezo wa vidonge hivi vya UCP wa kusafisha ni mkubwa zaidi na ni rahisi kutumia.
  • Kutumia vidonge vya UCP inakuepusha na maambukizi pamoja na makovu ambayo unaweza kupata wakati wa kuingiziwa kifaa cha kukusafisha hospitali.
  • Vidonge vya UCP vinakusaidia pia kuongeza uzalishaji wa ute kwenye uke, ute ambao ni muhimu kwa mimba kutungwa.

Makundi ya Wanawake Wanaotakiwa Kutumia Vidonge hivi vya UCP.

Wanawake wenye

  • Uvimbe kwenye kizazi
  • Uvimbe kwenye mifuko ya mayai (ovarian cysts)
  • Maambukizi sugu kama kwenye kiazi mfano PID
  • Kuvurugika kwa hedhi
  • Kukosa hamu ya tendo la ndoa na maumivu wakati wa tendo
  • Kuziba kwa mirija ya uzazi
  • Kuhitaji kuimarisha misuli ya uke uliolegea
  • Kutokwa na uchafu wenye harufu ukeni na
  • Waliowahi kutoa mimba au kuharibikiwa na mimba

Ucp haitumiki kwa Wanawake hawa

  • Wenye mimba
  • Wanawake bikira

Hatua Zaidi za Kuimarisha Afya ya Kizazi ukiwa Nyumbani kwako

Hapa chini ni maelezo ya jumla namna ya kurekebisha mtindo wako wa maisha ili kuimarisha afya ya kizazi. Ikiwa una magonjwa kama fibroids, ovarian cysts na kuziba kwa mirija hakikisha unapitia makala zake ambazo tayari tumeshaziandaa hapa kwenye website yetu.

Mazoezi: Hii ni hatua ya kwanza kabisa kuelekea kwenye kusafisha kizazi chako. Maozei ya kutembea na Yoga ni mazuri zaidi hata kama wewe ni mvivu wa kwenda gym au uwanjani, yanasaidia kuimarisha mzunguko wa damu na unyumbulikaji wa misuli kwenye kizazi.

Fertility Massage:Kufanya msaji eneo ya tumbo chini ya kitovu pande zote kulia na kushoto ni njia moja rahisi ambayo unaweza kuifanya ukiwa nyumbani pasipo gharama. Masaji ya tumbo inasaidia

  • Kuimarisha mzunguko wa damu kwenye kizazi,ovari na mirija ya uzazi
  • Kusaidia uwiano wa vichocheo
  • Kuongeza uwezo wa kizazi kujisafisha kwa kutoa tishu zilizokufa na damu ya hedhi
  • Kuimarisha usambazaji wa hewa safi ya oksijeni kwenye kizazi na Kuimarisha misuli ya kizazi.

Ushuhuda wa Mgonjwa aliyetafuta mimba kwa muda mrefu.

Gharama za vidonge vya UCP ni Tsh 50,000/=. Elfu hamsini

Kutokana na ukubwa wa tatizo lako tunaweza kushauri utumie zaidi ya dozi moja. Huhitaji kuagiza Indonesia au China ambako zinatengenezwa, tayari tumekuletea tiba hapa nyumbani.
Ofisi zetu zipo Dar esalaam, Magomeni Mwembechai, Jengo la Mwembechai Plaza.

Angalizo

Kuna wimbi kubwa la wajasiliamali mitandaoni wanauza vidonge vyenye mfanano na hivi vya UCP, tena wanauza kwa bei rahisi sana. Watu hao siyo madaktari wala siyo wataalamu wa afya na wanauza bidhaa feki ambazo ni hatari wa afya yako. Wengi wao hawana hata ofisi, ukipata madhara unakosa pa kuuliza. Kuwa makini na watu hao, wamejaa sana insta na fb.

Tuandikie kwa whatsapp namba 0678626254 upate huduma, nawe uwe shuhuda wetu.

Makala inayofuata: Kinachopelekea kuziba kwa mirija ya uzazi

Share and Enjoy !

Shares
Shares