Green world Diabetic Care Pack

Kipimo cha kisukari

Kisukari ni ugonjwa wa Namna gani?

Kisukari ni ugonjwa wa kitabia/lifestyle (ikimaanisha ni matokeo ya ufanyaji kazi wa mwili) unaotokea baada ya shida kwa mwili kupangilia utolewaji wa kichocheo ama hormone ya insulini. Hivo dalili za Kisukari ni matokeo ya kupanda kwa kiwango cha sukari kwenye damu kunakotokana na kufeli kwa kichocheo hiki cha insulini kufanya kazi.

Dawa na Virutubisho vya Green World Kutibu Kisukari

Kwa kulingana na hali ya mgonjwa wa kisukari yani dalili anazopata, ameugua sukari kwa muda gani, ana changamoto gani zingine mfano presha ya kupanda, uzito mkubwa na kitambi, upungufu wa nguvu za kiume; daktari anaweza kushauri utumie dozi ya namna gani na kwa muda gani. Wakati unaendelea na tiba tutakupa mwongozo wetu wa lishe ufatilie.

Balsam Tea+Glucoblock Capsule

Balsam tea imetengenezwa kwa viungo vya balsam pear na Green tea Powder

Kazi na faida za balsam tea+Glcoblock kwa Mgonjwa wa Kisukari

  1. Kuondoa dalili mbaya za kisukari kama kiu, ganzi, mdomo kukauka na uchovu;
  2. Kuunguza kiwango cha sukari kinachofonzwa kwenye damu na hivo kupunguza sukari kupanda mara kwa mara;
  3. Kuongeza uwezo wa mwili kusikia uwepo wa insulin(Kumbuka mgonjwa wa kisukari anaugua kwasababu mwili unakuwa sugu hausikii uwepo wa insulin)
  4. Kurekebisha seli za Kongosho ambazo ndizo huzalisha insulini inayopunguza sukari mwilini.
    Bei ya balsam tea ni Tsh 50,000/= na Glucoblock capsule ni tsh 75,000/=, jumla Tsh 125,000/=

Tuandikie kwa whatapp namba 0678626254 kuanza Tiba

Share and Enjoy !

Shares
Shares