virutubisho vya asili kwa ajili ya afya ya ubongo.
1. fish oil
Sifa na faida za fish oil kwenye afya ya ubongo na moyo.
- Kupunguza kiwango cha lipids (mafuta kama cholesterol na triglycerides) kwenye damu,
- Kupunguza mpambano/mcharuko (inflammation) unaoendelea ndani kwa ndani kwenye mwili. mpambano huu huletekeza matatizo ya kiafya kama mzio, alegi na maumivu ya viungo
- kupanua na kulainisha mishipa inayobeba damu yenye oksijeni (ateri).
- walengwa: watu wenye matatizo ya moyo na ubongo (mfano kupoteza kumbukumbu)
- Gharama: Tsh 85,000/=, vidonge 100.
2. Coenzyme Q10 kazi na faida za Coenzyme Q10 kwenye mwili
- Ni antioxidants ambazo huzuia magonjwa yanayodhoofisha misuli ya moyo na ubongo
- Kuongeza stamina na kujenga mwili
- kirutubisho hiki kinawafaa zaidi : watu wenye matatizo ya kifafa, matatizo ya moyo kama myocardial infarction, shinikizo kubwa la damu, cholesterol nyingi na angina pectoris
- wagonjwa wanaotumia tiba ya chemotherapy na radiotherapy
- wagonjwa wanaopata ganzi mara kwa mara na waliowahi kufanyiwa upasuaji wa moyo.
Gharama: Tsh 85,000/= vidonge 60
3. Ginkgo biloba
Kazi Na Faida Zake kwenye afya ya ubongo
- Kuua makali ya radikali huru(free radicals) na kuondoa madhara yatokanayo na kuzeeka kwa viungo
- Kuongeza uwasilishaji wa oksijeni kwenye ubongo na kuongeza kumbukumbu
- Kuzuia kudhoofika kwa macula kunakotokana na uzee
- Kuzuia au kuponya matatizo ya maumivu ya miguu (intermittent claudication)
walengwa: wazee, wenye matatizo ya ubongo na moyo, wenye kinga ndogo, wenye kupoteza kumbukumbu na wanaopenda kuzuia uzee wa haraka.
Gharama: Tsh 75,000. vidonge 60