Kuimarisha afya ya mishipa midogo ya damu , kuondoa maumivu na ukavu wa macho
Kutibu changamoto za mtoto wa jicho, macho kuwa mekundu(conjunctivitis) , kushindwa kuona usiku, na pia kushindwa kuona mbali (myopia)
Inasaidia kulipa jicho virutubisho vinavyohitajika ili kuimarisha mzunguko wadamu kwenye macho.
Inaimarisha uwezo wa kuona na ubora wa macho.
Eye Care Softegel inawafaa Zaidi Makundi haya
Wagonjwa wa macho
Waathirika wa kisukari na kupelekea macho kushindwa kuona vizuri
Watu wote wanaohitaji kukinga macho na kuzuia macho kuzee ka mapema
Wanaotumia vifaa kama kumpyuta kwa muda mrefu
Gharama ni Tsh 80,000/=
2.Green world Vitamin C Tablets
Kazi na faida za Vitamin C kwa Mgonjwa wa Macho
Kuimarisha ufanyaji kazi wa lenzi ya macho. Tafiti zinasema matumizi ya Vitamin C yanaimarisha mzunguko wa damu kwenye macho na hivo macho kuona vizuri.
Kuondoa maumivu na muwasho kwenye macho
Kuimarisha uwezo wa mwili kujisafisha na kutoa sumu (detoxification) Gharama ni Tsh 50,000/=