Soy Power Suluhisho la Ugumba kwa Wanawake

Je wafahamu kwamba Ugumba kwa mwanamke unatibika?Kama ukijua chanzo cha tatizo lako na ukatumia dawa sahihi tatizo lako litaisha na utaweza kushika ujauzito. Kwa bahati mbaya dawa nyingi zilizopo sokoni hazina ubora na hazilengi kutatua tatizo kiukamilifu. Najua unaweza kuwa umepoteza pesa nyingi kutibu shida yako ya ugumba bila mafanikio.

Soma makala yetu tuliyoandaa kuhusu ugumba kwa wanawake na sababu kwanini dawa kama Soy power imepata umaarufu sana katika nchi za wenzetu kutibu ugumba kwa wanawake kwa miaka mingi hata kuuzwa bei ghali hadi $66 sawa na 150,000 za kitanzania na ushuhuda wa wanawake waliowahi kutumia Soy power na kushika ujauzito ndani ya mwezi mmoja wa kutumia dawa.

Kama wewe ni mwanamke naamini bila shaka una ndoto ya kupata mtoto na kulea kwa siku za hapo mbele, vipi ndoto hii inapokatishwa na malengo yakabadilika kabisa.Takwimu za idadi ya wanawake wagumba zinaongezeka siku hadi siku duniani kote, huku lawama zikienda kwenye sumu zinazotuzunguka na lishe mbaya.

Ugumba Ni Nini?

Ugumba kwa mwanamke ni hali ya kutoweza kupata ujauzito kwa mwanamke pale ambapo unashiriki ngono pasipo kinga kwa muda wa mwaka mmoja. Kuna sababu nyingi zinazosababisha mwanamke kutoshika ujauzito, sababu hizi ni kama, Lishe mbaya, Msongo wa mawazo kupita kiasi, Athari ya Magonjwa ya zinaa, Matatizo kwenye tezi ya thairodi, Maambukizi ya fangasi ukeni, Kufanya mazoezi makali sana, Uzito mkubwa na kitambi na Mvurugiko wa homoni.

Mazingira Hatarishi na Sababu Zinazopelekea uwe Mgumba

Kikawaida mwanamke na mwanaume wanapokosa mtoto kwa muda mrefu huanza kufikiria kwamba tatizo lipo kwa mwanamke kitu ambacho maranyingi siyo kweli, mwanaume pia anaweza kuwa mgumba na mbegu zake kuwa dhaifu au kuwa chache na kushindwa kumpa mwanamke mimba. Nashauri pale mnapogundua kuna shida kama hii basi wote wawili nendeni hospitali mkapime kujua nini chanzo cha ugumba.

Mazingira mengi hatarishi ambayo hupelekea mwanamke kuwa mgumba unaweza kabisa kuyaepuka, mazingira haya ni kama lishe mbaya, msongo wa mawazo, uvutaji wa sigara na kunywa pombe, uzito mkubwa na kitambi, matatizo ya tezi ya Thairodi na magonjwa ya zinaa. Sababu pekee ambayo ni vigumu kuepuka ni umri, kadiri umri unavoenda ndivo uwezo wa kushika mimba unapungua. Mazingira haya hatarishi hupelekea matatizo kwenye uzazi kama

  • Mayai kutopevuka
  • Ugonjwa wa vimbe kwenye mifuko ya mayai Polycystic ovarian syndrome
  • Kiwango kikubwa cha homorne ya prolactin ambacho huhusika na utengenezwaji wa maziwa ya mtoto.
  • Majeraha kwenye mirija ya uzazi ama kuziba kwa mirija ya uzazi na
  • Kukua kupita kiasi kwa tishu za mfuko wa mimba (endometriosis)

Nitajuaje Kama Mimi ni Mgumba

Kwa kutazama dalili hizi hapa chini unaweza kujifahamu kama wewe ni mgumba

  • Kushindwa kushika ujauzito kwa zaidi ya miezi 6 mpaka mwaka
  • Kuwa na mzunguko mrefu wa hedhi zaidi ys siku 35 ama chini ya siku 21
  • Hedhi kuvurugika na kubadilika badilika
  • Kukosa hedhi kabisa; hii inaweza kuwa kiashiria na mayai kutopevuka

Habari njema ni kwamba wanawake wengi wameshika ujauzito baada ya kutumia kirutubisho cha Soy power kupevusha mayai. Ngoja nikupe maelezo jinsi gani Soy power itarudisha matumaini yako na ukapata ujauzito mapema ili uwe shuhuda wetu kwa wagonjwa wengine.

 SOY POWER

 Soy Power ni Kitu Gani Hata Kiwe Adimu Zaidi?

Soy power ni kirutubisho kilichotengenezwa nchini Marekani baada ya kufanyiwa utafiti wa kisayansi kwenye maabara kwa muunganiko wa mimea tiba aina tano ambayo ni Semen Glycine, Radix Paeoniae Alba Extractum, Ganoderma, Soy Isoflavones. Kirutubisho hiki kimekuwa maarufu sana kwenye nchi za wenzetu kama Marekani, China na India kwa kutibu ugumba kwa wanawake na kuzuia saratani ya matiti.

Kazi na Faida za Soy power kwa Mwanamke

  1. Kuimarisha utendaji wa ovari na mayai kupevuka kwa wakati
  2. Kurekebisha homoni za kike na hivo kuimarisha uwezo wa kushika mimba
  3. Kuzuia saratani ya matiti
  4. Kupunguza kasi ya uzee, kungarisha afya ya ngozi
  5. Kupunguza upotevu wa uimara mifupa hasa kwa wanawake waliokoma hedhi.

Soy Power Inawafaa Zaidi

  • Wanawake waliokosa mimba kwa mda mrefu
  • Wanawake wenye mvurugiko wa homoni
  • Wanawake wenye mtatizo ya hedhi
  • Wanawake wenye ugumba kutokana na kiwango kidogo cha estrogen
  • Wanawake ambao wamekaribia ama wameshakoma hedhi na
  • Wanawake wanaokosa hamu ya tendo la ndoa na kukosa usingizi mzuri.

USHUHUDA KUTOKA KWA WANAWAKE WALIOWAHI KUTUMIA SOY POWER.

1.Ana Kutoka Dar es salaam.

Mwezi wa 11 Mwaka 2016 Mume wake ana linitafuta na kunieleza shida ya kiafya ya mke wake.Ana na mke wake walishahangaika kwa muda wa miaka mitatu tangu wafunge ndoa bila kupata mtoto.Walizunguka hospitali zote kubwa hapa mjini bila kupata ufumbuzi wa tatizo lao, mpaka wakaanza kukata tamaa.

Kwa bahati nzuri wote wawili walishafanya vipimo na kujua chanzo cha kutopata mtoto. Ana alikuwa na tatizo la kuvurugika kwa homoni na Mume wake alikuwa na mbegu chache za kiume (low sperm count. Niliwapatia kirutubisho kimoja kimoja kwa kila mtu. Ambapo Ana Nilimpatia Soy power.

Mwezi wa 12 nilipata ujumbe huu hapa chini kutoka kwa Mume wake Ana akishukuru kwamba dawa zimeleta matokeo na Mke wake amepata ujauzito ndani ya muda mfupi kabla hata dozi haijaisha.

Ujumbe wa ushuhuda kutoka kwa Mume wa Ana

Ana alifanikiwa kujifungua mtoto wa kike na sasa ana miaka miwili na Afya njema.Hawa ni moja ya wanandoa kati ya wengi waliowahi kupona matatizo ya ugumba kupitia dawa zetu. Karibu nawe uwe shuhuda wetu na tuweze kutimiza ndoto za wengi kupata watoto.

Kirutubisho hiki cha Soy Power utakipata kwa Gharama ya Tsh 90,000/=  Shilingi elfu tisini pekee, Kina jumla ya vidonge 90 vilivyoandaliwa baada ya kuunganisha mimea aina 5 na kuhifadhiwa katika mfumo wa vidonge.

Muhimu

Muhudumu atachukua maelezo yako kwa kina, na anaweza kukushauri kuongeza dawa zingine mfano dawa ya kusafisha kizazi uterus cleansing pills au dawa zingine kufuatana na chanzo cha tatizo lako.

Ofisi zetu zipo Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai,
Chati na Daktari kwa Whatsapp kupitia namba : 0678626254 kupata Huduma

Share and Enjoy !

Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shares