Vitamins na madini

virutubisho kwa ajili ya kuongeza vitamins na madini.
 1. Vitamini

vitamini na madini ni muhimu katika kuimarisha ufanyaji kazi za mwili. Mwili wa binadamu hautengenezi vitamini lakini unahitaji vitamini hizi kutoka kwenye vyanzo kama chakula, mboga na matunda. vitamin ni muhimu zaidi kwenye mwili kiasi kwamba inapopungua kidogo husababisha mabadiliko kwenye seli mfano upungufu wa vitamin A husababisha matatizo kama ukavu wa macho na ngozi na kushindwa kuona vizuri.

2. Madini

Madini ni muhimu pia katika kufanya kazi kwa seli, upungufu wake kidogo huweza kuzorotesha kinga ya mwili na kazi mbalimbali za mwili. madini kama calcium ambayo yako kwa wingi zaidi kwenye mwili , husaidia kujenga mifupa na meno, kuhusika katika usafirishaji wa taarifa ndani ya neva, mawasiliano ya seli na katika utoaji wa vichocheo mbalimbali vya mwili.


 1. kirutubisho cha Multivitamin

  kinafaa zaidi kwa watu wazima na watoto wenye upungufu wa vitamin na watu wanaokosa mlo kamili. Multivitamin imejazwa vitamin A, B1, B2, B6, B12, Vitamin C, D, E, folate na Niacin

Gharama: Multivitamin Tsh 75,000/= vidonge 100,


2. zinc tablets.

 • husaidia kuponya vidonda vya tumbo
 • inasaidia katika utengenezwaji wa protini na utendaji kazi bora wa chembechembe nyekundu na nyeupe za damu
 • Inaboresha kinga za mwili na kuharakisha uponyaji wa vidonda
 • Inasaidia mifumo ya uzazi ya wanawake na wanaume (kuongeza ufanisi katika tendo la ndoa)  na kutibu tatizo la ugumba.
  • Gharama Tsh 65,000/=, vidonge 60

3.Calcium tablets

kazi za madini ya calcium kwenye mwili

 • Kujenga afya ya mifupa na meno, na kuzuia kuzuia mifupa kuwa myepesi na isiyo na nguvu (osteoporosis)
 • Kuzuia maumivu kabla ya hedhi (PMS) au matatizo baada ya kukoma hedhi
 • Kuboresha ufanyaji kazi wa moyo na misuli ya moyo
 • Kuzuia matatizo ya kubanwa misuli (muscle spasms)na maumivu kwenye mapaja
 • Kuzuia  na kuondoa mtoto wa jicho (cataract), na tatizo la kushindwa kuona mbali (myopia).
  • kirutubisho hiki kinawafaa zaidi wenye matatizo ya mifupa na joints, gout, wanawake wanaonyonyesha na  wanawake waliokoma hedhi
  • Calcium tablets ni Tsh 80,000/=, vidonge 100 
 • Unaweza kuagiza bidhaa hizi kupitia JUMIA na ukaletewa mpaka mlangoni kwako kisha ukafanya malipo baada ya kupokea bidhaa.
 • Bofya hapa kuagiza kupitia jumia.


Share and Enjoy !

Shares