Fatty liver-Mafuta Kwenye Iini, Visababishi, Dalili Na Tiba Asili.

Mafuta kwenye ini
ini

Ugonjwa Wa Mafuta Kwenye ini Husababishwa Na Nini? Je Kuna Tiba?

Maswali mengi kutoka kwa wagonjwa wanaofika ofsini kwetu ni jinsi gani watapata matibabu ya ugonjwa wa mafuta kwenye ini na tiba asilia ya ini.  Je wafahamu kwamba ini lako ni kiungo kikubwa zaidi mwilini kuliko vyote, ukubwa wake ukikaribia na mpira wa miguu.

Ini huhusika na kazi muhimu katoka mwili. Kazi hizi ni pamoja na uchakataji wa chakula, kuhifadhi nishati, na kutoa sumu mwilini. Jamii za zamani za huko China ziliamini kwamba ini ni kiungo uhimu zaidi kuliko vingine.

Ini ni moja ya Viungo vinavyofanya kazi nzito sana mwilini. Iikifanya kazi bila kuchoka katika kusafisha sumu kwenye damu. Kutengeneza nyongo ambayo hutumika kwenye uchakataji wa vyakula vya mafuta, kuvunjavunja homoni ambazo hazitumiki,  na kuhifadhi vitamin na madini muhimu  kama madini ya chuma.

Ini linahitaji Kusafishwa pia

Sasa kama ambavyo ini linasafisha mwili pia linahitaji kusafishwa ili lifanye kazi kwa ufanisi na lisichoke mapema. Ini linahitaji kula mboga za majani kwa wingi, kufanya mazoezi ya mwili, na kupunguza matumizi ya pombe na kemikali.

Ni kazi ya ini kuchakata virutubisho ambavyo vimefyonzwa kupitia utumbo mwembamba ili  viweze kufonzwa vizuri kwenye damu. Ini pia linahusika katika kuweka msawazo kwenye viini lishe katika damu kama protein, mafuta na sukari. Kazi ingine muhimu ya ini ni kuchakata na kuondoa sumu zilizopo kwenye pombe na madawa tunayomeza .

Kuna aina zaidi ya mia za magonjwa ya ini lakini kwa leo tutaangalia fatty liver ama tatizo la mafuta kwenye ini. Hebu  tuangalie sasa ugonjwa huu wa  ini ikiwemo dalili, kisababishi chake, pamoja na jinsi ya kupata tiba mbadala ya ini  ukiwa nyumbani na kwa kutumia dawa za mimea.

Aina Za Fatty Liver(Mafuta Kwenye Ini)

Kuna aina mbili za fatty liver, alcoholic na non alchoholic fatty liver disease:

 1. Alcoholic fatty liver disease: aina hii ya fatty liver husababishwa na matumizi makubwa ya pombe. Uchakataji wa pombe hufanyika kwenye ini na kiasi kikubwa cha pombe hubadilishwa kuwa mafuta na kisha kuhifadhiwa kwenye seli za ini. Hivo kadri kunavooongeza kiwango cha pombe unajiweka kwenye mazingira hatarishi zaidi ya kuongeza mrundikano wa mafuta kwenye ini.
 2. Non alcoholic fatty liver disease; kwa kifupi NAFLD, hii hufahamika kama mrundikano wa mafuta kwenye seli za ini pasipo kuwa na mchango wa matumizi ya pombe. Ni kawaida kwa ini kuwa na mrundikano wa mafuta lakini pale inapozidi 5% mpaka 10% ya ini lote ndipo tatizo linapoanza.

Ifahamike kwamba matumizi ya pombe ni kisababishi kikubwa cha mafuta kwenye ini lakini kwa ishu ya NAFLD inatokea kwa watu wenye uzito mkubwa ama vitambi. Wenye mafuta mengi mabaya mwilini (bad cholesterol), na  wanaotumia pombe kidogo sana, hapa utagundua kwamba kutokutumia pombe siyo kinga ya kupata mrundikano wa mafuta kwenye ini. Bado kuna sababu zingine yatakiwa uzingatie ili kuepukana na tatizo hili hatari.

Dalili za Mafuta kwenye ini

 • Uchovu wa mara kwa mara
 • Kupungua ama kuongezeka uzito kwa kasi
 • Kupungua kwa hamu ya chakula
 • Kutapika na kupata kizunguzungu
 • Maumivu sehemu ya juu kulia juu ya tumbo
 • Kukosa nguvu mara kwa mara
 • Mkojo wa njano ilokolea
 • Kupata choo kigumu/kukosa choo mda mrefu na tumbo kujaa gesi
 • Kupata kinyesi cheusi na
 • Kuvimba kwa miguu na vifundo

Matumizi Makubwa Ya Sukari Aina Ya Fructose Ni Kisababishi Cha NAFLD

Fructose ni aina ya sukari inayopatikana kwenye matunda, Asali pamoja na vinywaji vya viwandani  na kwenye baadhi ya vyakula vilivyosindikwa.

Hivo hatua yako ya kwanza katika kuepuka mafuta mengi kwenye ini ni kupunguza matumizi makubwa ya matunda, asali, na kuepuka kabisa vyakula na vinywaji vya viwandani maana vinakuletea magonjwa na kukufanya uugue kila siku. Ni muda wa kusafisha jiko lako ili aunze safari ya uhuru wa kiafya.

Kwa bahati mbaya tofati na sukari zingine kama glucose ambazo hutumiwa na seli karibu zote za mwili, sukari aina ya fructose huwa inachakatwa na kusafirishwa na seli zilizo kwenye ini pekee.

Tafiti za Kisayansi

Dr Robert Lustig (mbobefu katika maswala ya neva na mfumo wa homoni)  kwenye kitengo cha Endocrinolgy katika Chuo kikuu cha California Marekani katika utafiti wake anasema sukari aina ya fructose inalevya kama ilivyo cocaine na ni sumu kwenye ini.

Na kama ilivo pombe sukari hii huchakatwa moja kwa moja kuwa mafuta tofauti kabisa na sukari aina ya glucose ambayo yenyewe hutoa nishati.

Hivo unapokula fructose kwa wingi tafsiri yake ni kwamba unaongeza mafuta zaidi kwenye ini na inapofikia ini haliwezi kustahimili kiwango kikubwa cha mafuta ndipo seli zake hujaa mafuta na kutuna na hivo kushindwa kufanya kazi vizuri.

Kiwango cha Fructose Kwenye Vyakula

Hapa chiini nimekuwekea jedwali linaloonesha kiwango cha sukari ya fructose kwenye vyakula mbalimbali, ambavyo unatakiwa kula kwa uangalifu pasipo kuzidisha.

Hatari ya Kunywa Soda

Watafiti kupitia jarida la Hepatobiliary Surgery and Nutrition  waliandika kuwepo kwa uhusiano kati ya tatizo la mrundikano wa mafuta kwenye ini na sababu za kimazingira. M

Matumizi makubwa ya sukari aina ya fructose inayopatikana kwenye vinywaji kama SODA, na ulaji wa vyakula vilivyotengenezwa viwandani na kuongezwa sukari huchangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa tatizo hili Duniani, hasa ukizingatia kasi ya mapinduzi ya viwanda kwa sasa.

Kutokana na utafiti huu ni kwamba fructose inaongeza kiwango cha Uric acid, kitendo ambacho husababisha seli kuishiwa nishati iliyo katika mfumo wa ATP na hivo kupelekea seli kufubaa na kufa. Kitendo hiki cha seli kukosa nishati tunaweza kukifananisha na binadamu aliyekosa damu baada ya kunyonywa damu yake yote.

Kutokana na matumizi makubwa ya fructose, seli zilizokosa nishati  hututumka na kujaa mafuta na hivo kushindwa kufanya kazi yake ya kusafisha sumu.

Maozozi ni Muhimu kama una mafuta kwenye ini

Japokuwa ushauri  mkubwa katika kupambana na tatizo hili ikiwa ni kupunguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya sukari aina ya fructose.

Lakini tafiti pia zinaonesha kwamba ni muhimu katika kupambana na tatizo hili, wagonjwa wa fatty liver waliofanya mazoezi walau dakika 150 kwa week, ambayo ni sawa na nusu saa kila siku walionyesha kupona haraka ugonjwa huu ukilinganisha nawale wasiofanya mazoezi.

VIRUTUBISHO VIWILI MUHIMU KWA MATATIZO YA FIGO ambavyo ni tiba kwa uvimbe kwenye ini na kuondoa mafuta kwenye ini.

Kwa kuongeza kwenye mlo wako licha ya kupunguza kiwango cha fructose unachotumia na kufanya mazoezi ya viungo, baadhi ya virutubisho vilivyotengenezwa kwa mimea  husaidia kutibu tatizo na kungeza ufaninisi wa ini lako katika kuchuja sumu.

 1. Livagern, kirutubisho hiki kikiwa kimetengenezwa kwa muunganiko wa mimea adimu ya Fructus lycii, Rhizoma Dioscoreae, Dandelion na Cassia seed, inayopatikana Thailand na China pekee husaidia
 • Kuongeza ufanisi wa ini katika kutoa sumu
 • Kuongeza kasi ya usafirishaji ndani ya figo na hivo kurahisisha utolewaji wa sumu
 • Kuongea uzalishaji wa seli mpya za ini (liver cell regeneration)
 • Hupunguza kasi ya kuzeeka kwa ini kunakosababishwa na uwepo wa kemikali, unywaji wa madawa, na sumu zilizoko kwenye vyakula na
 • Kutibu madhara yaliyopatikana kwenye figo ikiwemo kurundikana kwa mafuta kwenye figo na athari za dawa na kemikali.

Kirutubisho hiki kinawafaa zaidi

 • watu wanaotaka kusaifisha ini zao,
 • wenye magonjwa ya ini kama hepatitis, fatty liver na liver cirrhoses
 • watumaiji wa pombe na wanaoishi na kufanya kazi kwenye mazingira hatarishi kama viwandani.
 1. Chitosan kirutubisho hiki husaidia
 • Kupunguza mafuta mabaya mwilini
 • Kusafisha ini na kuongeza ufanisi wake

Kirutubisho hiki kinawafa zaidi

 • Wagonjwa wenye maradhi yote ya ini na figo
 • Wenye cholesterol nyingi mwilini

Gharama za dawa na tiba zetu asili kwa tatizo la Mafuta kwenye ini ni Tsh 165,000/= kupitia dawa za Livergen na Chitosan.

 Muhimu. Zingatia kupata virutubisho kutoka kwenye chanzo kinachoaminika ili kuepusha upotevu wa pesa na pia kuhakikisha unapata dawa zenye ubora wa hali ya juu

OFISI ZETU ZIPO MWEMBECHAI PLAZA , MAGOMENI MWEMBECHAI.
CHATI NA DAKTARI KWA WHATSAPP KUPITIA NAMBA: 0678626254

Je wafahamu kuhusu mawe ya nyongo? bofya hapa usome zaidi

Share and Enjoy !

Shares
Shares