Misuli ya uume kulegea na Kutosimama vizuri

Misuli ya uume kulegea

Tatizo la uume kulegea na kushindwa kurudia tendo ni kubwa sana na linawakumba vijana wengi wa kitanzania kwa sasa. Changamoto hii linatishia uthabiti wa mahusiano ya kimapenzi kwani linapelekea kushindwa kumridhisha mwanamke kingono.

Tatizo hili huitwa erectile dysfunction (ED) kwa kitaalamu. Limepelekea kuvunjika kwa mahusiano mengi na matatizo ya kisaikologia kutokana na msongo wa mawazo kwa wahanga.

Umri unachangia misuli ya Uume kulegea

Kadiri umri unavosonga ni wazi kwamba uwezo wa kufanya ngono
hupungua. Lakini tafiti za hivi karibuni zinasema kwamba watu walio na umri mkubwa bado wanaendelea kujihusisha na ngono japo siyo kwa kasi kubwa kama vijana.

Kutokana na mabadiliko ya mitindo ya kimaisha ikiwemo swala la lishe. Imetokea hata kwa vijana wa umri wa chini ya miaka 40 wanapata shida kwenye kusimamisha uume vizuri. Sababu kubwa ikiwa ni kuangalia sana picha na vidoe za X. Na tatizo ni kubwa sana kutokana na upatikanaji wa internet na smartphone.

Huduma ya kisaikolojia ni Muhimu

Watafiti wa afya ya wanaume wanashauri kwamba. Muhanga wa tatizo la kutosimama uuume na kulegea kwa uume apate huduma ya kisaikologia na huduma ya kimwili yaani dawa kwa pamoja ili kutatua shida hii.
Kuna virutubisho vingi ambavyo vinaweza kukusaidia kuongeza
uzajlishaji wa horome ya testosterone na kuongeza hamu ya tendo la
ndoa. Unaweza kutembelea stoo yetu kwa kubofya hapa

Erectile Dysfunction ni nini?

Erectile dysfunction kwa kifupi ED ni kupungua ama kutokuwa na uwezo wa kuhimili kusimama kwa uume kwa mda mrefu kwenye tendo la ndoa. Ni tatizo kubwa linalowakumba wanaume wengi hasa kwa wanaume wazee.

Asilimia 80 ya wagonjwa wanaofika ofsini kwetu wana tatizo hili na hawawezi kuwaridhirisha wanawake wao. Kikawaida unapokuwa kwenye tendo la ndoa damu nyingi husukumwa kuelekea kwenye uume na hivo
kufanya misuli kujaa na uume kusimama. Misuli inaposinyaa baada ya kumaliza kufanya ngono basi damu nyingi pia hupungua kwenye eneo la uume.

Kupungua huku kwa uwezo wa kusimama kwa uume inaonesha kwamba kuna shida ya kiafya. Kwa wanaume wachache hali hii huchukua muda mfupi na kupotea kutokana changamoto za kawaida za kimaisha kama msongo wa mawazo, mwili kuchoka na matumizi ya pombe. Lakini kwa wanaume wengi hali hii huendelea kuwa mbaya zaidi kila wanapotaka kufanya ngono.

Picha za Ngono na Misuli Ya uume kulegea

Tafiti za hivi karibuni zinaonesha kuongezeka kwa tatizo la ED kwa
miaka ya hivi karibuni. Hii inatokana na upatikanaji wa vifaa kama simu na kompyuta hivo kuwarahisishia vijana wengi uwezo wa kuingia mtandaoni kiurahisi na kutazama picha za ngono muda wowote.

Wengi hutazama picha na video za ngono ili kujiridhisha kimapenzi na kupiga punyeto. Wanaume wanaoangalia pono wanafadhaika pale wenza wao wanaposhindwa kuwafanyia vitu kwa mtazamo kama ule kwenye pono.

Video na Picha za X zinakufanya uwe Sugu

Japo kuna mchango wa mitindo fulani ya maisha kama kuwa na uzito
mkubwa na kitambi. Lakini kutazama picha chafu za ngono zinaufanya mwili utake msisimko mkubwa sana kuliko uliozoeleka na jinsi mwili ulivoumbwa ili kuamsha hisia.

Yaani kwa lugha rahisi ni kwamba mwili unakuwa sugu. Unaweza kujaribu masterbation effects natural remedy kutoka kwetu imesaidia sana vijana walioathirika na upigaji punyeto ikiwemo kurudisha uwezo wa kuhimili tendo la ndoa vyema.

Mazingira mengine hatarishi yanaosabisha misuli ya uume kulegea

ED inaweza kuletekezwa na matatizo ya kiafya pamoja mitindo ya
kimaisha kama

 • Kisukari:Wanaume wenye kisukari hasa tatizo la muda mrefu wana upungufu wa nguvu za kiume na uume kutosimama kwa nguvu
 • Shinikizo la damu: Utafiti unaonesha kwamba shinikizo kubwa la damu pamoja na uume kufeli kusimama ni vitu vinavyoenda kwa pamoja.
 • Matatizo kwenye njia ya mkojo: matatizo kwenye njia ya mkojo
  huambatana na dalili kama kupata mkojo mara kwa mara, kushindwa kutoa mkojo wote kwenye kibofu ambayo hupelekea kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kufanya ngono kikamilifu.
 • Uzito mkubwa na kitambi: Uzito mkubwa na kitambi ni chanzo kikuu kusababisha shida kwenye nguvu za kiume na kulegea kwa jogoo. Kitambi na uzito huvuruga homoni, kufanya mwili kutosikia uwepo wa insulin na hivo kiasi cha sukari kupandakwenye damu. Kiwango cha sukari kwenye damu kinapokuwa kingi hupunguza utengenezaji wa
  kichocheo cha testosterone kupungua. Testosterone ndio kichocheo kinachofanya mwanaume kuwa mwanaume kwa kuchoche hamu ya tendo la ndoa na kusaidia uzalishaji wa mbegu.
  kuishi kizembe (sedentary life) bila kushugulisha mwili na kufanya
  mazoezi:
 • Mazoezi ni muhimu kwa wanaume wanaotaka kufurahia tendo la ndoa miaka yote, kama hukujua hili basi nashauri weka ratiba sasa anza mazoezi mepesi walau mara tatu kwa week.
 • Umri: Kadiri umri unavoenda kasi na uwezo wa kufanya ngono
  hupungua kutokana na mifumo mbalimbali ya mwili kuchoka, matatizo moyo, na matatizo ya kisaikolojia na msongo wa mawazo. Pia wazee ni kundi linalotumia dawa ngi sana na hivo homoni zao kuvurugika.
 • Kuvuta sigara: wavutaji wa sigara wapo kwenye hatari zaidi ya kupata matatizo ya uzazi na misuli ya uume kulegea
  Matumizi ya vidonge vya hospitali kwa muda mrefu,mfano dawa za presha, usingizi, msongo wa mawazo, tezi dume . dawa hizi huweza kupunguza hamu ya tendo la ndoa, kushindwa kuwamwaga mbegu, na kushindwa kusisimka.

Muhimu kushugulika na Chanzo cha tatizo

Kumbuka Unapotaka kutatua changamoto ya kushindwa kusimama kwa uume, basi hakikisha unalenga chanzo cha tatizo. Kama una uzito mkubwa na kitambi hakikisha unapunguza uzito, kama ni matatizo ya mfumo wa damu na moyo basi lenga kwenye lishe utaishi kwa raha sana.

Hatua 5 Za Kuimarisha Misuli ya Uume Kusimama

1.Punguza uzito mkubwa na kitambi.

Kitambi na uzito ni adui wa afya yako, si tu katika tendo la ndoa, kitambi ni chanzo cha magonjwa mengi. Magonjwa kama kisukari, presha, ugumba na saratani. Katika safari yako ya kupunguza uzito epuka vyakula vya wanga na sukari. Tumia zaidi vyakula vya mafuta mazuri kama samaki, parachichi, nyama, mayai, karanga na nazi.

2.Mazoezi ni muhimu kwa uume kulegea

Watu wengi wamelemewa na magonjwa kwa sababu tu mwili haupati damu ya kutosha kwenda sehemu mbalimbali. Sehemu kama vile ubongo,ini, na figo ambazo ndio sehemu zenye kuufanya mwili wako ufanye kazi katika uhalisia wake.

Hivyo basi magonjwa mengi ya mzunguko wa damu ni pamoja na nguvu za kiume. Kwasababu kama hufanyi mazoezi mwili wako unadhofika na kukosa uwezo wa kuhimili ndoa yako pia inapunguza nguvu za kiume.

Mazoezi huimarisha mwili wako na kuweka mbali mwili wako na maradhi mbalimbali yanayo sababishwa na uzembe. Kama hujui pa kuanzia basi anza na mazoezi mepesi ya kukimbia. Kisha jaribu kegel exercise- unapokojoa hakikisha unatoa mkojo kidogo kisha unabana kwa sekunde 10 kisha ruhusu tena, fanya hivo kila unapoenda kukojoa walau mara 10 kwa kila awamu. Kegel exercise husaidia kuimarisha mishipa ya uume.

3.Punguza msongo wa mawazo

Matatizo ya kisaikologia kama msongo wa mawazo huathiri uwezo wako wa kufanya ngono kwa uzuri na kukupelekea heshima ya ndoa kupungua, hivo hakikisha unabalansi kazi za kimaisha zisiathiri tendo la ndoa.

4.Punguza Wanga na Sukari

Epuka vinywaji vyote vyenye sukari nyingi,vya kusindika. Vyenye vionjo vya sukari, rangi na ladha katika afya yako kwani vyakula hivyo ni adui mkubwa sana wa afya yako. Hasa wakati unataka kurudisha nguvu za kiume.

Kula vyakula asili, nafaka ambayo haijakobolewa,matunda kwa wingi ambayo hayasagwa yenye nyuzi nyuzi nyingi na pia juice ya matunda na mboga za majani. Utafurahia maisha ya kula vyakula asili na utafurahia ndoa yako.

Madhara ya kutumia dawa za famasi na hospitali kiholela

Dawa unazopewa hospitali ama kunua famasi zinaweza kukupa matokeo kwa muda mfupi sana, lakini zinaleta madhara ya muda mrefu. Madhara hayo ni pamoja na kushindwa kusimamisha kabisa uume kwa siku zinaz

Tumia tiba asili kutibu uume kulegea kwenye tendo

Hakikisha mwili wako unaupa madini ya msingi kama zinc,chuma, selenium, manganese na vitamin nyingi. Madini haya ndiyo yanafanya mwili wako ufanye kazi katika kiwango stahiki kwani huwezesha viendesha shughuli za mwili yani enzymes kufanya kazi katika kiwango kizuri na kuimarisha mwili wako.

Muhimu Kwa Wanaume wenye Upungufu wa nguvu za Kiume na Kufeli kwenye tendo la Ndoa

Virutubisho asili vya Zinc na Vig power kutoka Marekani vinafanya kazi vizuri sana katika kuimarisha misuli ya kiume, kuongeza uzalishaji wa mbegu na kusaidia wanaume wanaowahi kufika kileleni, na kushindwa kurudia tendo.

Tiba ya nguvu za kiume

Tupigie au Chati na Daktari hapa chini kwa whatsapp kuagiza Vig power na Zinc Kwa Tsh 150,000/= tu urudishe heshima ya tendo la ndoa. Dawa hizi ni za asili na kutengenezwa kitalamu kwahivo hazina madhara kwa mtumiaji.

Ushuhuda wa mgonjwa baada ya kupona

Ofisi zetu zipo Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai,

Chati na Daktari kwa Whatsapp kupitia namba : 0678626254 kupata Huduma kwa Tsh 150,000/ tu, ili nawe uwe shuhuda wetu kwa wengine.

Share and Enjoy !

Shares
Shares