Virutubisho na Tiba kwa wanaume

Dalili zifuatazo zinaonesha una upungufu wa nguvu za kiume

 • Kuwahi kumaliza kwenye tendo chini ya dakika mbili na kushindwa kurudia
 • Kupungua kwa hamasa au hamu ya tendo la ndoa
 • Kuongezeka uzito kupita kiasi
 • Kulegea kwa misuli ya uume na kushindwa kumudu tendo

ORODHA YA DAWA na VIRUTUBISHO VYETU ASILI KWA MWANAUME

1.VIG POWER

vig power

iliyotengenezwa kupitia mimea ya (Semen Cuscutae, Fructus Lycii, Rhizoma Dioscoreae, Radix Rehmanniae Preparata na  Cortex Moutan)

Kazi Na Faida za Vig power kwa mwili wa mwanaume ni

 • Kuzalisha nguvu inayotakiwa na kuongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa kuboresha afya ya figo
 • kuongeza idadi ya mbegu (sperm count) na kuongeza uwezo wa mbegu kutembea (sperm motility)
 • Kumwongezea mwanaume hamu ya kufanya ngono , kuongeza uwingi wa oksijeni ndani ya damu itakayosaidia uume kusimama imara ili kumudu kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi bila kuchoka.
 • Inasaidia matatizo ya kufanya mapenzi kama kuwahi kufika kileleni, jogoo kushindwa kuwika na mbegu kutoka kila wakati bila ridhaa hasa kwa waliopiga punyeto kwa mda mrefu.
  • kirutubishi hiki kinawafaa zaidi Wanaume wanaotaka kuboresha uwezo wao wa tendo la ndoa
  • Wanaume wenye matatizo kwenye viungo vyao vya uzazi kama kuwahi kufika kielelni, jongoo kushindwa kupanda mtungi na shahawa kutoka zenyewe kila wakati
   Gharama ya vig power ni Tsh 90,000/=

2.  Zinc

Sifa na Faida za kutumia Vidonge vya Zinc
 1. Kuimarisha uzalishaji wa mbegu (sperm quantity)
 2. Kuimarisha hamu ya tendo la ndoa na ubora wa mbegu (sperm quality)
 3. Inasaidia mifumo ya uzazi ya wanawake na wanaume na kutibu tatizo la ugumba

Inafaa zaidi kutumiwa na

 • wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume
 • wanaume wenye kiwango kidogo cha mbegu za kiume(sperms)
 • Watu wanaovuta sigara au kunywa pombe kwa mara
  • kirutubisho hiki kina vidonge 60 vyenye nguvu ya 500mg. Gharama ni Tsh 65,000/=

3. Prostacare capsules

Kazi Na Faida za Prostacare

 • Kutibu tezi dume iliyovimba kupita kiasi
 • Kuboresha mzunguko wa damu ndani ya tezi dume
 • Kuzuia kuzaliana kwa wadudu wabaya ndani ya tezi dume
 • Kuondoa seli za tezi dume zilizokufa na kutibu madhara yatokanayo na  kukua kwa tezi dume ikiwemo swala la mkojo.                                                    

Dawa ya Prostacare inafaa kutumika zaidi kwa

 • Mwanaume mwenye tatizo lolote la tezi dume
 • Wanaume wenye umri unaozidi miaka 40 anayetaka kujikinga na magonjwa ya tezi dume
 • Gharama ya Prostacare ni Tsh 100,000/=

4. LYCOPENE

Lycopene

Lycopene ina uwezo wa kupenya kwenye tezi dume na kusafisha seli zilizokufa pamoja na kuzuia kabisa kukua kwa tezi dume. Pia ina uwezo mkubwa wa kuzuia kansa ya tezi dume. Hivyo tunashauri kila mtu mwenye umri wa miaka 40 atumie dawa hizi ili kujilinda na tezi kukua. Utumiapo lycopene iliyotengenezwa kwa kiwango kingi(concentrated) kuna uwezekano mkubwa wa kutopata kabisa tezi hii dume.

Lycopene inashauriwa kutumiwa pia kwa wagonjwa wa tezi dume ambao tayari wanaugua.

Lycopene ni Tsh 95,000/=

Muhimu: Kwa mgonjwa wa tezi dume anashauriwa apate dawa zote mbili za prostacare na lycopene, na yule wa nguvu za kiume apate zinc na vig power kwa pamoja.

Ofisi zetu zipo Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai,
Chati na Daktari kwa Whatsapp kupitia namba : 0678626254 kupata huduma

Share and Enjoy !

Shares
Shares