Kisukari na Tiba kupitia majani ya balsam

Kisukari ni ugonjwa wa kitabia/lifestyle (ikimaanisha ni matokeo ya ufanyaji kazi wa mwili) unaotokea baada ya shida kwa mwili kupangilia utolewaji wa kichocheo ama hormone ya insulini. Hivo dalili za Kisukari ni matokeo ya kupanda kwa kiwango cha sukari kwenye damu kunakotokana na kufeli kwa kichocheo hiki cha insulini kufanya kazi.

Namna Kisukari kinavyotokea

Mpenzi msomaji hapa napenda uelewe kwamba kiwango cha sukari kwenye damu kitaaanza kuleta athari endapo kiwango cha insulini kinachomwagwa ni kidogo. Yaani hakitoshelezi kutokana na seli za beta zilizopo kwenye kongosho ambazo hutengeneza kichocheo hiki kuwa na hitilafu.

Sababu ya pili ni  pale mwili unakuwa hausikii uwepo wa insulini kwenye damu kitaalamu tunaita insulini resistence. Yaani kongosho linamwaga insulini kwenye damu lakini kiwango cha sukari bado kipo pale pale. Hapa ndipo tunapata kisukari cha ukubwani.

Hii ni hatua mbaya kufikia ambapo wagonjwa wengi hukosa tumaini na hukata tamaa katika kutafuta dawa ya kisukari cha kupanda. Huhitaji kufikia huko fuata lishe sahihi utaishi bila kisukari.

Aina Za Kisukari

Kuna aina kuu 2 za Kisukari, aina ya kwanza ambayo kisukari cha utotoni na aina ya pili ni kisukari cha ukubwani.

Kisukari Cha Utotoni

Aina hii ya Kisukari huanza pale mtoto anapozaliwa hadi kufkia umri wa miaka 18 au 20. Husababishwa na mpambano kati ya kinga ya mwili dhidi ya seli za beta ambazo hutengeneza homoni ya insulini. Homoni uya insulini inayorekebisha kiwango cha sukari kwenye damu).

Sasa mpambano huu hupelekea kupungua kwa uzalishaji wa insulini ama kukosekana kabisa kwa insulini kwenye kongosho. Na kwasababu miili yetu imeubwa kutumia insulini, wagonjwa hawa huhitaji kudungwa sindano za insulini kila siku ili kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.

Dalili Za Kisukari Cha Utotoni

  1. Wagonjwa wenye aina hii ya Kisukari huwa wamekonda na kudhoofu sana afya zao
  2. Seli za kutengeneza kichocheo cha insulini zinakuwa zimeangamizwa kwa kiasi kikubwa kutokana na mpambano na kinga ya mwili.
  3. Kiwango cha insulini kwenye damu huwa kipo chini sana kutokana na uwezo mdogo wa kongosho kutengeneza insulini.

Kisukari Cha Ukubwani

Aina hii ya Kisukari nafahamika sana na imekuwa janga la dunia nzima likiathiri mamia ya watu kila siku. Kinyume na kisukari cha utotoni, aina hii ya kisukari husababishwa na kiasi kikubwa cha insulini kwenye damu.

Hivo ukiwa na Kisukari cha ukubwani ni kwamba insulin iliyo nyingi kwenye damu na mwili hauwezi kuitumia vizuri hali hii kitalamu ni insulin resistence. Kisukari cha ukubwani pia husababishwa na kongosho yako inatengeneza insulini nyingi lakini imezidiwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu. Kupanda kupita kiasi kwa kiwango cha insulini kwenye damu huweza kuletekeza ama kupelekea matatizo mengine ya kiafya  kama.

Dalili Za Kisukari Cha Ukubwani

  • kupumua kwa shida, alegi
  • vidonda kutopona mapema, maambukizi ya mara kwa mara.
  • kuongezeka uzito kusiko kawaida pengine hata bila kubadili lishe yako.
  • kupata kiu ya mara kwa mara na mdomo kukauka
  • mwili kujiskia umechoka mda mwingi na kupata ganzi kila mara.
  • kupata athari za neva na kusababisha maumivu ya viungo na kutetemeka kwa miguu na mikono
  • kupungua kwa uwezo wa kuona
  • kupata njaa na kujiskia kula mara kwa mara, hata kama umekula hivi karibuni
  • kupoteza uwezo wa kufatilia mambo na kujitambua .

Kumbuka kwamba siyo lazima uone dalili zote hizi ndipo unaashiria umeanza kuugua Kisukari, unaweza kujipima mwenyewe na kuchukua hatua ya kufika hospitali upate ushauri ili upunguze hatari ya kuugua Kisukari.

Hivo magonjwa haya huambatana na tatizo la Kisukari na kadri ugonjwa unavokomaa na kufkia hatua mbaya ndivyo magonjwa haya ambatanishi yanavojitokeza zaidi. Najua unaweza kuwa ni muhanga wa ugonjwa huu na umeteseka kwa miaka mingi umetumia madawa mengi bila mafanikio. Napenda kukupa tumaini kuwa suluhisho lipo, ni kurekebisha lishe yako tu na kutumia virutubisho muhimu kama chai ya balsam

Chanzo Cha Kisukari Cha Ukubwani

Kwanza kabisa ni vyema kufahamu kwamba ugonjwa wa kisukari siyo ugonjwa wa kuwa na sukari nyingi hapana. Kisukari ni ugonjwa wa homoni, homoni ya insulini. Kumbuka kwamba mwili unahitaji kiwango kidogo tu cha glucose kukibadilisha kuwa nishati ili kuendesha shuguli zake.

Kiwango kingine kinachozidi huwa hakipotei bali huhifadhiwa katika seli za mwili kwenye mfumo wa mafuta. Hivo kazi ya insulini ni kusukuma sukari iliyozidi kwenda kwenye seli ili ibadilishwe kuwa mafuta. Sasa inapotokea mwili hausikii uwepo wa insulini kwenye damu, yaani insulini inamwagwa lakini kiwango cha sukari kwenye damu kipo pale pale hapo ndipo hatari ya kuugua kisukari cha ukubwani huanza.

Mchango wa Lishe Kwenye Kisukari

Sasa ni wakati wa kutambua kwamba aina ya chakula unachokula kinachangia kwa kiasi kikubwa kupata magonjwa haya kama kisukari na uzito mkubwa.

Vyakula kama wanga na sukari hupandisha insulini kwenye damu kwa kasi sana huku vyakula vya protini na mafuta vikithibitika kupandisha insulini kwa kiasi kidogo sana. Kula wanga na sukari nyingi na kufanya mazoezi sana haikusaidii kuepuka magonjwa haya ya kisukari na uzito mkubwa

Badala yake kula vyakula vya mafuta kama parachichi, samaki, nyama, mayai , nazi na mboga za majani kwa wingi muhimu. Na swali kubwa ninalopata ni kwamba “lishe ya mtu mwenye kisukari inatakiwa iweje, basi nashauri fuata maelekezo hapa chini kuusu lishe.

1.Punguza Wanga Na Sukari

Kwanini tunakushauri upunguze wanga na sukari?

Unapokuwa umepunguza wanga na sukari au kuacha kabisa ulaji wa vyakula vyenye wanga nyingi, mfano mikate,ugali,wali,tambi nk na hakikisha kitendo hicho kiendane na kuongeza kiwango cha mafuta na vyakula vya protini mwilini mwako katika lishe yako.

Hii itaufanya mwili wako kuanza kutumia mafuta kama nishati ya mwili ya kwanza kujitengenezea nishati. Na viungo vya binadamu kama ini na figo vinapokuwa vinatumia mafuta kuzalisha nishati ya mwili hutenegeneza viini vya nishati viitwavyo ketone bodies ambavyo hivi ndivyo hutumiwa na seli za mwili kujitengenezea nishati kwa wingi.

Uwe Mvumilivu, siyo kitendo cha kupata matokeo haraka haraka.

Hivyo basi unapokuwa unajizuia kutumia vyakula vya wanga mwili wako utatumia karibia siku 5 hadi wiki kuanza kutumia mafuta kama nishati ya mwili na hicho kitendo tunaita Keto adaptation . Ningependa kusema kwamba Keto adaptation ni ile hali mwili wako kujenga mazoea ya kutumia mafuta kama chanzo cha nishati ya mwili badala ya sukari hapo ndipo utaanza kuona mabadiliko katika mwili wako makubwa sana na utaondoa hatari ya kuugua kisukari cha ukubwani .

Utakuwa unajisikia mwenye nguvu na unatashangaaa dalili mbalimbali zilizokuwa zinakusumbua zinapotea hii ni kwa sababu ya uwezo mkubwa wa ketone bodies katika mwili wako dhidi ya glucose.

Tunakula Wanga na Sukari nyingi Kupita kiasi.

Sote tunajua kwamba ulaji wa vyakula vya wanga kwa wingi na vyakula vyenye sukari nyingi vinaongeza kiwango cha sukari kwenye damu zaidi ya kiwango ambacho mwili wako unaweza kuhimili.

Mfano: Kiwango cha kawaida cha sukari kinachohitajika mwilini mwako ni kijiko kimoja cha chai. Hiki ni kiwango ambacho hakiwezi kukuletea matatizo. Basi kama binadamu anaishi kwa sukari inayokadiriwa kuwepo kwenye damu kama kijiko kimoja tu cha chai.

Soda na Mikate siyo Salama

Unywaji wa soda moja unaweza kuongeza zaidi ya vijiko 10. Hivyo basi mwili wako unakuwa unashindwa kuhimili sukari iliyozidi. Na ulaji wa mikate inakadiliwa kuwa kipande kimoja cha mkate kinaweza kutoa sukari zaidi ya ujazo wa kijiko kimoja cha sukari ya mezani .

Swali la kujiuliza mwili unapeleka wapi sukari iliyozidi wakati miili yetu inahitaji sukari kiwango kidogo sana kama kijiko kimoja tu kuishi.

Namna Mwili unavorekebisha Sukari

Mwili hutengeneza maji kutoka kwenye seli za  kongosho ziitwazo beta cells. Maji haya ni homoni iitwayo insulini. Kazi kubwa ya insulini ni kutunza glucose katika damu kwa matumizi ya baadae. Na inatunza katika kiasi maalumu katika mfumo wa Glycogen na kiasi kikubwa katika mafuta.

Na hivyo basi mafuta haya huhifadhiwa katika sehemu mbalimbali kama tumboni,shingoni,mikononi,kifuani,kiunoni nk. Na mafuta haya huhifadhiwa katika mfumo wa TRYGLYCERIDES ambayo haya ni miongoni vya mafuta mabaya mwilini mwako. Sasa mtu anayekwambia wanga nyingi katika chakula chako ni salama anakudanganya kwa kiasi kikubwa kwani tunaona jinsi gani ulaji wa kiwango kingi cha vyakula vya wanga na sukari vinavyo sababisha sukari kupanda kupita kiasi na kuanza kuhifadhi katika mafuta.

Fanya Vipimo Mara Kwa Mara

Wagonjwa wengi wa Kisukari huwa ni vigumu kugundua tatizo mpaka pale linapoanza kuleta athari kubwa. Umuhimu wa kupima ni kugundua tatizo mapema na kuanza kuchukua hatua ili kuzuia hatari kubwa. Hivo ni muhimu kufatilia matukio kama kuongezeka kwa shinikizo la damu na kuongezeka uzito na kiwango cha sukari kwenye damu.

Tumia Virutubisho Vya Asili Kutibu Kisukari/Supliments Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu.

Tuangalie utafiti unasemaje kuhusu matumizi ya virubisho vya asili katika kutibu tatizo la Kisukari na kupunguza madhara kama kuathirika kwa neva za mwili na kukatwa viungo vya mwili. Virutubisho hivi ni kama ifuatavyo

MAJANI YA BALSAM

Balsam tea ni Tiba ya Kisukari
balasm tea

Ni moja kati ya dawa asili ya kutibu kisukari cha kupanda kwani chi za wenzetu ambako majani haya hupatikana basi yanatunzwa kwa hali ya juu na kuheshimiwa maana ni mimea ya ajabu katika kutibu ugonjwa wa kisukari, kwasababu upatikanaji wake ni mdogo.

Kazi ya majani haya ni pamoja na; kufidia seli za beta zilizokufa, seli za beta ndizo zinazozalisha homoni ya insulini. Mbili majani haya husaidia kupunguza ufyonzaji wa sukari kwenye utumbo mpana kuingia kwenye damu na majani haya husaidia kuepusha dalili mbaya kama kiu na kukauka kwa mdomo,kunakotokana na kuugua kisukari.

Tafiti nyingi sana zimeshawahi kufanywa juu ya faida za mmea huu kiasi kwamba ni ngumu kuziandika zote, lakini nimechukua zile muhimu ili nawe msomaji upate mwanga ili unapougua basi usikimbilie kumeza vidonge vyenye kemikali badala yake tumia njia za asili.

Hakikisha unapata madini haya kwenye vyanzo sahihi na vyenye ubora, unaweza kufika ofsini kwetu ukapata virutubisho hivi vikiwa tayari vimefanyiwa utafiti kwa kutuandikia kupitia namba zetu.

Madhaa ya Ugonjwa wa Kisukari ni Makubwa

Kisukari ni miongoni mwa magonjwa yanayosababisha vifo vingi kwa sasa hapa nchini kwetu, kwa utafiti niliofanya kutoka kwa wagonjwa ambao nimewahi kuwahudumia majani haya ya balsam yameonesha mafanikio makubwa katika kutibu tatizo la kisukari, kama matumizi yatazingatiwa na pia mgonjwa kurekebisha lishe yake.

Ugonjwa wa kisukari pamoja na matatzo ya moyo ni vitu vinavyofuatana, hapa naomba uelewe kuwa endapo ukiwa na kisukari basi upo kwenye hatari kubwa ya kuugua magonjwa ya moyo pia. Hivo isikushangaze kuwa majani ya chai ya balsam yanaonesha uwezo mkubwa kwa wagonjwa wenye kisukari na waliokwisha kuanza kupata dalili mbaya kama kukosa hamu ya tendo la ndoa, kupungua uwezo wa kuona na presha kuw juu.

SASA UTAKUWA UMEPATA ELIMU JUU YA KISUKARI NA TIBA YAKE YA MIMEA, IKIWEMO VIRUTUBISHO UNAVOWEZA KUTUMIA  ILI KURUDISHA HALI YAKO YA KAWAIDA

Fika ofsini hapa Mwembechai Magomeni tuzunguze, upate ushauri wa kiafya kuhusu lishe na chakula cha kisukari,  pamoja na dawa ya balsam ili uanze tiba ya kisukari cha ukubwani .

Gharama ya Majani ya chai ya Balsam ni Tsh 50,000/= Elfu hamsini tu kwa dozi moja. Unatakiwa kutumia dozi 3 ili kupona vizuri

Tuandikie kwa whatsapp namba 0678626254

Share and Enjoy !

Shares
Shares