Immune Care Package

Virutubisho kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili na kuzuia maambukizi ya mara kwa mara ya bacteria, virusi, fangasi na vimelea wengine.

1.Garlic Oil Softgel

Garlic oil softgel

Kazi na faida za Garlic oil Softgel

 • Kuua aina nyingi za vimelea kama bakteria wabaya, amiba, na fangasi
 • Kupunguza mafuta mabaya kwenye damu (bad cholesterol)
 • Kuimarisha kinga ya mwili
 • Kurekebisha shinikizo la damu na hivo kulinda mfumo wa usafirishaji damu
 • Garlic oil softgel inawafaa zaidi wenye magonjwa kama fangasi, PID, UTI na shinikizo kubwa la damu
 • Gharama Tsh 75,000/=, vidonge 60

2. Propolis plus Capsule

Propolis

Kazi na faida za Propolis

 • Kuangamiza na kuzuia kukua kwa bakteria wa aina nyingi na maambukizi ya virusi
 • Kuinua kiwango cha lishe na afya kwa ujumla na kuimarisha kinga ya mwili. Inafaa Kutumiwa Kwa:
 • Watu wenye maambukizi sugu (bakteria, fungus na virusi)
 • Watu wenye upungufu wa kinga za mwili
 • Watu wenye matatizo ya kukauka kwa koo, matatizo ya conjunctiva za macho (conjunctivitis), sinus congestion, mafua, influenza, bronchitis, matatizo ya masikio, matatizo ya fizi na eneo linalozunguka meno, pneumonia, maambukizi kwenye nyongo, vidonda vya tumbo, maambukizi ya njia ya mkojo, matatizo ya utumbo na magonjwa ya ngozi.
  Gharama  Tsh 90,000/=, vidonge 60

3. Ganoderma

Ganoderma Capsule

Kazi na faida za Ganoderma

 • Kuimarisha  kinga za mwili na hivyo kuzuia kansa na maambukizi ya fangasi na bacteria.
 • Kupunguza madhara yatokanayo na tiba za mionzi na chemotherapy (kama kutapika, maumivu, upungufu wa chembechembe nyeupe za damu, kutoota nywele, uchovu, n.k.); kuongeza kasi ya uponyaji baada ya tiba za mionzi na chemotherapy;
 • Kuongeza kinga za mwili; kupunguza makali ya brochitis sugu, pumu na mzio. Yafaa zaidi Kutumika Kwa:
 • Watu wanohitaji kuongeza kinga za mwili
 • Watu wenye uvimbe usio saratani  (benign tumor) na uvimbe wa saratani (malignant tumor).
 • watu waliomaiza tiba za chemotherapy na radiotherapy
 • Watu wenye brochitis sugu, pneumonia, pumu, mzio au matatizo mengine ya mfumo wa upumuaji.
  Gharama Tsh 85,000/= vidonge 60.

4. Ginseng

Kazi na faida za Ginseng

 • Inaongeza idadi ya seli nyeupe za damu na hivo kuimarisha kinga, kwa wagonjwa wenye saratani na HIV
 • Husaidia kupona kwa vidonda haraka
 • Tiba asili ambayo inafaa kutumiwa sambamba na dawa za saratani na ARV,s
 • Gharama ni Tsh 125,000/= vidonge 30

Tuandikie kwa whatsapp no 0678626254 kupata tiba

Share and Enjoy !

Shares
Shares