Cancer care package.

Maelezo kuhusu tatizo la Kansa Duniani

Ripoti ya shirika la kimataifa linalohusika na utafiti juu ya ugonjwa kansa (International Agency for Research on Cancer, IARC),  linasema kansa au saratani inaongoza kwa kusababisha vifo vingi zaidi kwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza huku vifo hivi vikitarajiwa kuongezeka kufikia milion 12 kwa mwaka kufikia mwaka 2030.

Dalili za Kansa

Pamoja na dalili hizi ni muhimu kufatilia afya yako kwa ukaribu kwani uwepo wa dalili moja siyo hakikisho kwamba una saratani, hakikisha unahudhuria kituo cha afya kilicho karibu yako kufanya vipimo na kupata ushauri. Baadhi ya dalili za saratani yoyote ni hizi

 • Uwepo wa kidonda au lengelenge lisilopona
 • Alama nyeupe kwenye mdomo ama kwenye ulimi zisizopotea
 • Kupata shida katika umezaji wa chakula
 • Kutokwa na uchafu ukeni kusiko kawaida
 • Hitilafu katika mfumo wa chakula ikewemo kupata kinyesi chenye damu
 • Uwepo wa uvimbe mgumu kwenye titi.

Lishe bora ni Muhimu kwa Mgonjwa wa Kansa

Wagonjwa wa kansa ni kati ya makundi yanayotakiwa kuzingatia lishe wanayotumia kwa uangalifu sana kwani lishe na afya ya saikolojia vitakufanya uishi maisha mrefu zaidi na kuupa mwili nguvu ya kupambana na seli za saratani. katika kipindi hiki mwili hufanya kazi kubwa zaidi katika kupambana na seli za saratani, kurudisha seli zilizokufa kutokana na mionzi. Mara nyingi inakuwa vigumu kwa mgonjwa kupata virutubisho vyote kwa kula chakula cha kila siku, ndio maana tunashauri kutumia virutubisho vya asili vilivyoandaliwa katika ubora wa hali ya juu na kuthibitishwa ili kuuongezea mwili nguvu ya kupambana na kansa.

Virutubisho na dawa za kutibu saratani

Virutubisho vifuatavyo vimefanyiwa utafiti na kugundulika kuwa na nguvu sana katika kupambana na seli za saratani/kansa. Mataifa kama China, Marekani, Thailand na India yanaongoza kwa kutumia virutubisho hivi kwa kiasi kikubwa pasipo kutumia tiba ya mionzi ambayo ina mdhara makubwa kiafya,.

1.GINSENG

Ginseng

Kazi na Faida za Ginseng kwa Mgonjwa wa Saratani

 • Kuboresha kinga za mwili na hivyo kuzuia kansa
 • Kupunguza madhara yatokanayo na tiba za mionzi na chemotherapy (kama kutapika, maumivu, upungufu wa chembechembe nyeupe za damu, kutoota nywele, uchovu, n.k.); kuongeza kasi ya uponyaji baada ya tiba za mionzi na chemotherapy .
 • Inaongeza idadi ya seli nyeupe za damu na kusaidia kupona kwa vidonda haraka

Makundi yenye Uhitaji Mkubwa wa Ginseng

 • Wagonjwa wa saratani
 • Watu wenye uvimbe
 • Wagonjwa wanaoendelea na tiba za chemotherapy na radiotherapy
 • Watu wenye afya iliyozorota baada ya kuugua kwa muda mrefu na
 • Wagonjwa wa HIV

Ginseng ina Vidonge 30 . Tsh 125,000/=

2.Ganoderma Capsules

Imetengenezwa kwa mimea ya Spora ganoderma, Cordyceps sinensi, na Radix Ginseng

Kazi na faida za Vidonge vya Ganoderma

 • Kuimarisha kinga ya mwili na hizo kuzuia kusambaa kwa saratani
 • Kupunguza madhara ya tiba ya mionzi kama kutapika, maumivu, kukosa nguvu.
 • Inafaa kwa wagonjwa wote wa saratani.
 • Gharama ni Tsh 85,000/=

3.Spirulina

spirulina

Imetengenezwa kwa mimea ya Spirulina Plantesis na Radix Panacis Quinquefoli

Faida na kazi za Spirulina kwa Mgonjwa wa Saratani

 • kupambana na seli za kansa
 • kuzuia athari za mionzi a kemikali kwa wagonjwa wa kansa
 • na kupambana na mzio ama alegi

Spirulina inafaa kutumika kwa

 • Watu walio kenye diet mfano wanaopunguza uzito
 • Wanariadha au watu wanaojenga misuli
 • Watu wanaokosa mlo kamili
 • Watu wenye tindikali kwa wingi kwenye damu na sehemu nyingine za mwili (acidosis)
 • Watu wenye matatizo ya kushuka kwa kinga mara kwa mara
 • Watu wanaofanya kazi kwenye mazingira ya mionzi mafno wanaotumia simu za mkononi kupita kiasi
 • Watu walio kwenye tiba za chemotherapy au radiotherapy na wagonjwa wa kansa.
 • Spirulina ina vidonge 60, Tsh 75,000/=

Kwa wagonjwa wa kansa ambao tayari wameanza tiba ya hospitali tunawashauri kufika ofsini kwetu ili kupata virutubisho hivi ambavyo vitakusaidia kuupa mwili nguvu ya kupambana na saratani na kuongeza kasi ya kupona kwako.

4.Cordyceps

cordyceps

Imetengenezwa kwa mimea tiba ya cordyceps sinensis

Kazi na faida za Cordyceps kwa mgonjwa wa saratani

 • kuimarisha kinga
 • kupambana na seli za saratani zisisambae
 • kuimarisha uwezo wa viungo vya ini, figo na mapafu
 • Kungeza nguvu kiujumla kwa wagonjwa wa saratani

Cordyceps inafaa kutumia kwa

 • wagonjwa wa saratani zote
 • wagonjwa wenye uhitaji sana wa nishati ya mwili
 • wenye kinga dhaifu na
 • wenye afya dhaifu

Gharama ya Cordyceps ni Tsh 75,000/=

Ofisi zetu zipo Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai,
Tuandikie kwa namba zetu 0678626254 kupata Huduma

Share and Enjoy !

Shares
Shares