Sababu za mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa

hamu ya tendo la ndoa
changamoto ya hamu yatendo la ndoa kwa wanawake

Nini kinapeleka Wanawake Kukosa hamu ya Tendo la Ndoa?

Nimekuwa napata kesi nyingi sana kutoka kwa akina mama hasa  wenye umri kuanzia miaka 25 na kuendelea  wakihitaji msaada kwenye ndoa zao kuhusu dawa ya kukosa hamu ya tendo la ndoa na kutofika kileleni baada ya kujifungua au kabla ya kujifungua.

Maana hawafurahii tendo la ndoa kama vile inavotakiwa. Tatizo linazidi kuongezeka kwa kasi na wengi hawafahamu chanzo cha tatizo hili hivo inakuwa vigumu kulitibu. Leo tutaongelea chanzo cha tatizo na jinsi ya kuepuka na kulitibu ili uendelee kufurahia unyumba.

Zifuatazo ni sababu za Maumivu wakati wa Tendo la ndoa zinazoletekeza Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa  kwa Mwanamke.

 1. Kuvimba kwa kuta za uke kutokana na kushambuliwa na fangasi au bakteria. Kuta hizi huanza kuwa na vijitundu vidogo vidogo na kadiri muda unavyokwenda bila kutibiwa, vitundu hivi huongezeka ukubwa na kuwa kama vidonda na hatimaye kuta za uke kuanza kumomonyoka na hali hii huondoa kabisa hamu ya kushiriki tendo.
 2. Matatizo ya shingo ya kizazi kutokana na maambukizi ya fangasi maeneo hayo. Kumwagika kwa mbegu za kiume muda mfupi  au saa kadhaa baada ya tendo ni dalili kuu ya tatizo hili. Pia mwanaume anapogonga shingo hii ya kizazi wakati wa tendo la ndoa mwanamke huwa kama anatoneshwa kidonda. Hali hii ya mbegu kurudi nje husababisha mwanamke kutoshika ujauzito.
 3. Uvimbe kwenye mji wa mimba/mfuko wa uzazi . Uvimbe huu kitaalam hujulikana kwa majina mengi lakini fibrod ni maarufu zaidi. Huanza kama mbegu ndogo ya mchicha na hukua kama boga kubwa. Mwanamke huongezeka ukubwa wa tumbo na baadaye huonekana kama ana mimba kubwa na watu hushangaa kwa nini hajifungui kipindi chote.
 4. Maumivu wakati wa tendo hasa chini ya kitovu huashiria tatizo kwenye mirija ya uzazi. Yawezekana ikawa ni tatizo la mirija ya uzazi kujaa maji machafu kutokana na kuzaliana kwa vimelea sana eneo hilo

Changamoto ya Kukosa Mimba

Maambukizi kwenye kizazi husababisha mirija ya uzazi kuziba kwani maji haya huwa mazito, kitu ambacho husababisha mayai ya uzazi na mbegu za kiume kushindwa kupenya.

Kutoshika mimba (ugumba) kwa mwanamke aliye kwenye ndoa au uhusiano kwa zaidi ya mwaka mmoja na anasikia maumivu ya aina hii ni kiashiria kikubwa cha tatizo .

Kumbuka matatizo ya uzazi unayokutana nayo kama maumivu makali kipindi cha hedhi, ugumba, kukosa hamu ya tendo la ndoa baada ya kujifungua ama kabla ya kujifungua , kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa, kuvurugika kwa hedhi, uzito mkubwa na kitambi  siyo kitu ulichoumbiwa, bali ni matokeo ya maisha unayoishi .

Kwa kifupi matatizo yote haya chanzo chake kikubwa ni kuvurugika kwa homoni za kike au hormonal imbalance. Matatizo haya siyo kwamba ni mabadiliko ya vinasaba kutokana na umri, ila ni matokeo ya mpangilio mbovu wa vichocheo ama homoni zako na hasa homoni za uzazi.

Hivo utakubaliana nami kwamba wanawake hawajaumbiwa kupata shida hizi zote hata kama umri wako umeenda, unahitaji kuendelea kufurahia tendo la ndoa. Sawazisha mpangilio wako wa homoni na matatizo yote haya utakuwa umeyakimbiza.

Dalili zifuatazo zinaonesha una Mvurugiko wa Homoni.

Unatakiwa kutumia dalili hizi kujifanyia uchambuzi wewe mwenyewe bila hata kufanya vipimo hospitali tayari utagundua kuwa una tatizo kwenye vichocheo ama homoni zako.

 1. Uzito kupungua ama kuongezeka bila mpangilio
 2. Tumbo kujaa gesi na kuhisi umeshiba mda mwingi
 3. Maumivu ya kichwa na kujuskia haupo kwenye mood nzuri
 4. Kupata msongo wa mawazo mara kwa mara
 5. Ugumba ama kutoshika mimba kwa kipindi kirefu
 6. Kukosa hamu ya tendo la ndoa ama kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
 7. Kuhisi mwili umechoka mara kwa mara
 8. Kuota ndevu na nywele kifuani
 9. Kupungua kwa uwezo wa kumbukumbu
 10. Kutokwa jasho jingi usiku na
 11. Ngozi kukakamaa
 12. Kukosa usingizi
 13. Uvimbe kwenye mfuko wa mimba

Tiba Kwa Hamu ya Tendo La ndoa

Baada ya kujifanyia upembuzi juu ya tatizo lako sasa tuangalie nini cha kufanya ili uweze kutibu dalili hizi kuanzia leo ukiwa nyumbani kwako.

Nataka nikwambie mpenzi msomaji na unayefatilia makala hizi kwa makini, kwamba vitu tunavyoweka tumboni vianachangia karibu 80% ya kuvurugika kwa mpangilio wa homoni zako.

Unatakiwa kuwa mvumilivu maana kusawazisha homoni ni kitu endelevu na kinachukua kuda kutokana na kwamba unajenga tabia mpya kwenye mwili wako. Hivo hatua ya kwanza katika kupangilia lishe na mlo wako ni

Kuondoa ama kufuta Vyakula ambavyo ni Hatari kwa Mwili wako.

Vyakula hivi ni kama sukari, pombe, ngano, na vyakula vilivyosindikwa. Unachotakiwa kufahamu ni kwamba chakula kibovu huletekeza kuvurugika kwa vichocheo ama homoni zako, mfano unapokula sukari kwa wingi ama vyakula vya sukari mwili mwili kupitia kongosho hutoa insulini kwa wingi ili kubadilisha sukari kuwa mafuta yanayohifadhiwa mwilini, kutolewa kwa insulini kwa wingi hupelekea kupungua kwa uzalishaji wa homoni zinazosaidia muimarisha mfumo wa uzazi.

Vyakula vya ngano pia vyenye protin inayoitwa gluten vinaharibu mpangilio wa homoni zako. Kemikali zinazobaki kwenye vyakula baada ya kupuliza madawa ya kuua wadudu kwenye mimea ni kihatarishi kikubwa cha homoni.

Baada ya kuhakikisha umeondoa vyakula hatarishi ambavyo ni chanzo cha kuvurugika kwa homoni zako sasa unahitaji kuongeza vyakula bora ambavyo vitakusaidia kusawazisha homoni zako. Hakikisha unakula zaidi vyakula vya mafuta, vyakula visivyokobolewa.

Hatua zingine za Kufanya

 1. Tumia virutubisho vya cordyceps na soy power . Unaweza kufika ofsini kwetu ukapata virutubisho hivi bila kupata adha ya kuagiza nje ya nchi.
 2. Kufanya mazoezi, mazoezi husaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa matatizo kabla na baada ya hedhi. Fanya mzoezi mepesi unayopenda mfano kutembea umbali mrefu, kukimbia nk.
 3. Epuka msongo wa mawazo, tafuta mazoezi rahisi ya kupunguza na kuepuka msongo wa mawazo, mazoezi kama yoga, meditation. Unaweza kusoma pia kwa kubonyeza hapa mnimeelza njia nzuri za kupunguza na kudeal na msongo wa mawazo.
 4. Hakikisha unapata usingizi wa kutosha walau masaa 8 mpaka 9 kila siku.
 5. Na pia punguza ama epuka kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe na vidonge

Tafiti zinasemaje Kuhusu Tiba za Mimea

Soy power

tiba ya hamu ya tendo la ndoa
Soy power+Cordyceps

Vidonge hivi vilivyotengenezwa kiasili kwa kutumia viambata vya mimea ya Radiz Paeoniae Alba Eztractum na Ganoderma husaidia: kuongeza ufanyaji kazi wa mfuko wa mayai , kuzuia Saratani ya matiti, na kuimarisha afya ya uke na hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake. Pia vidonge vinaongeza uzalishaji wa ute ute na kufanya uke kuwa mlaini ili ufike mapema kileleni na kufurahia raha ya tendo la ndoa.

Dawa zinagarimu Sh 150,000/= tu.  Hapa tutakupatia  virutubisho  vya asili vinavyotumika kwa mda wa week 4. Vitakuacha mwili ukiwa safi bila sumu na homoni zako zimesawazishwa. Kisha utafurahia tena tendo la ndoa kama zamani.

Muhimu kuzingatia

Muhudumu wetu atachukua maelezo ya chanzo cha tatizo lako kabla ya kukupatia dawa na virutubisho hivi, na ikibidi anaweza kupendekeza kuongezewa dawa zaidi ya zilizoandikwa kulingana na tatizo lako.

Ofisi zetu zipo Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai,
Chati na Daktari kwa Whatsapp kupitia namba : 0678626254 kupata Tiba Kwa Tsh 150,000/=

Share and Enjoy !

Shares
Shares