Mwanamke na uzazi

Virutubisho kwa wanawake.


1.Soy power

Kazi na na faida za soy power kwa afya ya mwanamke.

 • Kuongeza uzalishaji wa uteute(cervical mucus)ili uke kuwa mlaini uweze kufurahia tendo vizuri.
 • Kusaidia uzalishaji wa ute wa uzazi kwenye siku za hatari
 • Kuimarisha mazingira ya kizazi kwa ajili ya mbegu kuogelea na kurutubisha yai
 • Kuimarisha ufanyaji wa mifuko ya mayai(ovari) na upevukaji mayai
 • Kurekebisha homoni hasa kutokana na upungufu wa estrogen

Soy power inafaa kutumika kwa makundi yote hapa chini

 • Wanawake wanaotafuta mimba muda mrefu bila mafanikio
 • Wanawake wenye ukavu ukeni kutokana na upungufu wa homoni ya estrogen
 • Wanawake wanaokosa uteute wa mimba
 • Wanawake waliotumia uzazi wa mpango na wanataka kuzaa
 • Wanawake wenye matatizo ya kukoma hedhi
 • Wanawake wenye hormonal imbalance(kuvurugika kwa homoni) kwa kuzidi homoni za kiume (androgens)
 • Wanawake wanaokosa hamu ya tendo na kupata maumivu wakati wa tendo na ndoa kutokana na kukosa ute
 • Gharama: Tsh 90,000/=, vidonge 90

2. Kidney Tonfying

Viungo: Angelicae sinensis, Radix Ginseng, Fructus Lycii.

Kazi Na Faida ya Kidney Tonfying

 • Kuimarisha hamu na uwezo wa tendo la ndoa kwa mwanamke
 • Kusafisha na kuondoa taka zilizohifadhiwa kwenye figo
 • Kubalansi hormone za kike na hivo
 • Kurekebisha mzunguko wa hedhi

Kideney Tonfying yafaa Kutumiwa Na:

 • Wanawake wenye changamoto ya kuvurugika hedhi
 • Wanawake wenye mvurugiko wa homoni (hormonal imbalance)
 • Wanawake wanaokosa hamu ya tendo kabla ya kukoma hedhi
 • Gharama Ni Tsh 90,000/= vidonge 100

3.Garlic oil softgel

Kazi Na Faida za Garlic oil softgel kwa mwanamke.

 • Kuangamiza na kuzuia kukua kwa bakteria wa aina nyingi na maambukizi ya fungus
 • Kuinua kiwango cha kinga na afya kwa ujumla

Inafaa zaidi Kutumiwa Kwa:

 • Watu wenye maambukizi sugu (bakteria na fungus)
 • Watu wenye upungufu wa kinga za mwili
 • Wanawanake wanaougua UTI mara kwa mara
 • Gharama ;Tsh 75,000/= vidonge 60.

5.Uterus cleansing Pills(UCP)

Vidonge vya kusafisha kizazi vya UCP

Uterus cleansing pills (UCP) ni Dawa yenye vidonge 2 kama vinavyoonekana kwenye picha hapo juu, ambayo vinatumika kwa wiki moja. Matumizi ya vidonge ni kwa kuweka kidonge ukeni na kutoa kila baada ya siku tatu, unapumzika siku 2 unaweka kidonge kingine .

Vidonge vimetengenezwa kitaalamu kupitia muunganiko wa mimea na kuhifadhiwa vizuri ili kutunza uasili wa dawa pasipo kuwekwa kemkali.
UCP imetengenezwa kiasili ili kutatua changamoto mbalimbali za wanawake kama kuziba kwa mirija, uchafu ukeni ,miwasho na ugumba.

Makundi ya Wanawake wanaotakiwa Kutumia UCP ni pamoja na wanawake wenye

 • Uvimbe kwenye mifuko ya mayai (ovarian cysts)
 • Maambukizi sugu kama PID na fangasi
 • Kuziba kwa mirija ya uzazi
 • Miwasho ukeni
 • Kutokwa na uchafu wenye harufu ukeni na
 • Waliowahi kutoa mimba au kuharibikiwa na mimba

Ucp haitumiki kwa

 • Wanawake Bikra
 • Wanawake wajawazito na
 • Kipindi cha hedhi

Gharama za vidonge vya UCP ni sh 50,000/= Na Tunaweza kushauri utumie dozi kubwa ya Tsh 100,000/= kutokana na ukubwa wa tatizo.

ANGALIZO

Kuna wimbi kubwa la wajasiliamali mitandaoni wanauza vidonge vyenye mfanano na hivi vya UCP, tena wanauza kwa bei rahisi sana. Watu hao siyo madaktari wala siyo wataalamu wa afya na wanauza bidhaa feki ambazo ni hatari wa afya yako. Wengi wao hawana hata ofisi, ukipata madhara unakosa pa kuuliza. Kuwa makini na watu hao, wamejaa sana insta na fb.

Tupigie ama kuchati whatsapp namba 0678626254.

Share and Enjoy !

Shares
Shares