Categories
Dondoo za afya

Mafuta ya Black seed Yatakutibu Bawasili na Kukosa Choo

mafuta tiba ya bawasili
black seed oil

Kwanza kabisa muhimu tufahamu bawasili nini na kitu gani kinapelekea
mtu kuugua bawasili na kukosa choo kwa muda mrefu ama kupata choo kigumu. Tafadhali soama makala yote mpaka mwisho nataka ujifunze kitu muhimu ili upone mapema.

Bawasili ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa. Na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.

Aina Za Bawasili.

Bawasili ya ndani

Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa wana tatizo hili. Bawasili hii inatokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa ateri za ndani ya mfereji wa haja kubwa

Aina hii imegawanyika katika madaraja manne

  1. Daraja la kwanza: Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pale panapohusika
  2. Daraja la pili: Hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyewe ndani baada ya kujisaidia.
  3. Daraja la tatu. Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe.
  4. Daraja la nne :Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi.

Bawasili ya nje

Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali. Dalili zingine ni kuwashwa mkunduni na hata husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka.

Nini Chanzo Cha Bawasili

Bawasili kwa kiasi kikubwa huletekezwa na kuongezeka kwa mgandamizo ama presha mara nyingi ni pale unapojikaza ili kutoa haja kubwa. Hivo bawasili huwatokea zaidi watu wenye matatizo ya mfumo wa umen’gemnyaji, mfano unapata choo kigumu, tumbo kujaa gesi, kukosa choo kwa siku kadhaa.

Wamama wenye ujauzito pia huwa kwenye hatari kubwa ya kupata bawasili. Hii ni kutokana na mtoto aliye tumboni kugandamiza tumbo la chakula na hivo kuathiri utoaji wa haja kubwa. Kwa bahati nzuri bawasili inayosababishwa na ujauzito huanza kuisha pale tu mama anapojifungua.

Watu wenye kitambi na uzito mkubwa pia wapo kwenye hatari kubwa ya kupata bawasili kutokana na mwili kushindwa kutengeneza nishati ya kutosha kusukuma uchafu kwenye utumbo.

Hatua Nne Za Kuzuia Kutokea Kwa Bawasili

  1. Kula mbogamboga za majani, na nafaka zisizokobolewa, matumizi ya vyakula vya nyuzinyuzi kwa wingi husaidia kuongeza ukubwa wa kinyesi na hivo kurahisha utolewaji wake.
  2. Tumia machungwa kwa wingi, machungwa yana kiungo kinachoitwa flavonoids, kiungo hiki ni muhimu katika ustawi wa mishipa ya damu ya vena mishipa hii ndio huathirika na kuletekeza bawasiri.
  3. Kunywa maji ya kutosha kila siku, tumia kiu na rangi ya mkojo kama kiashiria cha kiasi gani cha maji unatakiwa kunywa, kama mkojo ni wa rangi ya njano inayokolea basi ni kiashiria kwamba mwili hauna maji ya kutosha na unatakiwa kunywa. Nyuzinyuzi na maji ya kutosha husaidia kulainisha choo chako na hivo kurahisisha utolewaji wake bila kujikamua.
  4. Fanya mazoezi mara kwa mara hasa mazoezi ya squats kila siku asubuhi na jioni, yatakusaidia utolewaji mzuri kwa choo bila kujikamua. Tazama hapa chini nama ya kufanya squats.
mazoezi ya squats.

Tiba ya bawasili na Kukosa choo kupitia mafuta haya ya Black seeed.


Mafuta haya ya black seed yamekuwa yakitumika kwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita kutibu changamoto mbalimbali kama minyoo tumboni, maumivu ya kichwa pumu na kukosa choo.

Hivi sasa mafuta haya yameonekana kutibu magonjwa mengine zaidi kama bawasili, gesi tumboni, kuharisha na kuimarisha usagaji wa chakula tumboni.

Jinsi ya Kutumia Mafuta haya ya Black Seed.

  1. ili kutibu bawasili changanya chukua vijiko viwili vya mafuta ya black seed kisha changanya na apple vinegar vijiko vitatu kisha upakae eneo la haja kubwa penye uvimbe mara tatu kwa siku.
  2. Kutibu kukosa choo au choo kigumu, tengeneza chai yaani mchaichai+vinegar vijiko vitatu na mafuta ya black seed vijiko viwili na asali kijiko kimoja kisha kunywa mara tatu kwa siku.

Kumbuka kufanya upasuaji ama kukata hicho kinyama bado siyo suluhisho la moja kwa moja. Hakikisha unafata ushauri hapo juu na kutumia mafuta yetu haya ya black seed.

Kutokana na uhitaji wa mafuta haya kuwa mkubwa watu wengi wasio waaminifu wanatengeneza mafuta feki ya black seed ambayo hayatibu. Tumejitahidi kufanya utafiti na kuagiza mafuta kutoka Pakistan, ambayo ni salama na hayajachakachuliwa. Fika ofsini kwetu, ama tupigie kwa mkoani tukutumie mafuta yetu halali ya black seed.

Ofisi yetu ipo magomeni Bei ya Mafuta haya ni Tsh 40,000/= kwa dozi moja.
Tuandikie kwa whatsapp no 0678626254 kuanza tiba

Share and Enjoy !

Shares
Categories
Dondoo za afya

Chai ya Pine Pollen ni Tiba ya Tezi Dume na Nguvu za kiume.

chai ya pine ni tiba ya tezi dume
pine pollen tea

Chai ya pine imetengenezwa kupitia mimea ya pine pollen na Green Tea .

Kazi na Faida za Chai ya Pine kwa Afya ya Kiume

  • Inazuia na kutibu dalili za tezi dume kama maumivu wakati wa kukojoa, kukosa hamu ya tendo na kupata mkojo kidogo.
  • Inaimaisha kiwango wa homoni ya kiume na hivo kuimarisha afya ya tendo la ndoa
  • Inatoa vitamini na madini ya kutosha kuimarisha afya ya uzazi kwa mwanaume.

Chai ya pine inawafaa

  • Wanaume wote wenye magonjwa ya tezi dume
  • Wenye tatizo la nguvu za kiume na kukosa hamu ya tendo
  • Wanaume wanaoshindwa kumpa mwanamke mimba na
  • Wanaume wote wanaohitaji kuimarisha afya ya tendo la ndoa

Gharama ya Chai ni Tsh 50,000/=
Ofisi zetu zipo hapa Mwembechai Magomeni.
Tuandikie whatsapp kwa namba 0678626254 kuanza tiba

Makala inayofuata: Kwanini unashindwa kumudu tendo la ndoa

Share and Enjoy !

Shares
Categories
Dondoo za afya

Kinachosababisha Maumivu makali wakati wa Kukojoa

Maumivu Makali Wakati wa Kukojoa

maumivu makali wakati wa kukojoa

Kupata maumivu makali wakati wa kukojoa kitaalamu inaitwa Dysuria. Kitendo hichi huwapata zaidi wanawake kuliko wanaume. Maumivu haya mara nyingi hutokana na maambukizi kwenye njia ya mkojo (UTI) au maambukizi ya magonjwa ya zinaa(STD), lakini pia maumivu haya yanaweza kuashiria tatizo kubwa la kiafya kama saratani au kisukari.

Dalili Mbaya ni kama

  • Kukojoa kwa shida
  • Kujisikia hali ya kuchomachoma wakati wa kukojoa
  • Muwasho wakati na baada ya kukojoa
  • Mkojo kuwa na rangi ya mawingu
  • Kupata mkojo wenye chembechembe za damu (hematuria), kwa kesi hii ni muhimu kumwona daktari mapema ili ufanyiwe vipimo kugundua chanzo.

Chanzo cha Maumivu Makali Wakati wa Kukojoa

  • Maaambukizi ya bakteria
  • Maaambukizi kwenye njia ya mkojo(UTI)
  • Kuvimba kwa tishu za ndani za mrija kwa kutolea mkojo
  • Kufanya ngono iliyo rafu
  • Kuosha uke mara kwa mara
  • Matumizi ya njia za kupanga uzazi hasa za kuweka ukeni
  • Matumizi ya sabuni kuosha ukeni
  • Magonjwa ya tezi dume
  • Saratani
  • Matatizo kwenye figo mfano mawe ya figo
  • Lishe
  • Tiba ya Chemotherapy radiotherapy kwa ajili ya saratani
  • Vimbe kwenye utumbo mdogo
  • Matatizo kwenye kibofu cha mkojo

Kwa watoto mamumivu haya (Dysuria) yanaweza kutokana na kitendo cha mkojo kurudi kutoka kwenye kibofu kwenda kwenye figo kutokana na kuwepo kwa jeraha au kizuizi kwenye njia ya kutolea mkojo

Makundi yaliyo Katika Hatari zaidi ya Kupata Dysuria

  • Wanawake
  • Wanawake wajawazito
  • Wagonjwa wa kisukari
  • Kukua kwa tezi dume
  • Kuwa na matatizo kwenye kibofu cha mkojo
  • Kufanya ngono bila kutumia kinga, unakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa ya zinaa.

Tiba asili ukiwa nyumbani kwa Tatizo la Maumivu Makali Wakati wa Kukojoa

  1. Kunywa maji ya kutosha
    Kunywa maji mengi kunasaidia kusatoa nje sumu na taka na hivo kupunguza mamumivu wakati wa kukojoa. hakikisha kila unapopata kiu kunywa maji na siyo soda.
  2. Mafuta ya karafuu
    mafuta ya karafuu yanafahamika kwa kupambana na vimelea wbaya na fangasi na pia kuimarisha kinga ya mwili. Mafuta ya karafuu yasitumike zaidi ya week mbili kama unameza.
  3. Vitamin C
    Ni muhimu kula kwa wingi vyakula vyenye vitamin C pale unapohitaji kuimarisha kinga ya mwili kupambana na maambukizi. Vyakula hivi ni kama machungwa, strawberries, papai, mananasi,mapera, maembe na mboga za broccoli.
  4. Kula vyakula vinavyosaidia kuongeza bakteria wazuri tumbo. Vyakula hivi ni kama maziwa mtindi.

Angalizo

Kama tatizo lako la mamumivu wakati wa kukojoa limetokana na magonjw aya zinaa, ni muhimu kwa mwanamke mwenye maambukizi haya kumaliza dozi vizuri ili kuzuia hatari ya kuwa mgumba na maatizo mengine ya uzazi.
Kama tatizo lako limesababishwa na UTI ni muhimu kutibu kwanza ugonjwa husika. Kama usipotibu UTI vizuri inaweza kusababisha matatizo kwenye figo.

Ukiwa na swali tuandikie kwa Whatsapp no 0678626254

Bofya kusoma makala inayofuata:Chanzo cha Uume mdogo/kibamia

Share and Enjoy !

Shares
Categories
Dondoo za afya

Vyakula vya kupunguza Cholesterol

Cholesterol ni nini?

cholesterol
Cholesterol plaque in artery

Cholesterol ni vitu vyenye mwonekano wa mafuta ambavyo hutengenezwa na ini kwa ajili ya kusaidia ufanyaji kazi wa seli za mwili, homoni na neva. Mwilini kuna cholesterol nzuri na ile mbaya.

Cholesterol ni muhimu sana kwenye mwili. Lakini kiwango chake kinapozidi ni hatari kwani mafuta haya yaaweza kuziba kwenye mirija ya damu na kupunguza mzunguko wa damu kwenda kwenye viungo muhimu vya mwili. Mafuta haya yanapozidi kujikusanya kwenye mirija ya damu huongeza hatari ya kupata shambulizi ya moyo(heart attack) au kiharusi(stroke).

Je nini Kinasababisha Cholesterol kuwa Nyingi?

Amini usiamini jibu ni tofauti kabisa na wengi wanavodhani kwamba kula vyakula vyenye mafuta ndio chanzo. Kwanza tujue aina za cholesterol.

Aina za cholesterol

Kuna aina mbili za cholesterol, high density lipoprotein(HDL) ambayo ni cholesterol nzuri na low density lipoprotein(LDL) -cholesterol mbaya.

LDL ikiongezeka zaidi huleta hatari ya magonjwa kama shambulizi la moyo na stroke.
HDL-cholesterol nzuri husafiri ndani ya damu. Kazi yake ni kuondoa LDL-mafuta mabaya na kusaidia kulinda afya ya mishipa ya damu na damu iweze kusafiri vizuri. Kumbe ili uonekane na afya njema yatakiwa kiwango cha HDL kiwe kikubwa zaidi kuliko LDL.

Hatari za cholesterol kupanda kwenye damu

Kama tulivosoma mwanzo mwili unahitaji sana cholesterol katika shughuli zake,japokuwa cholesterol mbaya inapozidi hapo shida inaanza. Mishipa ya damu inapungua kipenyo chake pale mafuta mabaya yanapojikusanya kwa ndani an hivo kufanya mzunguko wa damu kuwa mgumu.

Endapo mafuta yataendelea kujikusanya kwenye mishipa kwa mda mrefu unaweza kupata shambulizi la moyo au hata stroke. Hii ni kwa sababu mzunguko wa hewa unapungua kuelekea kwenye moyo na ubongo.

Pamoja na kwamba mwili wako una tabia ya kusafisha cholesterol mbaya kwenye mishipa, ulaji wa vyakula vibovu hasa vyenye mafuta ya kusindikwa yanapunguza uwezo huu wa mwili. Na hivo kupelekea cholesterol mbaya kupanda kupita kiasi.

Nini kifanyike ili kupunguza mafuta mabaya?

Kumbuka kwamba ufanyaji kazi wa aina hizi mbili za cholesterol ni tofauti kabisa. Cholesterol nzuri ya HDL yenyewe inasafiri kwenye mishipa ya damu na kusafisha mafuta mabaya. lakini ile cholesterol mbaya-LDL yennyewe haina tabia ya kusafiri, bali inaganda na kuanza kuziba mshipa wa damu.

Je ni jinsi gani upunguze kiwango cha LDL na uongeze HDL ili kuimarisha afya ya moyo wako? Hii ndio mada yetu ya leo, endelea kusoma zaidi.

Jinsi ya kupunguza Cholesterol mbaya Mwilini
(vyakula vya kutumia kwa wingi)

  1. Mafuta ya zeituni
    Tafiti zimegundua kwamba matumizi ya mafuta ya zeituni(olive oil) mara kwa mara husaidia kupunguza kiwango cha mafuta mabaya mwilini.
  2. Mboga za majani
    Mbogamboga zimejaa madini, vitamini na kambakamba(fibers). Matumizi ya mboga za majani mara kwa mara hupunguza mafuta mabaya kwenye mishipa ya damu.
  3. Karanga
    Karanga zimejaa mafuta mazuri na kambakamba, sababu hizi mbili pekee zinakufanya uchague karanga na jamii zake kama chakula cha muhimu.
  4. Mbegu za maboga
  5. Vitunguu saumu
    • Tafiti zinasema kutafuna vitunguu saumu mfululizo kwa miezi miwili hupunguza hatarai ya kupata magonjwa ya moyo kwa kiasi kikubwa.
  6. Parachichi: Matunda haya yana madini ya potasimu, kambakamba na mafuta mazuri ambayo husaidia kurekebisha cholesterol mwilini.

Vyakula vya kuepuka

Ni muhimu sasa kusafisha jiko lako na kuondoa vyakula sumu vinavyokufanya uwe na cholesterol nyingi kupita kiasi. Vyakula hivi ni kama

  1. Sukari na Wanga uliochakatwa na kusafishwa
  2. Pombe
  3. Caffeine
    Matumizi makubwa ya vinywaji vyenye caffeine nyingi kama kama kahawa, soda na energy drinks inaweza kuongeza cholesterol.

Virutubisho vya Kutumia kwa Mgonjwa wa Cholesterol ili kuepuka dawa za hospitali zenye madhara.

1.Chitosan

Tsh 75,000/=


Chitosan husaidia kupunguza mafuta mabaya kwenye mishipa ya damu
Kurekebisha sukari kwenye damu, Kuimarisha uwezo wa ini na kuzuia athari za sumu kwenye ini.

2.Garlic oil softgel

Tsh 75,000/=


Inasaidia kupunguza cholesterol mbaya kwenye mishipa ya damu,
kurekebisha shinikizo la damu na kulinda mfumo wa damu na
Kuzuia magonjwa ya moyo.

Gharama zote kwa tiba ya kusafisha cholesterol mbaya mwilini ni Tsh 150,000/= Dozi ya mwezi mmoja tu. Pia dawa zitakukinga dhidi ya magonjwa ya moyo kama presha na kutanuka moyo.

Tuandikie kwa Whatsapp no 0678626254 kuanza tiba mapema kabla hujapata matatizo makubwa mfano moyo kufeli na stroke.

Share and Enjoy !

Shares
Shares