1.livergen
Viungo: Cassia Seed, Fructus Lycii, White Chrysanthemum, Root of Dahurian Angelica, Rhizoma Dioscoreae, Dandelion
Kazi na Faida za livergen :
- Kuchochea utoaji sumu mwilini
- Kuboresha mzunguko wa damu ndani ya mishipa midogo ya ini na kuimaarisha utendaji wa ini
- Kusaidia ujenzi wa seli mpya za ini
- Kupunguza kasi ya kuharibika kwa ini (liver cirrhosis) kunakochangiwa na ini kuwa na mafuta, hepatitis na utumiaji wa pombe
- Kuzuia uharibifu wa ini kutokana na kemikali, metali nzito, madawa, sumu ndani ya chakula na vichafuzi vingine.
Inafaa Kutumika Kwa:
- Watu wanaotaka kuondoa sumu katika miili yao
- Watu wenye matatizo ya ini kama mafuta (Fatty liver),homa ya ini(hepatitis), homa ya nyongo ya manjano (jaundice), liver cirrhoses na magonjwa mengine
- Watu wenye magonjwa ya nyongo (cholecytitis), kokoto ndani ya nyongo (gallstone), wenye homa ya nyongo ya manjano au wenye matatizo mengine ya nyongo
- Watu wanotumia sana pombe
- Watu wanaoishi kwenye mazingira hatarishi
Gharama Tsh 85000/= vidonge 60 .vyenye uwezo wa 500mg@
2. Cordyceps
Viungo: Cordyceps sinensis mycelium, Radix ginseng
Kazi na Faida za codiceps.
- Kuongeza kinga dhidi ya mashambulizi ya vimelea viletavyo maradhi;
- kupambana na seli za kansa;
- Kuboresha ufanyaji kazi wa ini, mapafu na figo;
- Kuongeza nguvu kwa wenye matatizo ya uchovu wa muda mrefu.
Inafaa Kutumiwa zaidi kutumiwa na:
- Watu wenye udhaifu wa kinga; mfano wenye magonjwa kama , mafuta kwenye ini, TB, Ukimwi na wanaotumia tiba za Chemotherapy na Radiotherapy.
- Watu wenye udhaifu katika ufanyaji kazi wa maini, mapafu, au figo;
- Wanariadha wanaohitaji nyongeza ya nguvu katika mwili.
Gharama Tsh 65,000/=, capsule 60
3. Lecithin softgels
Kazi na Faida zake:
- Kulilinda ini na kusaidia ufanyaji kazi wa ini.
- Kiungo muhimu cha ngozi izungukayo seli (cell membrane);
- Kuimarisha mfumo wa neva na kuboresha ubongo;
- Kupunguza kiwango cha lipids katika damu kwa kubadilisha mafuta mabaya (LDL) kuwa mafuta mazuri (HDL);
Yafaa zaidi kutumika kwa:
- Watu wanaohitaji kuboresha kumbukumbu na umakini wa ubongo
- Watu wenye uwingi wa lipids katika damu, matatizo ya ini, moyo na ubongo
- Watu walio katika hali mbaya au wenye matatizo ya muda mrefu ya mafuta kwenye ini, homa ya ini (hepatitis) na liver cirrhosis.
Gharama Tsh 75,000/= vidonge 100, 1.2gm@