Detox care package

Orodha ya virutubisho kwa ajili ya kutoa sumu mwilini na kusafisha mifumo ya mwili.

1.Chitosan

chitosan
Kazi na Faida za Chitosan
 • Hupunguza mafuta mabaya kwenye damu, kusaidia kupunguza uzito;
 • Hupuguza sukari katika damu;
 • Kuimarisha ufanyaji kazi wa ini,kuzuia ini lisiharibiwe na sumu;
 • Husaidia uponyaji wa kansa ya tumbo.

Chitosan yafaa zaidi kutumiwa na

 • Watu wenye nia ya kupunguza uzito;
 • Watu wenye kiwango kikubwa cha cholesterol mbaya na sukari;
 • Watu wenye mafuta kwenye ini (fatty liver), hepatitis na matatizo mengine ya ini;
 • Wagonjwa wenye mawe kwenye kifuko cha nyongo(Gallstones/Cholelithiasis
 • Watu wenye kansa ya tumbo.

Gharama Tsh 75,000/= vidonge 60

2.Aloe vera capsules

Kazi na faida za Aloe vera

 • Kuboresha uchakataji wa chakula tumboni, kuongeza kasi ya kutoa sumu mwilini;
 • Kuondoa maumivu na kupunguza joto la mwili;
 • Kuondoa dalili za uvimbe

Yafaa Kutumika Kwa:

 • Watu wenye matatizo katika tumbo, kama kuharisha sugu na  vidonda vya tumbo
 • Watu waliofunga choo na kupata choo kwa shida (constipation)
 • Watu wenye uvimbe sugu na matatizo ya ngozi na
 • Wagonjwa wenye mawe au mafuta kwenye kifuko cha nyongo
 • Gharama Tsh 75,000/= vidonge 60.

3.Detoxin pad

Viungo:Bamboo vinegar, Vitamin C, Chitosan na  Tourmaline.

Kazi Zake na Faida
 •  Kutoa sumu na mabaki kutoka kwenye mwili kupitia vijitundu vya kwenye ngozi
 •  Kuondoa maumivu ya ngozi, misuli na maungio ya mifupa

Yafaa zaidi kutumika kwa:

 • Watu wenye afya duni
 • Watu wanaosimama kwa muda mrefu, wanaotembea sana na wanaokuwa kuwa kwenye mionzi ya kompyuta
 • Watu wenye maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo (lumbago), wenye mauvimu ya maungio ya mifupa (arthritis) na maumivu ya misuli.
 • mtu yeyote anayependa kusafisha mwili na kutoa sumu.
 • Gharama Tsh 75,000/=  , padi 10 

4.Livergen

livergen

Kazi na faida za livergen

 1. Kuchochea utoaji sumu mwilini
 2. Kuboresha mzunguko wa damu ndani ya mishipa midogo ya ini na kuimaarisha utendaji wa ini na kifuko cha nyongo
 3. Kusaidia ujenzi wa seli mpya za ini
 4. Kupunguza kasi ya kuharibika kwa ini (liver cirrhosis) kunakochangiwa na ini kuwa na mafuta, hepatitis na utumiaji wa pombe
 5. Kuzuia uharibifu wa ini kutokana na kemikali, metali nzito, madawa, sumu ndani ya chakula na vichafuzi vingine.
 6. Gharama sh 85,000/=

Ofisi zetu zipo Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai,
Chati na Daktari kwa Whatsapp kupitia namba : 0678626254 kupata Huduma

Share and Enjoy !

Shares
Shares