Weight loss natural supplements

Maelezo ya utangullizi kuhusu tatizo la uzito mkubwa na kitambi

Kansa au saratani siyo tatizo moja tu linaloletekezwa na uzito mkubwa na vitambi bali kuna magonjwa mengine mengi yanayoambatana ikiwemo, kisukari aina ya 2, matatizo ya kupata usingizi na kukoroma usingizini, uvimbe kwenye kizazi, ngiri, Matatizo katika njia ya mkojo, Stroke, Upungufu wa nguvu za kiume, Magonjwa ya Moyo, Pumu, Magonjwa ya Joints na mifupa na mengine mengi . Uzito mkubwa husababisha kutofanya kazi vizuri kwa mifumo ya mwili, kufeli kwa utendaji huo ndipo unaletekeza magonjwa yaliyotajwa hapo juu.

Karibu 30% ya watu wote duniani wana uzito uliopitiliza na vitambi na hii imepelekea kuongezeka kwa kesi za  saratani ama kansa. Ripoti  moja inasema kwamba inakadiriwa kuwa uzito mkubwa na kitambi vinachangia karibu watu 500,000 kuugua saratani kila mwaka. Theluthi mbili ya kesi hizi za saratani zinatokea Ulaya na Amerika ya kaskazini. Wanawake wakiwa kwenye hatari kubwa zaidi ukilinganisha na wanaume, aina hizi za saratani ya shingo ya kizazi, saratani ya utumbo mpana, na saratani ya matiti. Kutokana na tafiti hizi inaonesha kwamba ifikapo mwaka 2030 basi karibu nusu ya watu wazima duniani watakuwa na uzito mkubwa na vitambi.

Kwa bahati mbaya ni kwamba kuna wimbi kubwa la taarifa mitandaoni zisizo sahihi kuhusu njia gani zitumike ili kupunguza uzito, huku msemo mkubwa uliozoelekea pengine hata kupigiwa chepuo na mamlaka mbalimbali za afya na makampuni makubwa ni huu “kula kidogo fanya mazoezi sana”. Swali la kujiuliza mimi na wewe ni kwamba kwanini tatizo hili la watu kuwa na uzito mkubwa na vitambi limeongezeka mara tatu tangu mwaka 1960?, jibu rahisi ni kwamba ushauri huu wa kula kidogo na kufanya mazoezi ni ni uongo na hauwezi kutusaidia kwenye vita hii.

Dr Ludwig, mbobevu na mtafiti katika maswala ya homoni na uzito, alieleza katika utafiti wake kwamba tatizo siyo kula sana ndiko kunamfanya mtu kuwa na uzito mkubwa na kitambi, uzito mkubwa na kitambi ndivyo humfanya mtu kula sana. Unapokula Zaidi vyakula vya wanga, sukari na vilickakatwa kupita kiasi kama mikate, tambi, mandazi, wali, ugali na viazi mviringo , mwili hubadilisha na kuhifadhi nishati yake katika mfumo wa mafuta kwenye seli zinazoitwa Visceral adipose tissues.

Seli hizi hufyonza kwa kasi vyanzo vya nishati kwenye damu kama sukari na mafuta, na kuufanya mwili kuhisi una njaa kali na hivo kuhitaji ule Zaidi ili ufidie gape hilo, shuguli yote hii inaratibiwa na homoni ama vichocheo vya insulin, cortisol na leptin.unaweza kusoma Zaidi kuhusu homoni hizi kwenye Makala ya kisukari hapa (fahamu ugonjwa kisukari) utagundua kuwa kadiri unavozidi kuwa mnene zaidi ndipo mwili utahitaji kula Zaidi mara kwa mara na inakuwa ni mwendelezo.

CHUKUA MASOMO HAYA 8 YATAKUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO WAKO NA KUPANGILIA MLO WAKO

 1. Kula sana hakukufanyi uwe na uzito mkubwa nakitambi, bali seli zako zinazohifadhi mafuta hukufanya uwe mlevi wa chakula na njaa na kula Zaidi na Zaidi
 2. Ulaji wa wanga na skari kupita kiasi ni mbolea dhidi ya utengenezwaji wa seli za kuhifadhi mafuta, kifupi ni kwamba kadiri unavokula wanga na sukari ndivo unavozidi kuwa mnene
 3. Kupunguza idadi ya milo siyo suluhisho katika kupunguza uzito, bali kubadili lishe yako na kutumia Zaidi vyakula vya mafuta
 4. Ulaji wa vyakula vya mafuta kwa sana, protini nyingi na sukari kidogo huufanya mwili uongeze kasi ya kuunguza mafuta yaliyohifadhiwa kwenye adipose tissues na kukata njaa inayokufanya uwe mlevi wa kula mara kwamara
 5. Kumbuka kupangilia unachokula ni rahisi Zaidi kuliko kuhesabu kiwango cha chakula tunachokula au kuheshabu kalori.
 6. Sahau kuhusu elimu ya kuhesabu kalori ambayo umefundishwa miaka yote maana haijaksaidia kuounguza uzito wako badala yake unazidi kuwa mnene na kitambi kuongezeka, anza kuweka mtazamo wako katika aina ya chakula unachokula na virutubisho unavyopata kwenye chakula husika.
 7. Punguza kiwango cha sukari kwenye damu kupitia program yetu ya THE DIABETIC SOLUTION, ili usaidie mwili kuunguza mafuta na kupunguza uzito kirahisi.
 8. Usijilaumu kwa kuwa una uzito mkubwa na kitambi, kumbuka hujapenda wewe kuwa hivi bali ni mabadiliko ya homoni zako ndizo zimekufikisha hapo ulipo,badili mtazamo wako na ubadilishe aina ya lishe ndipo utaanza kupungua uzito.

VIRUTUBISHO MUHIMU ILI KUPUNGUZA UZITO

1.Slimming capsules

slimming caps
chitosan
 • Sifa za kazi za kirutubisho hiki katika kupunguza uzito
 • Kuongeza kasi ya shuguli za mwili (metabolism) na hivi kuongeza kasi ya uchomaji wa mafuta ili kutoa nishati
 • Kupunguza uchukuaji wa kalori wa mwili kwa kupunguza ulevi wa kula kupita kiasi
 • Kusaidia kupunguza unene kwa usalama na taratibu bila kurudiwa na unene wala kuacha mikunyanzi
 • licha kukusaidia kupunguza unene pia hufanya mwili kuwa mrembo
  • dawa inawafaa zaidi
   • watu walioko kwenye diet na wanaotaka kupunguza uzito
   • watu wanaohitaji kuzia unene kupita kiasi na kitambi
   • wenye uzito mkubwa na kitambi.
   • Dawa ina vidonge 60 vyenye uwezo wa 500mg. inapatikana kwa gharama ya Tsh 90,000/=

2. Pro slim-Tea

imetengenezwa kwa mimea na viungo vya (Folium Nelumbinis, Semen Cassiae, Semen Raphani, Fructus Cannabis, Flos Aurantii, Pollen Pini Extractum)

kazi na sifa za chai hii katika kupunguza uzito

 • Kuongeza kasi ya uchakataji na uvunjanji wa mafuta yaliyohifadhiwa kwenye seli ili kupata nishati.
 • Kuunguza mafuta kama nishati ili kupunguza kiwango cha mafuta cha mwili;
 • Kupunguza ufyonzwaji wa mafuta na kusaidia kupunguza uzito.
 • kirutubisho hiki huwafaa zaidi
  • watu wenye uzito mkubwa na kitambi
  • watu waliopo katika diet na program za kupunguza unene.
  • Gharama ya chai hii ni Tsh 50,000/= ikiwa na jumla ya bags 16 zenye ujazo wa 4gm.

Dawa zote hizi asili zinapatikana kupitia ofisi zetu za hapa Dar es salaam, Magomeni Mwembechai. Wasiliana na wahudumu wetu kwa namba 0678626254 utapata ushauri bure juu ya mpangilio wa lishe yako ili uanze safari ya kupunguza uzito na huduma ya dawa asili. Gharama jumla ni Tsh 140,000/=

Kama upo mkoani basi usihofu maana utatumiwa dawa baada ya kufanya malipo.

Tuandikie kwa whatsapp namba 0678626254 uanze tiba

Share and Enjoy !

Shares
Shares