Categories
Dondoo za afya

Kwanini Unanuka mdomo

Leo nataka kushea na wewe njia zangu rahisi jinsi gani uweze kutibu tatizo la kunuka mdomo, ikiwemo lishe na virutubisho vya kutumia katika program yako.

Kunuka mdomo ni hali ambayo kila mtu haipendi na moja ya matatizo ambayo watu huona aibu sana kuelezea. Lakini nataka nikwambie rafiki yangu unaesoma makala hii kwamba ukitaka kutibu tatizo la kunuka mdomo  inahitajika kufahamu chanzo cha tatizo hili.

Kikawaida kunuka mdomo kunasababishwa na kumea kwa bakteria wabaya kwenye mwili wako. Lkini kunuka mdomo ambako ni sugu na imekuwa ni hali ya muda mrefu husababishwa ukuaji kupita kiasi wa fangasi aina ya Candida kwenye mwili. Baadhi ya vyakula kama kitunguu saumu vinaweza kukupa ahueni ya muda mfupi . Nependa ufahamu kwamba kunuka mdomo si tu kwamba inaleta karaha bali pia ni kiashiria kwamba una tatizo kubwa la kiafya

Sababu Za Kunuka Mdomo

Karibu kila mmoja wetu hupata tatizo la kunuka mdomo katika muda fulani kwenye maisha yake. Wakati mwingine kisababisho kinaweza kuwa ni chakula ulichokula au aina ya bacteria wanaopatikana kwenye mdomo wako.

Harufu mabaya kwenye mdomo hutokea nyuma ya ulimi, kwenye koo na kwenye tonsils. Huku ndiko bacteria wabaya wanakozailiana na kutoa kemikali za Sulphur ambazo ndizo huleta harufu mbaya. Kwahiyo harufu mbaya mdomoni inaweza kusababishwa na ulaji wa vyakula vyenye Sulphur kwa wingi.

Ambapo kikawaida harufu hii huisha baada ya chakula kuchakatwa. Harufu mbaya mdomoni ya muda mrefu ni kiashiria cha uwepo wa tatizo la kiafya ambapo yaweza kuwa ni

  • Kutofanya usafi wa mdomo kwa makini
  • Lishe duni isiyo na virutubisho vya kutosha
  • Magonjwa ya fizi
  • Kuoza kwa meno na
  • Mataizo mengine ya kiafya kama kisukari au magonjwa ya ini

Ulaji wa vyakula hivi inaweza kuwa sababu ya kunuka mdomo kutokana na kwamba vizalisha kemikali nyingi ya Sulphur, vyakula hivi ni kama

  • Kitunguu maji na  kitunguu saumu: vyakula hivi huleta harufu kali zaidi hizo unatakiwa kuvitumia kwa tahadhari.
  • Vyakula vya sukari: sukari hupelekea kuoza kwa meno na kupelekea harufu mbaya mdomoni
  • Vinywaji vilivyosindikwa kama soda.

Hatua Tano za Kutibu tatizo la Harufu Mbaya Mdomoni

  1. Epuka kutumia vyakula vya sukari kwa wingi na nafaka kupita kiasi: hii ni ahtua ya kwanza katika kuelekea kuondoa harufu mbaya mdomoni, ambapo tunalenga katika kufata lishe ambayo ina kiwango kidogo cha sukari na nafaka. Vyakula hivi ni kama mikate, wali na bidhaa zingine za ngano. Hivo unapokula zaidi wanga fahamu kwamba unaenda kuvunjwa vunjwa na kubadilishwa kuwa katika mfumo wa sukari kitu ambacho ni mbolea kwa ukuaji wa fangasi na bacteria wabaya kwenye mwili wako
  2. Tumia vyakula vya mafuta zaidi(healthy fats) : badala ya kula wanga na sukari basi hakikisha unakula zaidi vyakula mafuta mazuri, mfano wa vyakula hivi ni kama parachichi, nazi, nyama , mayai na karanga. Mafuta ya nazi ya nazi yana lauric na Capric acid ambazo ni ni antibacterial yaani zinaua bacteria wabaya.kama una matatizo ini, mfuko wa bandama na figo.
  3. Tumia virutubisho zaidi. Unaweza kutembelea katika stoo yetu kwa kubonyeza hapa
  4. Tumia zaidi limau: limau na maji husaidia kwa kiasi kikubwa katika kuondoa harufu mbaya mdomoni. Unaweza kukata limau kisha ukanyonya maji yake, au ukaminya maji ya limau kwenye glass yenye maji kisha kunywa maji haya na yabaki mdomoni kwa muda wa dakika 10 kisha tema.

Kunywa maji ya kutosha: mdomo unapokuwa mkavu basi huongeza hatari ya kutoa harufu mbaya, kutokana na kwamba ukavu wa mdomo unapelekea kuzaliana kwa bacteria wabaya.

Coconut Oil Pulling

coconut oil pulling

Coconut oil pulling ni mja ya njia murua kabisa ya kusafisha bacteria wabaya mdomoni mwako na kukuacha na harufu nzuri ya kinywa sikuzote. ni njia salama na ya asili isiyohitaji matumizi ya kemikali mbaya wala dawa ambazo zina madhara makubwa.

Nimekuwa nikishauri mamia ya watu na wamefanikiwa kuondoa adha hii ya kunuka mdomo kupitia Coconut oili pulling, wewe pia unaweza kuwa mmoja wa mashuhuda wetu kama tu utazingatia kwa makini step za kufuata.

Uchafu na Vimelea Hutolewa Nje kupitia mafuta

Coconut oil pulling kama jina lake lilivyo ni kitendo cha kuvuta uchafu na bacteria ka vile sabauni inavyonyonya uchafu kwenye nguo wakati wa kufua nguo. Lakini kwenye upande wa kinywa unanyonya bacteria na uchafu kwenye meno kwa kutumia mafuta ya kupikia ya nazi.
Wenzetu wachina na nchi zingine kama India wamekuwa wakitumia njia hii tangu enzi za zamani katika kutibu matatizo kama

Kuoza kwa meno, kuondoa harufu mbaya kwenye kinywa, kuponya fizi zinazotoa damu, kuzuia magonjwa ya moyo, Kupunguza mcharuko mwilini (inflammation), Kusafisha meno kuwa meupe, Kuzuia magonjwa ya fizi, Kutibu lips kavu, Kuimarisha fizi na Kuondoa chunusi

Hatua 5 za Kufanya Coconut Oil Pulling

  1.  Hakikisha unafanya oil pulling asubuhi unapoamka kabla ya kula na kunywa kitu chochote
  2. Chukua kijiko kimoja au viwili vya mafuta ya kupikia ya nazi kisha weka mdomoni, anza kuzungusha ulimi na kuyasambaza mdomo wote taratibu kwa dakika 10 mpaka 20
  3. Baada ya muda huu tema uchafu wote bila kumeza hata kidogo kisha safisha mdomo na maji, unaweza kutumia maji yenye chumvi ili kuondoa mafuta yote. na hakikish usiteme kwenye sink tema nje ili kuzuia kuziba kwa mafuta kwenye sinki
  4. Brush meno yako kama kawaida
  5. Rudia kitendo hiki mara 3 mpaka 5 kwa week kupata matokeo mazuri zaidi.

Tiba Kupitia mafuta ya Peppermint

Mafuta ya mnanaa ama peppermint yanapatikana kupitia majani ya mmea wa mnanaa (Mentha piperita). Mmea huu hutumika hasa majumbani kama tiba asili ya matatizo ya tumbo.

Mafuta ya peppermint ni tiba asili na salama kwa changamoto ya kunuka mdomo na mezo kuoza. Huhitaji tena kuagiza nje ya nchi, tumekuletea mafuta salama yasiyochakachuliwa. Anza leo kutumia urudishe furaha yako.

Gharama ya Mafuta ya Peppermint ni Tsh 40,000/= Tuandikie kwa whatsapp no 0678626254

Share and Enjoy !

Shares
Categories
Mfumo wa chakula

Vidonda vya tumbo: Dalili na Lishe inayofaa.

Vidonda vya Tumbo hutokeaje, na Jinsi Gani tunaweza Kutibu kupitia chai ya In-cleansing.

Chai tiba ya Vidonda vya Tumbo

Vidonda vya tumbo ni matokeo ya kuungua kwa sehemu mbalimbali za tumbo kutokana na uwepo wa tindikali nyingi. Vidonda hivi vinaweza kutokea kwenye tumbo lenyewe, vinaweza pia kutokea sehemu ya mwanzoni mwa utumbo mwembamba ama vinaweza kutokea shemu ya juu kabla ya tumbo .

Dalili za Vidonda Vya Tumbo.

Vidonda vya kwenye tumbo lenyewe la chakula huwatokea watu wengi zaidi kulinganisha na aina zingine za vidonda tumbo. Vidonda hivi vinaweza kusababishwa na umwagaji wa tindikali nyingi kwenye tumbo, kutokana na mtu kuwa na msongo wa mawazo, lishe mbaya, uvutaji wa sigara, matumizi ya pombe, au uwepo wa bacteria wa h pylori. Karibu asilimia sabini ya wagonjwa wa vidonda vya tumbo husababishwa na uwepo wa bakteria hawa hatari wa H pylori tumboni. Matumizi ya vidonge vya kupunguza maumivu kama ni moja ya vihatarishi pia kupata vidonda vya tumbo.

Hali ya kuungua tumboni ni dalili mojawapo kubwa sana ambayo kila mgonjwa wa vidonda vya tumbo huisikia. Maumivu haya ni kutokana na tindikali iliyopo tumboni inapogusa vidonda. Hapa chini ni dalili zingine za vidonda vya tumbo

  • Maumivu kuwa makali zaidi pale unapokuwa hujala
  • Kushituka sana usiku na kukosa usingizi
  • Maumivu kupungua pale unapokula chakula
  • Kupungua kwa uzito kwa haraka
  • Kukosa hamu ya kula kutokana na maumivu
  • Tumbo kujaa gesi na kujiskia umeshiba mda mwingi
  • Kupata dalili za kuishiwa damu mfano, kuchoka sana, pumzi kukata.
  • Kupata kinyesi cheusi kutokana na uwepo wa damu

Hakikisha unaonana na Daktari mapema iwezekanavyo unapoona dalili hizi. Hata kama ni za muda mfupi na kupotea, tatizo linaweza kuwa kubwa zaidi kadiri muda unavoenda mfano kupoteza damu kutokana na uwepo wa vidonda ni hatari kwa afya yako. Ni muhimu kufanya vipimo kupata uhakika na tatizo linalokusumbua kisha ufike ofsini nikwanzishie dawa ya chai.

Matibabu ya Vidonda Vya Tumbo

Matibabu ya vidonda vya tumbo hutegemea na chanzo cha tatizo. Kwa wagonjwa wengi hutibiwa kwa kuandikiwa dawa baada ya ushauri wa Daktari lakini kwa kesi chache sana huwa zinahitaji kufanyiwa upasuaji, hasa kama tatizo limekuwa kubwa zaidi. Ni muhimu kutibu vidonda vya tumbo haraka iwezekanavyo, endapo umepoteza damu nyingi sana basi utahitaji kuongezewa damu.

Tiba Kupitia majani ya Chai ya In-Cleansing kwa Tsh 50,000/=

in-cleansing tea

Majani ya chai ya in-cleasning yamekuwa yakitumika sana kwa Nchi za wenzetu na yameleta mafanikio makubwa kwenye kutibu vidonda vya tumbo. majani haya ni Asili na yanatumika kwa wiki mbili tu. kadiri unavotumia utaanza kuona mabadiliko na hatimaye kupona.

Majani haya ya chai yamehifadhiwa katika box moja lenye pakiti 16 na itatumika kwa kipindi siku 16. Majani ya chai yametengenezwa kwa kuzingatia uasili wake pasipo kuwa na kemikali. Kama wewe ni muumini wa vitu asili basi usiache kutumia chai hii ya in-cleansing.

Lishe ya Mgonjwa wa vidonda Vya Tumbo

Ifuatayo ni list ya vyakula ambavyo unaweza kutumia ili kupata nafuu ya haraka kutokana na tatizo la vidonda vya tumbo.

  • Kula kiasi kidogo kidogo cha chakula kila mara: hii itapunguza makali ya vidonda vya tumbo na pia uwepo wa tindikali kwenye vidonda.
  • Tumia vyakula vyenye kambakamba(fibers) kwa wingi: tumia walau gramu 30 za vyakula vyenye kambakamba kwa siku. Vyakula hivi ni kama parachichi , nafaka isiyokobolewa na mboga za majani. NB kama ulaji wa chakula Fulani kinaongeza tatizo basi usitumie, na pia kama dactari wako ameshauri usile chakula fulani kutokana na mwenendo wa tatizo lako basi usile.
  • Tumia juisi ya kabeji kila siku: Tafiti mbalimbali zinzonesha kwamba juisi ya kabeji ina uwezo mkubwa wa kutibu vidonda vya tumbo, unaweza ukachanganya na karoti.

Vyakula vya kuepuka kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.

  • Vyakula vilivyoongezwa ladha au viungo, hufanya tatizo kuwa kubwa zaidi
  • Vyakula vyenye Caffeine kwa wingi kama kahawa, na baadhi ya chai (siyo zote)
  • Pombe na sigara
  • Vyakula vyenye sukari, vyaweza kuwa chakula cha bacteria na kufanya tatizo lako kuwa baya zaidi.

Tuandikie kwa whatsapp no 0678626254 uanze tiba yako leo kwa Gharama ya Tsh 50,000/=

Share and Enjoy !

Shares
Categories
Nguvu za kiume

Je kuna dawa yakurefusha uume?

Je uume wangu una urefu sahihi?

Ni swali ambalo kila mwanaume hujiuliza kwamba urefu wa uume wake ni sawa?. Wengi hujiuliza ili kujiridhisha na kuwa mwenye kujiamini pale anapokutana na mwanamke.

Yafuatayo ni majibu kwa maswali  yote kuhusu uume wako na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kikamilifu.

Swali la 1. Ni umri gani mwanaume huanza kusimamisha uume

Jibu :  mwaka mmoja ama chini yake; baadhi watoto wa kiume huzaliwa huku mashine zao zikiwa zimesimama. Vipimo vya ultrasound vimeweza kuthibitisha hilo

Swali la 2.Kama una tatizo la uume kusimama kupita kiasi, nini kinashauriwa?

Jibu: Kusimama kwa uume kwa zaidi ya masaa ma4 huleta maumivu , hivo mazoezi madogo ya kupanda ngazi ama kilima kidogo husaidia kupunguza damu kwenye mishipa ya uume na kuisambaza maeneo mengine ya mwili.

Swali la 3.Size gani ya uume ni sahihi kumridhisha mwanamke?

Jibu: wanaume wengi wanadhami uume mrefu ndio unaoridhisha Zaidi mwanamke, jibu ni kwamba nchi 5 mpaka 6.5 zinatosha kabisa kiafya hivo usipate msongo wa mawazo kama una uume mfupi.

Swali la 4.Je ukubwa wa miguu ndio ukubwa wa uume?

Jibu: hapana. Size ya uume wako hauna uhusiano kabisa na size ya miguu, vidole, pua ama kiungo chochote cha mwili. Japokuwa kama una uzito mkubwa na kitambo sehemu ya uume itafichwa na nyama za tumbo, kwahiyo kama una kitambi nashauri anza sasa kupunguza uzito wako ili kurefusha uume wako bila upasuaji.

Swali la 5. Je ni kawaida uume kusima ukiwa umelala?

Jibu:  ndio ni kawaida kwa mwanume aliye na afya uume kusimama mara 4 mpaka 5 ndani ya usiku mmoja. Mara nyingi akiwa anaota. Kama huna sifa hizi basi jua kwamba unaumwa na unahitaji tiba haraka ili unusuru ndoa yako.

Swali 6.Je upasuaji/operation inaweza kusaidia kuongeza ukubwa wa uume?

Jibu: ni kweli, upasuaji husaidia kuongeza urefu wa uume ila kwa nchi kidogo sana chini nan chi moja. Ni gharama kubwa sana na hatari kwa afya yako. Wengi wao hupata maumivu makali yasioisha baada ya upasuaji.

swali 7. Kupiga punyeto kunaleta raha sawa na kufanya ngono?

Jibu:  Hapana, punyeto hudhhofisha misuli ya uume na kuleta raha ya muda mfupi tu, lakini tendo la ndoa ni tamu na huimarisha kinga ya mwili.

Swali 8. Pumbu kurudi ndani na kunywea husaidia nini?

Jibu: kunywea kwa pumbu ama korodani husaidia kukinga mbegu zisiharibike kutokana na baridi kali.

Swali 9. Kupiga punyeto zaidi mara 5 kwa week ni hatari kwa afya?

Jibu: Ndio kupiga punyeto mara nyingi Zaidi inakuathiri kisaikologia na inapelekea usione thamani wala uhitaji wa  mwanamke kwa tendo la ndoa maana tayari unaweza kujiridhisha mwenyewe.

Swali 10. Je ni salama kwa uume wangu kupinda upande mmoja?

Jibu: Ndio, hakuna tatizo kwa uume kupinda upande mmoja kulia ama kushoto, lakini kama kupinda  huku kunaambatana na maumivu makali basi muone dactari wako harakamaana yaweza kuwa una tatizo la kiafya.

Muhimu kwa Wanaume wenye Upungufu wa nguvu za Kiume

Virutubisho asili vya Zinc na Vig power kutoka Marekani vinafanya kazi vizuri sana katika kuimarisha misuli ya kiume, kuongeza uzalishaji wa mbegu na kusaidia wanaume wanaowahi kufika kileleni, na kushindwa kurudia tendo. Baada ya kutumia dawa zetu tegemea kumudu tendo kwa muda mrefu zaidi ya nusu saa.

tiba ya nguvu za kiume
Dawa za nguvu za kiume

Chati na daktari whatsapp kwa namba 0678626254 kuagiza Vig power na Zinc Kwa Tsh 150,000 tu urudishe heshima ya tendo la ndoa. Dawa hizi ni za asili na kutengenezwa kitalamu kwahivo hazina madhara kwa mtumiaji. Dawa za famasi siyo salama, nashauri usitumie.

Bofya makala inayofuata kuhusu Changamoto ya Shahawa nyepesi

Share and Enjoy !

Shares
Categories
Afya ya ini

Mafuta kwenye ini

Yawezekana wewe siyo mtumiaji wa pombe kwa kujali afya yako, ni jambo zuri lakini usifikiri tayar upo salama maana unaweza kuugua aina hii ya ugonjwa huu wa ini hata kama hutumii pombe. soma zaidi kupata uelewa na namna ya kujikinga

Share and Enjoy !

Shares






Shares