Categories
Mfumo wa chakula

Hivi ndivyo unavoweza kutibu bawasili ukiwa nyumbani.

Bawasili yaweza kuwa moja ya topic ngumu sana kuzungumziwa kiuwazi na watu, hii ni kutokana na wagonjwa wengi kuona aibu pengine ni kwasababu tatizo husika hutokea mahala pa haja kubwa, soma vizuri ujue namna ya kujitibu ukiwa nyumbani..

Share and Enjoy !

Shares
Categories
heart health

Je wafahamu shinikizo lako la damu.

Shinikizo la damu/BP ni ugonjwa unaosumbuwa watu wengi sana duniani na hii ni kutokana na kutokujuwa ni nini hasa husababisha ugonjwa huu mwilini. Takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) zinasema tayari watu bilioni moja duniani kote, wanaathiriwa na shinikizo la juu la damu huku likisababisha mshtuko wa moyo (Heart Attacks), kupooza na kiharusi (Strokes).

Share and Enjoy !

Shares
Shares