Muwasho Ukeni
Muwasho ukeni na hali ya kuungua kwa uke mithili ya moto ni tatizo linalowaumiza sana wanawake na kuleta usumbufu mkubwa. dalili hizi zinaweza kuwa ni matokeo ya tatizo kubwa la kiafya ndio maana kuna umuhimu wa kumwona dactari mapema pale unapoona hali imezidi kuwa mbaya. Kwenye makala yetu ya leo tutajifunza
- Nini husababisha Muwasho ukeni, kuchomachoma na kuvimba
- Namna tatizo linavotibiwa na
- Tiba ya nyumbani unayoweza kutumia kupunguza makali ya tatizo na kuzuia
Nini Husababisha Muwasho ukeni kuchomachoma na kuvimba
Kuna sababu nyingi zinazopelekea muwasho ukeni ambazo ni pamoja na
Maambukizi ya bacteria ukeni (bacterial vaginosis)
Maambukizi ya bacteria ukeni ni moja ya maambukizi yanayowatokea mara kwa mara wanawake. Wengi wanaoathirika ni wale wanaojihusisha na ngono zaidi, wenye kinga dhaifu na wajawazito. Watafiti wanasema kinachosababisha Bacterial vaginosisi ni kuvurugika kwa uwiano wa viumbe kwenye mazingira ya uke (vaginal microflora) ambayo inahusisha uwepo wa bacteria na fangasi pia.
Kuvurugika huku kwa mazingira ya uke kunaweza kuletekekezwa na sababu nyingi ikiwemo, kudhoofika kwa kinga ya mwili na mabadiliko ya pH- kikawaida uke una tindikali zaidi 3.8-4.2 ni kawaida na pH zaidi ya 4.5 siyo salama kwa afya ya uke.
Vipimo kwa tatizo la Muwasho ukeni
Mara nyingi tatizo ua kuwasha ukeni huisha ndani ya siku chache baada ya kuanza. Kama tatizo litaendelea na dalili kuwa kali zaidi wek apointment uonane na dactari kupata vipimo na tiba. Dactari atafanya pelvic examnation ambapo atangalia dalili anazopata mgonjwa kwenye via vya uzazi (eneo la nje la uke, mfuko wa mimba, mlango wa kizazi, mirija ya uzazi, kibofu cha mkojo na mifuko ya mayai, ) Daktari pia anaweza kuchukua sampuli ya uchafu unaotoka na kuufanyia vipimo ili kugundua chanzo cha tatizo.
Kwa hivo tiba ya tatizo hili la kuwasha kwa uke itategemea na chanzo ama ugonjwa unaosababisha kama ugonjwa ni
- Maambukizi ya bacteria (Bacterial vagoniosis): mgonjwa hupewa antibitics na antiparastis ili kuua vimelea vya ugonjwa
- Yeast infection (candidiasis): mgonjwa hupewa daw za kuua fangasi, antifungal ambazo humeza na zingine kuweka ukeni.
- Menopause: kama chanzo ni kukoma hedhi basi mgonjwaanaweza kupata dawa na virutubisho vya kuongeza uzalishaji wa homoni ya estrogen.
Ushauri wa Kufuata na Tiba Mbadala kama Unapata Shida ya Muwasho Ukeni.
Zifuatazo ni hatua za kuchuka ili kuzuia na kutibu muwasho ukeni.
- Epuka kuvaa pedi, kutumia cream na spray zenye harufu kali tabia hizi zinaharibu mazingira ya ukeni na kutoa mwanya wa fangasi na bacteria kukua.
- Tumia maji na sabuni zisizo na kemikali kujisafisha ukeni na usioshe uke zaidi ya mara moja kwa siku.
- Siku zote unapojisafisha ukeni ama ehemu ya haja kubwa basi jifute kuanzia mbele kwenda nyuma. Kufanya hizi inazuia kusambaa kwa bacteria walioko mkunduni kwenda ukeni.
- Vaa nguo za ndani za pamba ambazo huruhusu hewa kupita na kukausha unyevu ambao ni mbolea kwa fangasi na bacteria wabaya.
- Epuka kufanya douching
- Kwa watoto wadogo, wabadilishiwe diepers zao mara kwa mara
- Tumia condom ili kujikinga na magonjwa ya zinaa
- Usifanye ngono mpaka pale uatakapopona ugonjwa unaosababisha upate muwasho ukeni.
- Onana na Daktari haraka pale unapoona dalili zisizo za kawaida kama kutokwa na uchafu unaonuka mfululizo, kuwasha kwa uke, kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa, maumivu ya nyonga na mabadiliko kwenye hedhi.
Muhimu kwa Tatizo la Muwasho ukeni
Kwa mwanamke mwenye changamoto ya muwasho na harufu mbaya ukeni,hedhi kuvurugika, tunashauri atumie uterus cleansing pill kusafisha kizazi na kutibu maambukizi.
Uterus cleansing pill (UCP) ni vidonge viwili vilivyotengenezwa kitaalamu kwa kuzingatia uasili wa dawa kutatua changamoto za wanawake kama , harufu mbaya ukeni, muwasho, fangasi, PID na maambukizi ya bakteria.
Vidonge hivi vinatumika kwa siku 7. Kidonge kimoja kinawekwa ukeni na kutolewa baada ya siku 3, kisha unapumzika siku 1,unaweka tena kidonge kingine. Gharama ni sh 50,000/= kwa dozi moja. Muhimu mgonjwa atumie dozi mbili.
Angalizo Unapotumia Uterus Cleansing Pill
UCP haifai kutumiwa na wajawazito. Usifanye tendo la ndoa wakati huo upo kwenye dozi na pia ukianza hedhi pumzika kutumia vidonge hivi mpaka pale utakapomaliza hedhi.
ANGALIZO
Kuna wimbi kubwa la wajasiliamali mitandaoni wanauza vidonge vyenye mfanano na hivi vya UCP, tena wanauza kwa bei rahisi sana. Watu hao siyo madaktari wala siyo wataalamu wa afya na wanauza bidhaa feki ambazo ni hatari wa afya yako. Wengi wao hawana hata ofisi, ukipata madhara unakosa pa kuuliza. Kuwa makini na watu hao, wamejaa sana insta na fb