Tiba ya madhara ya upigaji punyeto.

Mwanaume mwenye mawazo

Kundi kubwa la wanaume wamepungukiwa uwezo wa tendo la ndoa kutokana na kitendo cha kupiga punyeto. Madhara haya ni pamoja na kuwahi kufika kileleni, kushindwa kurudia tendo na jogoo kuwa legelege. Makala yetu ya leo imeeleza kwa kina tatizo hili la kupiga punyeto na huduma ya dawa kwa wanaume wanaokwama kitandani. Endelea kusoma

Punyeto ni nini?

Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k

Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba “kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu” Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu.

Ukubwa wa tatizo kwa vijana

Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60 ya vijana wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 30 wameathirika na tatzo hili na inakuwa ngumu kujinasua kutoka kwenye hili janga, kama wewe ni mmoja wapo na ulkuwa ukitafuta kwa mda mrefu ufanye nini ili uachane na tabia ya kupiga punyeto basi fatilia kwa makini makala hii

Madhara ya Upigaji Punyeto kwa Mwanaume

Haya ndio baadhi ya madhara ya kimwili ambayo yanaletekezwa na upigaji punyeto

1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME:

Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa kama umelegea.

2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:

Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya tendo la ndoa na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kufanya tendo hilo.

Athari Nyingine za Kupiga Punyeto ni kama Zifuatazo

  • Uchovu wakati wote /
  • Maumivu ya nyonga na mgongo wa chini / Lower back pain.
  • Kusinyaa kwa Nywele na nywele kunyonyoka
  • Maumivu ya kende
  • Maumivu ya kiuno

Kuna faida nyingi sana ambazo utazipata endapo utaachana na tabia ya upigaji punyeto na hiyo napenda iwe sababu ya wewe msomaji kuachana hicho kitendo.
Kuacha punyeto ama mtindo flani wa maisha inahitaji utambuzi, uamue na pia uweze kjicontrol wewe mwenyewe, inahitaji nguvu ya ndani yako kushinda vishawishi , zifuatazo ni njia ambazo utaanza kutekeleza ukiwa nyumbani kwako bila gharama yoyote na zitaanza kukupa matunda, lazima uwe mwaminifu kufuata kile ninachoelekeza maaana ni njia ambayo imewasaidia vijana wengi.

1.PATA MDA MWINGI WA KUPUMZIKA

Baada ya shuguli za kawaida haikisha unapata mda wa kupumzika, lala mapema ili uweze kuipa akili mda wa kuchambua na kutunza taarifa za muhimu na kufuta zile zisizo za muhimu, angalau masaa 8 kwa siku. Hakikisha unalala mapema hapo ndipo utaongeza uwezo wa akili kuweza kupambana na hisia na mawazo mabaya.

2. MATUMIZI YA MBOGAMBOGA NA MATUNDA KWA WINGI

Utafiti wa kisayansi unaonesha kwamba matumizi mazuri ya vyakula vya mbogamboga na matunda Husaidia kuongeza uwezo binafsi wa kujisimamia juu ya tamaa na mihemko mbalimbali, matumizi ya vyakula vilivyosindikwa (junk foods) ni chanzo cha kushindwa kujizuia na hapo safari yako ya kuachana na upigaji punyeto itakwama.

3. FANYA MAZOEZI NA USHUGULISHE MWILI

Maozezi yanasaidia mwili kutofikiria kufanya mambo machafu sababu mara nyingi unakuwa bize, akili inapokuwa inashugulishwa basi uwezekano wa kuleta fikra mbaya ni mdogo sana

4. ACHA KUANGALIA PICHA ZA NGONO

Tafiti zinasema kwamba vijana wengi wenye umri kuanzia miaka 15 mpaka 30 ndo kundi kubwa lililoathirika kwa kutazama picha za pono, piacha au video za ngono huleta msukumo kwenye akili ili kuweza kujiridhisha na hivo hupelekea watu kupiga punyeto ili kukata ile kiu ya  tamaa zao za mwili. Anza leo kwa kufuta picha na video zote za ngono kwenye simu yako na ujiwekee mipaka kwamba hutazipakua tena.

NATURAL REMEDY PACKAGE KWA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Kifurushi cha kurejesha nguvu za kiume

Kwa kutambua kuwa vijana wengi wameathirika na tatizo la upigaji punyeto na wengine wakiwa wamekata tamaa  kwa kushindwa kuwaridhisha wapenzi wao kitandani basi tunakuletea  package ya siku 30 inayojumuisha dawa 2, zilizo katika mfumo Wa vidonge vilivyotengenezwa kiasili bila kemikali,  kwa bei ya punguzo sh 150,000/= tua mbayo itakusaidia kukurudisha katika hali ya kawaida karibu 80% hata kama ulishaathirika kwa upigaji punyeto.

Kifurushi chetu kina muunganiko wa dawa mbili za vig power na /zinc. Dawa asili zilizofanyiwa utafiti na kuhifadhiwa katika mfumo wa vidonge  ambazo zitakusaidia

  • Kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume
  • Kuongeza ufanisi wa tendo la ndoa kwa kuimarisha kusimama kwa uume.
  • Kuongeza mzunguko wa damu kuelekea kwenye jogoo
  • Kuongeza hamu ya tendo la ndoa
  • Kusafisha figo
  • Kusaidia wenye matatizo ya jogoo kushindwa kusimama, na kushindwa kurudia tendo la ngono na
  • Kuweka mwili kuwa mchangamfu pasipo kuwa na maumivu ya viungo.

Kumbuka dawa zetu siyo kwa ajili ya kukufanya uache kupiga punyeto. Dawa zetu ni kuimarisha uwezo wako wa tendo la ndoa uliopotea kutokana na kupiga punyeto kwa muda mrefu.

Gharama ya dawa ni Tsh 150,000/= Laki moja na hamsini elfu.

Ushuhuda wa mgonjwa baada ya kutumia dawa hizi asili

ushuhuda

Ofisi zetu zipo Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai,
Chati na Daktari kwa Whatsapp kupitia namba : 0678626254 kupata huduma ,nawe uwe shuhuda wetu

Share and Enjoy !

Shares
Shares