Chai ya pine imetengenezwa kupitia mimea ya pine pollen na Green Tea .
Kazi na Faida za Chai ya Pine kwa Afya ya Kiume
- Inazuia na kutibu dalili za tezi dume kama maumivu wakati wa kukojoa, kukosa hamu ya tendo na kupata mkojo kidogo.
- Inaimaisha kiwango wa homoni ya kiume na hivo kuimarisha afya ya tendo la ndoa
- Inatoa vitamini na madini ya kutosha kuimarisha afya ya uzazi kwa mwanaume.
Chai ya pine inawafaa
- Wanaume wote wenye magonjwa ya tezi dume
- Wenye tatizo la nguvu za kiume na kukosa hamu ya tendo
- Wanaume wanaoshindwa kumpa mwanamke mimba na
- Wanaume wote wanaohitaji kuimarisha afya ya tendo la ndoa