Orodha ya virutubisho kwa ajili ya kutoa sumu mwilini na kusafisha mifumo ya mwili.
1.Chitosan
- Hupunguza mafuta mabaya kwenye damu, kusaidia kupunguza uzito;
- Hupuguza sukari katika damu;
- Kuimarisha ufanyaji kazi wa ini,kuzuia ini lisiharibiwe na sumu;
- Husaidia uponyaji wa kansa ya tumbo.
Chitosan yafaa zaidi kutumiwa na
- Watu wenye nia ya kupunguza uzito;
- Watu wenye kiwango kikubwa cha cholesterol mbaya na sukari;
- Watu wenye mafuta kwenye ini (fatty liver), hepatitis na matatizo mengine ya ini;
- Wagonjwa wenye mawe kwenye kifuko cha nyongo(Gallstones/Cholelithiasis
- Watu wenye kansa ya tumbo.
Gharama Tsh 75,000/= vidonge 60
2.Aloe vera capsules
Kazi na faida za Aloe vera
- Kuboresha uchakataji wa chakula tumboni, kuongeza kasi ya kutoa sumu mwilini;
- Kuondoa maumivu na kupunguza joto la mwili;
- Kuondoa dalili za uvimbe
Yafaa Kutumika Kwa:
- Watu wenye matatizo katika tumbo, kama kuharisha sugu na vidonda vya tumbo
- Watu waliofunga choo na kupata choo kwa shida (constipation)
- Watu wenye uvimbe sugu na matatizo ya ngozi na
- Wagonjwa wenye mawe au mafuta kwenye kifuko cha nyongo
- Gharama Tsh 75,000/= vidonge 60.
3.Detoxin pad
Viungo:Bamboo vinegar, Vitamin C, Chitosan na Tourmaline.
Kazi Zake na Faida
- Kutoa sumu na mabaki kutoka kwenye mwili kupitia vijitundu vya kwenye ngozi
- Kuondoa maumivu ya ngozi, misuli na maungio ya mifupa
Yafaa zaidi kutumika kwa:
- Watu wenye afya duni
- Watu wanaosimama kwa muda mrefu, wanaotembea sana na wanaokuwa kuwa kwenye mionzi ya kompyuta
- Watu wenye maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo (lumbago), wenye mauvimu ya maungio ya mifupa (arthritis) na maumivu ya misuli.
- mtu yeyote anayependa kusafisha mwili na kutoa sumu.
- Gharama Tsh 75,000/= , padi 10
4.Livergen
Kazi na faida za livergen
- Kuchochea utoaji sumu mwilini
- Kuboresha mzunguko wa damu ndani ya mishipa midogo ya ini na kuimaarisha utendaji wa ini na kifuko cha nyongo
- Kusaidia ujenzi wa seli mpya za ini
- Kupunguza kasi ya kuharibika kwa ini (liver cirrhosis) kunakochangiwa na ini kuwa na mafuta, hepatitis na utumiaji wa pombe
- Kuzuia uharibifu wa ini kutokana na kemikali, metali nzito, madawa, sumu ndani ya chakula na vichafuzi vingine.
- Gharama sh 85,000/=