Maelezo ya utangulizi kuhusu magonjwa ya moyo
Ni wazi kuwa mfumo wetu wa sasa wa jinsi tunavopambana na magonjwa mbalimbali ya moyo haujatusaidia kupunguza magonjwa haya, badala yake umeongeza mzigo wa kuumwa Zaidi na vifo vingi. Tunaamini kwamba tunatibu magonjwa ya Moyo kwa kupunguza mafuta yaliyoganda{cholesterol}, kupunguza presha ya damu, kupunguza sukari kwenye damu kwa kumeza vidonge.
Lakini ukweli ni kwamba tuanapaswa kujiuliza nini kimesababisha sukari ipande kwenye damu, presha iongezeke na mafuta kuwa mengi kwenye mishipa ya damu, jibu ni kwamba siyo kwamba hatujameza dawa kwa muda mrefu,
Wengi husema gene zetu zimebadilika, jibu ni kwamba siyo kweli, mabadiliko ya gene zako yachangiwa na mazingira yanayozunguka gene hizi, kwa lughara rahisi ni kwamba namna unavyokula, mara ngapi unafanya mazoezi, jinsi unavodili na msongo wa mawazo na namna unavoepuka mazingira yenye sumu ndizo sababu zinazokupelekea eidha uumwe kila siku ama uwe na afya njema mda mwingi. Hizi ndizo sababu za kwannn unaugua magonjwa ya moyo na siyo kutomeza dawa.
Ushauri kuhusu lishe utakaokusadia kupunguza hatari ya kuugua magonjwa ya moyo.
Hatua ya kwanza katika kupambana na magonjwa ya moyo ni kurekebisha lishe yako. Hapa chini ni mpangilio wa hatua za kufuata
- Kupunguza hatari ya kupanda kwa sukari kwenye damu kupita kiasi, hakisha unakula Zaidi vyakula vya mafuta na protein kwenye kila mlo. Vyanzo vyako vya protein ni kama nyama zote, mayai na samaki.
- Hakikisha unatumia kwa wingi vyakula vyenye nyuzinyuzi au fiber kwa wingi, jamii za maharage, mboga za majani, karanga, na matunda ni vyanzo vizuri vya kambakamba.
- Epuka kabisa vinywaji na vyakula vilivyosindika kama soda, juisi, enegy drink maana ni chanzo kikubwa cha watu kuugua kisukari, uzito mkubwa na kitambi na magonjwa ya Moyo.
- Ongeza matumizi ya mafuta ya omega 3 ama ukatumia virutubisho vyenye mafuta haya kwani husaidia kulainisha mishipa ya damu na kuzuia kuganda kwa damu waati wa usafirishaji.unaweza kutembelea ofsini kwetu kupata virutubisho hivi.
- Badala ya kutumia mafuta ya margarine ambayo yana kiwango kikubwa cha cholesterol mbaya kupikia tumia mafuta ya nazi, mafuta ya mizeituni ama mafuta ya mawese.
- Epuka matumizi ya pombe kwani huongeza kiwango cha mafuta mabaya kwenye mishipa ya damu (triglycerides), na pia kuongeza mafuta kwenye ini na hatimae ini kufeli kufanya kazi.
- Jiwekee ratiba ya kufanya mazoezi walau mara 3 kwa week, inasaidia kutoa sumu kwenye mwili na kurekebisha presha yako ya damu.
TIBA ASILI KWA AFYA YA MOYO (kuzuia na kutibu magonjwa ya moyo)
1.CADIO POWER
imetengenezwa kwa mimea ya Radix Salviae ,Miltiorrhizae Extractum, Radix Notoginseng Extractum, Rhizoma Chuanxiong Extractum, Radix Ginseng Extractum, Flos Cathami Extractum, na Borneolum, sifa na kazi zake kwenye afya ya moyo.
- Kupunguza mafuta kwenye damu, na hivo kuepusha hatari ya kuganda damu na cholesterol kwenye mishipa ya damu
- Kupanua eteri (mishipa inayobeba damu yenye oksijeni kwenda kwenye moyo na sehemu mbalimbali za mwili) na hivi kusaidia kuongeza uwingi wa damu ndani ya mishipa ya moyo, kuongeza msukumo wa damu kwenye ubongo na moyo;
- Kuipanua arteri ya moyo, na hivo kupunguza hatari ya kupata (angina pectoris), tatizo ambalo hutokea baada misuli ya moyo kukosa hewa ya oksijeni.
- Dawa hii inafaa zaidi kutumiwa na
- watu wenye presha kubwa ya damu, mafuta mengi kwenye mishipa ya damu,.
- wenye matatizo ya kuganda kwa mafuta mabaya kwenye mishipa ya damu
- wenye magonjwa ya moyo kama kutanuka kwa moyo, ama waliowahi kuugua magonjwa ya moyo kama angina pectoris, myocardial ischemia, na myocardial infraction.
- Dawa ni ya asili ina vidonge 30 vyenye nguvu ya 300mg. Gharama Tsh 75,000/=
2. DEAP SEA FISH OIL
(imetenenezwa kupitia mafuta ya samaki wa baharini)
sifa na faida kwenye afya ya moyo
- Kupunguza kiwango cha lipids (mafuta mabaya kama cholesterol na triglycerides) kwenye damu,
- Kupunguza mpambano/mcharuko (inflammation) unaoendelea ndani kwa ndani kwenye mwili. Mpambano huu huletekeza matatizo ya kiafya kama mzio, alegi na maumivu ya viungo
- Kupunguza kuongezeka kwa vipande vya protoplasm (platelet) vilivyoko ndani ya damu ; Kuzuia damu isigande kupita kiasi
- kupanua na kulainisha mishipa inayobeba damu yenye oksijeni (ateri).
- Kirutubisho hiki chawafaa zaidi
- watu wenye matatizo ya moyo kama moyo kutanuka na ubongo (mfano kupoteza kumbukumbu)
- watu wenye matatizo ya mifupa, viungo
- wazee na akina mama waliokoma hedhi
- Kirutubisho hiki cha asili kina vidonge 60 vya nguvu ya 1gm. kinapatikana kwa Gharama ya Tsh 90,000/=
3.SUPER COENZYME 10
Imetengenezwa kwa viungo vya (Coenzyme Q10, L-Carnitine Hemifumarate, Radices Salviae Miltiorrhizae Extract na Astragalus Hoangtchy Extract)
sifa na faida zake
- Kuboresha shughuli za seli hasa seli za misuli ya moyo na seli za neva
- Kuboresha na kuimarisha kinga za mwili
- Ni antioxidants ambazo huzuia magonjwa yanayodhoofisha misuli ya moyo na ubongo
- Kuongeza stamina na kujenga mwili
- Dawa hii inawafaa zaidi
- watu wenye matatizo ya moyo kama myocardial infarction, shinikizo kubwa la damu, cholesterol nyingi na angina pectoris
- wagonjwa wanaotumia tiba ya chemotherapy na radiotherapy
- wagonjwa wanaopata ganzi mara kwa mara na waliowahi kufanyiwa upasuaji wa moyo.
- Dawa hii ni ya asili ina vidonge 60 vyenye uwezo wa 500mg. vinapatikana kwa gharama ya Tsh 85,000/=