Digestive care package.

MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU MAGONJWA YA MFUMO WA KUCHAKATA CHAKULA

Je mfumo wako wa usagaji chakula unakufanya uumwe kila siku na kuongezeka uzito na kitambi??,

Basi fahamu kuwa haupo peke ako, tatizo hili ni kubwa Zaidi duniani huku mamiloni ta watu wakimeza dawa kila siku ili kupunguza makali ya magonjwa ya lishe. Kama unahisi mfumo wako wa kumen’genya chakula hauko sawa basi ni uhakika kuwa unaweza kuwa na magonjwa ya lishe kama tumbo kujaa gesi, kuharisha, kukosa choo kwa mda mrefu ama kupata choo kigumu, vidonda vya tumbo, kuhisi kushiba mda wote, kiungulia, kupanda kwa aside na mengine mengi.

Wengi wetu wakiwemo madactari hushndwa kutambua kuwa 80% ya magonjwa tunayougua ikiwemo alegi, mwili kuchoka sana, kansa, magonjwa ya viungo, dementia, autism na mengine mengi chanzo chake ni kwenye chakula tunachokula. Hivo kula lishe yenye virutubisho vyote ni silaha kubwa katika kupambana na magonjwa mengi sana na hivo utakuwa huru kumeza vidonge na kuwa muhanga wa kutembelea hospitali. Hili ndio lengo letu la kuanzisha website hii, kukufundisha hatua kwa hatua lishe inayofaa kwa afya yako na pia kukupatia virutubisho vitakavyokusaidia kurudisha afya yako kama tayari umeathirika na ulaji mbaya na magonjwa yake.

JINSI GANI TUMBO LAKO LINAKUFANYA UWE NA AFYA AU UWE MUHANGA WA KUUMWA KILA SIKU.

Utimamu wa mfumo wako wa umeng’enyaji huweza kutambua viini lishe gani vya kufyonzwa ili vikatumike na mwili, na sumu gani za kutolewa nje kama uchafu. Hivo kuna muunganiko mkubwa kati ya afya ya tumbo lako na mwili kujumla, na ndio maana tumbo linapojaa gesi basi utaanza kuhisi umechokana mwili kukosa nguvu. Kazi kubwa ya tumbo lako (ikimaanisha tumbo lenyewe na utumbo mpana na mwembamba), ni kusaga chakula kupitia enzyems, kufyonza virutubisho vinavyoingia kwenye damu na kutoa nje sumu na takataka zisizohitjika na mwili. Kazi yote hii nzito inategema mambo makuu yafuaatayo ambayo tutayachambua hapa chini.

  1. Moja ni muunganiko wa viumbe wadogo sana ambao hutegemeana katika usagaji wa chakula, viumbe hawa ni bacteria wazuri (normal flora) ambao ni Zaidi ya aina 500 ambo wana mchango mkubwa katika kuchakata chakula, kurekebisha homoni zako, kutoa sumu, na kutengeneza vitamins na kemikali zingine zinazotibu mfumo wako wa chakula. Hivo kunatakiwa pawe na msawazo katika wingi wa bacteria hawa, pale viumbe wabaya kama parasites, na yeast wanapokuwa wengi ndipo hali yako ya kiafya itaanza kuzorota na kuugua.
  2. Mbili ni kinga ya mfumo wa kuchakata chakula (gut-immune system) hii ni tofauti na kinga yako ya kawaida ya mwili. Kinga yako ya mwili na sehemu mbalimbali za mwili wako hulindwa na kinga ya mfumo wa kuchakata chakula ili isishambuliwe na sumu na vimelea mbalimbali. Mfano rahisi ni hivi chukulia mwili wako ni nyumba, halafu nyumba hii ina walinzi ambao ni mbwa wakali wanaozunguka hii nyumba( hawa mbwa tuchukulie ndio kinga yako ya mwili), kisha nje ya geti kuna walinzi wengine wenye silaha (hii tuchukulie ndio kinga ya mfumo wa chakula) . Hivo kazi ya walinzi hawa wa nje wenye silaha ni kulinda walinzi wa ndani ambao ni mbwa wakali, pamoja na nyumba.ndhani hapa umenelewa mpenzi msomaji.

Kinga hii ya mfumo wachakula ni kama chekecheke ambalo limetengenezwa kwa seli, ukubwa wake ni kama nyama ya mpira wa kitenesi, kazi yake ni kuchuja bacteria wabaya na parasites wasiingie kwenye damu,  kuruusu vrutubisho pekee vinavyohitaji kuingia kwenye damu. Chekecheke hil linapotoka ndipo huanza kupitisha vimelea na taka kwenye damu, na hapo ndipo utaanza kuugua na kupata alegi ya vyakula mbalimbali mabayo ulikuwa ukivifurahia hapo awali.

  1. Tatu ni ubongo wa pili uliopo kwenye mfumo wa kusaga chakula,ubongo huu umeundwa na neva nyingi sana, ukirejea darasa la 5 tulijifunza kuwa kazi ya neva ni kusafirisha taarifa, hivo neva hizi hupeleka taarifa kwenye ubongo wa kichwani muda wote.
  2. Nne ni kwamba mfumo wako wa kuchakata chakula unatakiwa kutoa taka na sumu zote zinazozalishwa kwenye mlolongo, hivo unapokosa choo kwa mda mrefu ama kupata choo kigumu, sumu hizi huanza kufonzwa tena kurudi kwenye damu, ndipo afya yako itaanza kuzorota.
  3. Na mwisho lakini syo mwisho kabisa, tumbo linalazimika kufanya upembuzi na kuchanganua aina za virutubisho kwenye vyakula vyote tunavyokula, ikiwemo vitamins, , madini na protini ili viweze kupenya kuingia kwenye damu na kisha kutumika na mwili.
Utajuaje kama mfumo wako wa chakula umeathirika na unahitaji marekebisho

Kupata ufahamu ni muhimu kujua nini chanzo cha kuharibika kwa mfumo wa usagaji wa chakula hata kukupelekea kuanza kuugua magonjwa ya lishe, baadhi ya visababishi ni

  • Upungufu wa nyuzinyuzi, matumizi ya vyakula vyenye sukari kwa wingi, vilivyosindikwa.
  • Matumizi ya dawa kwa mda mrefu kiasi cha kuharibu bacteria wazuri, madawa haya ni kama anti-aci, anti-inflamatory, dawa za kurekebisha homoni.
  • Matumizi ya vya vyakula vyenye gluten kwa wingi kama vyakula vya ngano ambavyo husababisha kutoboka kwa chekecheke, rejea maelezo ya awali
  • Ukuaji kupita kiasi wa bacteria wabaya kwenye utumbo mdogo na kuongezeka kwa vimelea na fangasi.
  • Ongezeko la Sumu mbalimbali na metali nzito kama mekyuri ambazo huharibu mfumo wako wa kuchakata chakula
  • Upungufu wa kemikali zinasovunjavunja chakula kitaalamu huitwa enzymes, hii yaweza kuwa ni kutokana na upungufu wa madini ya zinc, ama matumizi makubwa ya dawa za kupunguza asidi.
  • Stress ama msongo wa mawazo uliopitiliza uharibu mfumo wa utoaji taarifa wat umbo lako na hivo kultekeza maatizo kama leaky gut (kutoboka kwa chekecheke)

Dawa zetu Asili kwa changamoto za mfumo wa chakula

1.Aloe vera capsules

Sifa na faida za aloe vera capsules
  • Kutibu vidonda na michubuko kwenye njia ya chakula
  • Kuboresha mtiririko wa chakula tumboni na   kuongeza kasi ya utolewaji wa  sumu mwilini;
  • Kuondoa maumivu na kupunguza mcharuko au mpambano (inflammation) ndani ya mwili
  • Kupunguza gesi, na utindikali kupanda(acid reflux)
  • Kuondoa dalili za uvimbe na kuua vimelea na bacteria wabaya mfano H.Pylori ambao ndio chanzo cha vidonda vya tumbo.

Aloe vera capsule yafaa zaidi kutumika na makundi ya watu hawa

  • Watu wenye matatizo ya tumbo, kama kuharisha sugu, vidonda tumbo,kiungulia, na gesi tumboni
  • Watu wanaokosa choo kwa mda mrefu ama kupata choo kigumu
  • Watu bawasili/kuota uvimbe eneo la haja kubwa
  • Dawa hii ina vidonge 60 vilivyotengenezwa kiasili, vikiwa na nguvu/ strength ya 500mg, vinapataikana kwa gharama ya Tsh 75,000/=

2. Spirulina Capsules

Sifa na Faida za Sprulina Capsules
  1. Inasaidia kupambana na vimelea wabaya kama bakteria na fangasi
  2. Inaimarisha  kinga za mwili na kuharakisha kupona kwa vidonda
  3. inarekebisha acid tumbo na kuimarisha uchakataji wa chakula

Inafaa zaidi kutumiwa na

  • Watu wenye matatizo ya mifumo ya mmeng’enyo ya chakula na vidonda vya tumbo

Dawa inakuwa na vidonge 60 vyenye nguvu ya 500mg. Gharama ni Tsh 75,000/=

Ofisi zetu zipo Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai,
Chati na Muhudumu kwa Whatsapp kupitia namba : 0678626254 kuanza dawa

Share and Enjoy !

Shares
Shares