Virutubishi vya asili kwa ajili ya afya ya ubongo.
1.Deap sea fish oil
Sifa na faida za fish oil kwenye afya ya ubongo na moyo.
- Kupunguza kiwango cha lipids (mafuta kama cholesterol na triglycerides) kwenye damu,
- Kupunguza mpambano/mcharuko (inflammation) unaoendelea ndani kwa ndani kwenye mwili. mpambano huu huletekeza matatizo ya kiafya kama mzio, alegi na maumivu ya viungo
- kupanua na kulainisha mishipa inayobeba damu yenye oksijeni (ateri).
- walengwa: watu wenye matatizo ya moyo na ubongo (mfano kupoteza kumbukumbu)
- Gharama: Tsh 90,000/=, vidonge 100.
2.Super Coenzyme 10
Kazi na faida za super Coq10
- Ni antioxidants ambazo huzuia magonjwa yanayodhoofisha misuli ya moyo na ubongo
- Kuongeza stamina na kujenga mwili
- kirutubisho hiki kinawafaa zaidi : watu wenye matatizo ya kifafa, matatizo ya moyo kama myocardial infarction, shinikizo kubwa la damu, cholesterol nyingi na angina pectoris
- wagonjwa wanaotumia tiba ya chemotherapy na radiotherapy
- wagonjwa wanaopata ganzi mara kwa mara na waliowahi kufanyiwa upasuaji wa moyo.
Gharama: Tsh 85,000/= vidonge 60
3. Ginko biloba
Kazi Na Faida Zake kwenye afya ya ubongo
- Kuongeza uwasilishaji wa oksijeni kwenye ubongo na kuongeza kumbukumbu
- Kuzuia au kuponya matatizo ya maumivu ya miguu (intermittent claudication)
- Kurekebisha mafuta kwenye damu na presha
walengwa: wazee, wenye matatizo ya ubongo na moyo, wenye kinga ndogo, wenye kupoteza kumbukumbu na wanaopenda kuzuia uzee wa haraka.
Gharama: Tsh 85,000. vidonge 60