1. Kidney Tonfying (for male & female)
Viungo:Rhizoma Dioscoreae, Fructus Lycii, Radix Ginseng, Cornu Cervi Pantotrichum, Cortex Cinnamomi, Semen Euryales, Concha Ostreae. Flos Chrysanthemi .
Kazi Na Faida za kidney tonfying.
- Kuzipa nguvu figo na kuboresha ufanyaji kazi wa kuchuja
- Kuondoa sumu zilizojaa kwenye figo
- Kuboresha uwezo wa tendo la ndoa kwa wanaume.
- kuimarisha uzalishaji wa mayai kwa mwanamke
Kidney tonfying yafaa kutumiwa na
- Wanaume na wanawake wenye udhaifu wa kinga za mwili
- Wanaume na wanawake wenye tatizo la ugumba lililosababishwa na kupungua nguvu ya figo.
- Wanawake wanaopenda kuimarisha uwezo wa tendo la ndoa
- Wanawake wanaokosa hamu ya tendo na ndoa au kupata maumivu wakati wa ngono.
- Watu wenye matatizo ya figo na wingi wa uric acid
- Wagonjwa gout
Gharama Tsh 90,000/=, vidonge 100 : vya 500mg@
2.Cordyceps
Viungo:Cordyceps sinensis mycelium, Radix ginseng
Kazi na faida za Kutumia Cordiceps
- Kuongeza kinga dhidi ya mashambulizi ya vijidudu viletavyo maradhi;
- Kuboresha ufanyaji kazi wa figo, ini na mapafu
- Kutibu changamoto za figo kama mawe ya figona kufeli figo
- Kuongeza nguvu kwa wenye matatizo ya uchovu wa muda mrefu.
Cordyceps inafaa Kutumiwa na:
- Wanaougua magonjwa ya figo kama mawe ya figo(kidney stones) na kufeli kwa figo.
- Watu wenye udhaifu wa kinga;
- Watu wenye udhaifu katika ufanyaji kazi wa maini, mapafu, au figo;
- Wanariadha wanaohitaji nyongeza ya nguvu katika mwili.
- Wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume
Gharama Tsh 75,000/=, vidonge 60.
3.Kuding plus Tea
Kazi na faida za Kuding tea
- Kuimarisha mzunguko wa damu, kupunguza mafuta mabaya, sukari kwenye damu na shinikizo la damu
- Kusafisha mwili (dotoxification), na kuimarisha mfumo wa chakula
- Kuondoa maumivu ya machoa na muwasho kutokana na alegi ama maambukizi
- Kuimarisha kinga na kurekebisha uzito wa mwili
- Gharama ni Tsh 50,000/= sachet 20 @2.5g