Programu hii imeanzishwa mahususi ili kutatua changamoto ya wanawake kutokushika mimba kutokana na matatizo mbalimbali ya kiafya kama
- Kuvurugika kwa homoni za uzazi (hormonal imbalance)
- Uvimbe kwenye mfuko wa mayai (ovarian cyst)
- Uvimbe kwenye mfuko wa mimba (fibroids)
- Kulegea kwa kizazi
- kuchelewa kupevuka kwa mayai na
- uzalishaji hafifu wa mayai ya uzazi
Hivo hakikisha mpaka umetutafuta uwe umeshafanya vipimo hospitali ili kujua chanzo cha kutoshika ujauzito, tunashauri wenza wote mke na mume kufanya vipimo maana wote wanaweza kukutwa na matatzo ya kiafya. Baada ya zoezi la upimaji fika ofsini kwetu uonane na muhudumu ili uanze dozi yako haraka iwezekanavyo. Naamini nawe unapenda kufikia malengo yako mazuri ya kupata mtoto kama hawa wagonjwa wa hapa chini walivofanikiwa kupitia dawa zetu, soma shuhuda zao hapa chini.
Huduma zetu zinajumuisha ushauri wa bure pamoja na virutubisho viwili, hapa chini ni maelezo kwa kifupi ya utafiti wa tiba na virutubisho hivi viwili vya kusawazisha homoni za kike vilivyotengenezwa kwa mimea:
1.Zinc capsules
Kwa wanawake, MADINI YA ZINC yanahusika katika ukuuaji wa yai (oocyte). Kama mwanamke atakuwa na upungufu wa zinc, yai halitakomaa vizuri na utolewaji wa yai (ovulation) utazuiliwa , na kusababisha ugumba. Kiwango cha zinc cha kutosha kunamwezesha mwanamke kutumia estrogen na progesterone vizuri. hakikisha unapata virutubisho kutoka kwenye vyanzo vilivyothibitishwa.
2.Soy power capsules
vidonge hivi vilivyotengenezwa kiasili kwa kutumia viambata vya mimea ya Semen Glycine, Radiz Paeoniae Alba Eztractum na Ganoderma husaidia: kuongeza ufanyaji kazi wa mfuko wa mayai (ovaries) kuimarisha afya ya mifupa kwa wanawake waliokoma hedhi(menopause).