Categories
Dondoo za afya

Mafuta ya Black seed

mafuta tiba ya bawasili
black seed oil

Kwanza kabisa muhimu tufahamu bawasili nini na kitu gani kinapelekea
mtu kuugua bawasili na kukosa choo kwa muda mrefu ama kupata choo kigumu. Tafadhali soama makala yote mpaka mwisho nataka ujifunze kitu muhimu ili upone mapema.

Bawasili ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa. Na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.

Aina Za Bawasili.

Bawasili ya ndani

Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa wana tatizo hili. Bawasili hii inatokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa ateri za ndani ya mfereji wa haja kubwa

Aina hii imegawanyika katika madaraja manne

  1. Daraja la kwanza: Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pale panapohusika
  2. Daraja la pili: Hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyewe ndani baada ya kujisaidia.
  3. Daraja la tatu. Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe.
  4. Daraja la nne :Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi.

Bawasili ya nje

Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali. Dalili zingine ni kuwashwa mkunduni na hata husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka.

Nini Chanzo Cha Bawasili

Bawasili kwa kiasi kikubwa huletekezwa na kuongezeka kwa mgandamizo ama presha mara nyingi ni pale unapojikaza ili kutoa haja kubwa. Hivo bawasili huwatokea zaidi watu wenye matatizo ya mfumo wa umen’gemnyaji, mfano unapata choo kigumu, tumbo kujaa gesi, kukosa choo kwa siku kadhaa.

Wamama wenye ujauzito pia huwa kwenye hatari kubwa ya kupata bawasili. Hii ni kutokana na mtoto aliye tumboni kugandamiza tumbo la chakula na hivo kuathiri utoaji wa haja kubwa. Kwa bahati nzuri bawasili inayosababishwa na ujauzito huanza kuisha pale tu mama anapojifungua.

Watu wenye kitambi na uzito mkubwa pia wapo kwenye hatari kubwa ya kupata bawasili kutokana na mwili kushindwa kutengeneza nishati ya kutosha kusukuma uchafu kwenye utumbo.

Hatua Nne Za Kuzuia Kutokea Kwa Bawasili

  1. Kula mbogamboga za majani, na nafaka zisizokobolewa, matumizi ya vyakula vya nyuzinyuzi kwa wingi husaidia kuongeza ukubwa wa kinyesi na hivo kurahisha utolewaji wake.
  2. Tumia machungwa kwa wingi, machungwa yana kiungo kinachoitwa flavonoids, kiungo hiki ni muhimu katika ustawi wa mishipa ya damu ya vena mishipa hii ndio huathirika na kuletekeza bawasiri.
  3. Kunywa maji ya kutosha kila siku, tumia kiu na rangi ya mkojo kama kiashiria cha kiasi gani cha maji unatakiwa kunywa, kama mkojo ni wa rangi ya njano inayokolea basi ni kiashiria kwamba mwili hauna maji ya kutosha na unatakiwa kunywa. Nyuzinyuzi na maji ya kutosha husaidia kulainisha choo chako na hivo kurahisisha utolewaji wake bila kujikamua.
  4. Fanya mazoezi mara kwa mara hasa mazoezi ya squats kila siku asubuhi na jioni, yatakusaidia utolewaji mzuri kwa choo bila kujikamua. Tazama hapa chini nama ya kufanya squats.
mazoezi ya squats.

Tiba ya bawasili na Kukosa choo kupitia mafuta haya ya Black seeed.


Mafuta haya ya black seed yamekuwa yakitumika kwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita kutibu changamoto mbalimbali kama minyoo tumboni, maumivu ya kichwa pumu na kukosa choo.

Hivi sasa mafuta haya yameonekana kutibu magonjwa mengine zaidi kama bawasili, gesi tumboni, kuharisha na kuimarisha usagaji wa chakula tumboni.

Jinsi ya Kutumia Mafuta haya ya Black Seed.

  1. ili kutibu bawasili changanya chukua vijiko viwili vya mafuta ya black seed kisha changanya na apple vinegar vijiko vitatu kisha upakae eneo la haja kubwa penye uvimbe mara tatu kwa siku.
  2. Kutibu kukosa choo au choo kigumu, tengeneza chai yaani mchaichai+vinegar vijiko vitatu na mafuta ya black seed vijiko viwili na asali kijiko kimoja kisha kunywa mara tatu kwa siku.

Kumbuka kufanya upasuaji ama kukata hicho kinyama bado siyo suluhisho la moja kwa moja. Hakikisha unafata ushauri hapo juu na kutumia mafuta yetu haya ya black seed.

Kutokana na uhitaji wa mafuta haya kuwa mkubwa watu wengi wasio waaminifu wanatengeneza mafuta feki ya black seed ambayo hayatibu. Tumejitahidi kufanya utafiti na kuagiza mafuta kutoka Pakistan, ambayo ni salama na hayajachakachuliwa. Fika ofsini kwetu, ama tupigie kwa mkoani tukutumie mafuta yetu halali ya black seed.

Ofisi yetu ipo magomeni Bei ya Mafuta haya ni Tsh 40,000/= kwa dozi moja.
Tuandikie kwa whatsapp no 0746672914 kuanza tiba

Share and Enjoy !

Shares

3 replies on “Mafuta ya Black seed”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shares