1.Blueberry Eye care Softgel
Kazi na faida za Eye care kwa Mgonjwa wa Macho
- Kuimarisha afya ya mishipa midogo ya damu , kuondoa maumivu na ukavu wa macho
- Kutibu changamoto za mtoto wa jicho, macho kuwa mekundu(conjunctivitis) , kushindwa kuona usiku, na pia kushindwa kuona mbali (myopia)
- Inasaidia kulipa jicho virutubisho vinavyohitajika ili kuimarisha mzunguko wadamu kwenye macho.
- Inaimarisha uwezo wa kuona na ubora wa macho.
Eye Care Softegel inawafaa Zaidi Makundi haya
- Wagonjwa wa macho kama presha ya macho na ukavu wa macho
- Waathirika wa kisukari na kupelekea macho kushindwa kuona vizuri
- Watu wote wanaohitaji kukinga macho na kuzuia macho kuzeeka mapema
- Wanaotumia vifaa kama kumpyuta kwa muda mrefu
- Gharama ni Tsh 90,000/=
2.Green world Vitamin C Tablets
Kazi na faida za Vitamin C kwa Mgonjwa wa Macho
- Kuimarisha ufanyaji kazi wa lenzi ya macho. Tafiti zinasema matumizi ya Vitamin C yanaimarisha mzunguko wa damu kwenye macho na hivo macho kuona vizuri.
- Kusafisha sumu kwenye macho
- Kuondoa maumivu na muwasho kwenye macho
- Kuimarisha uwezo wa mwili kujisafisha na kutoa sumu (detoxification)
Gharama ni Tsh 50,000/=