Ni ipi dawa asili ya kutibu fangasi ukeni (vaginal candidiasis)

fangasi ukeni
fangasi ukeni

Asilimia 75 ya wanawake wote duniani wanasumbuliwa na tatizo la fangasi ukeni na wanatafuta dawa kila siku. Maambukizi haya ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke yakisababishwa kwa kiasi kikubwa  na fangasi aina ya Candida Albicans, na maambukizi haya pia hujulikana kama Yeast infection/Yeast thrush.

Fangasi Ukeni Husababishwa Na Nini? Je Kuna tiba?

Kikawaida vimelea hawa wa Candida Albicans hupatikana katika midomo, mpira wa kupitishia chakula (Pharynx), kibofu cha mkojo, uume au katika uke na kwenye ngozi pia.

Viumbe hawa huishi katika sehemu hizo bila kuleta  madhara isipokua pale mazingira ya eneo husika yanapobadilika. Mfano mabadiliko katika hali ya PH, tutambue PH ya mwanamke ndani ya uke ni 4.0-4.5 au uwiano wake na vimelea (microorganisms) wengine, hivyo huharibiwa kutokana na sababu mbalimbali.

Kupungua kinga husababisha fangasi ukeni

Pia kupungua kwa Kinga ya mwili kutokana na magonjwa mbalmbali huletekeza kukua kwa Candida. Ndiomaana wagonjwa wenye maradhi ya ukimwi na saratani ama wanaopata matibabu ya mionzi huwa kwenye hatari kubwa ya kuumwa fangasi ya Candida.

Candida pia hupatikana kwenye mdomo, tumbo, kwenye kwapa,  hivo pale inapotokea fangasi hawa wa Candida kuanza kukua kupita kiasi bila kudhibitiwa kitendo hicho huitwa Candidiasis ama Yeast infection. Matokeo yake ni mfululizo wa maambukizi na kuumwa kwa mwili .

Taarifa sahihi kuhusu ugonjwa

Bahati mbaya ni kwamba taarifa nyingi za mtandaoni zimekuwa zikipotosha pasipo kueleza kwa ufasaha juu ya tatizo hili na hivo kufanya uelewaji wa tatizo kuwa mgumu. Hivo kama unasumbuliwa na tatizo hili na unapenda kujifunza na unahitaji kujua kuhusu dawa asili ya fangasi sugu basi endelea kusoma makala hii kwa umakini mpaka mwisho.

Ni muhimu kuelewa kwamba kukua kupita kiasi kwa Candida siyo kwasababu Candida wanapatikana kwenye eneo husika, hapana. Na ndiomaana tatizo linakuwa gumu kutibika kutokanana na kwamba dawa nyingi huua Candida wote na kuua bacteria wazuri na hivo kuharibu msawazo wa mwili. Kumbuka uwepo wa Candida ni muhimu kwa ufanisi wa mwili.

Fangasi Ukeni (Vaginal Candidiasis)

Maambukizi ya fangasi ukeni yanaweza isiwe ugonjwa hatari pale unapoanza, lakini huleta usumbufu na harufu kali na hivo mgonjwa kukosa amani. Baadhi ya mambo yanayoongeza hatari ya kupata maambukizi ya fangasi ukeni ni ujauzito, kuumwa kisukari, kushuka kwa kinga ya mwili kutokana na kuugua magonjwa mbalimbali na pia matumizi yaliyokithiri ya dawa hasa zile za kuua bacteria/antibiotics.

Wanawake wapo katika hatari kubwa zaidi ya kuugua fangasi za sehemu za siri ukilinganisha na wanaume, lakini pia hata wanaume huambukizwa tatizo hili.

Je Upo Kwenye Makundi ya Tabia hizi Hatarishi Kupata Fangasi Ukeni?

Kwa wanawake kuna baadhi ya tabia hatarishi zinazoongeza chansi ya kupata maambukizi ya fangasi wa Candidiasis.

  • ngono mara kwa mara na watu tofauti tofauti bila kinga
  • kufanya ngono kupitia mdomo(oral sex)
  • matumizi makubwa ya kondomu wakati wa ngono
  • matumizi makubwa ya tissue za kujisitiri/ huitwa pantliners

Mambo mengine hatarishi yanayopelekea fangasi

  • matumizi yaliyokithiri ya antibiotics
  • kuugua kwa mda mrefu ugonjwa wa Kisukari.
  • kiwango kikubwa cha homoni za uzazi.
  • vinasaba na
  • uvutaji wa sigara

Hatua za maambukizi ya fangasi ukeni

1.Maambukizi yasiyo makali(uncomplicated thrush)
Katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi mara moja hadi nne kwa mwaka pia dalili zake huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa na fangasi aina ya Candida Albicans.

2.Maambukizi makali (complicated thrush)
Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na maambukizi mara nne au zaidi kwa mwaka. Pia dalili zake huwa ni za kuogopesha kama maambukizi yatakua yametokea kipindi cha ujauzito, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk

Vihatarishi vingine vya fangasi

  • Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambazo husababisha mabadiliko katika sehemu za siri
  • Magonjwa ya saratani ya tezi koo la Chakula (thyroid cancer)
  • Wanawake wenye umri wa miaka 20-30 wapo katika hatari ya kupata maambukizi haya wakati wale ambao wamekoma hedhi (menopause) na wale ambao hawajaanza kupata hedhi hawako katika hatari kutokana na mazingira na vitu wanavyotumia.
  • Matumizi ya vidonge vya majira
  • Msongo wa mawazo uliokithiri ;
  • Kujamiana kwa njia ya kawaida mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa (anal sex)
  • Matumizi ya vilainishi wakati wa kujamiiana husababisha maambukizi pia
  • Kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni (hormonal replacement therapy)
  • kuwa na utapiamlo (malnutrition), kuvaa nguo za ndani zisizo kauka vizuri na kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehemu za siri.

DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI UKENI 

  • Kuwashwa sehemu za siri
  • Kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana
  • Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation .
  • Kupata vidonda ukeni (soreness) .
  • Kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (labia minora
  • Kupata maumivu wakati wa kukojoa na
  • Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au mzito au majimaji
    NOTE :Dalili na viashiria hivi huwa mbaya zaidi mwanamke anapokua mwezini.

Matibabu ya Fangasi

Matibabu ya ugonjwa huu wa fangasi hupatikana hospitali  na kutolewa kupitia vipimo vya uchunguzi na majibu yalivyotoka. Pamoja na hayo matibabu ya ugonjwa huu hospitali sio ya uhakika kwasababu dawa za hospital hazitibu chanzo cha tatizo.

Hivyo ndio maana tatzo hili huwa linajirudia baada ya muda fulani, pia ugonjwa huu unaweza kujikinga nao kwa kuepuka mambo mbalimbali na kuzingatia kanuni ya afya na usafi.

  • Vaa nguo za ndani ambazo hazibani na zilizotengenezwa kwa pamba au Hariri
  • Epuka kufanya mapenzi na mpenzi wako mwenye maambukizi haya mpaka pale atakapotibwa na kupona kabisa.
  • Kula mlo wenye virutubsho muhimu.
  • Epuka kuoga maji ya moto sana (hot baths) tumia maji ya uvuguvugu
  • Osha sehemu zako za siri kwa kutumia maji safi na jikaushe kwa kutumia taulo au kitambaa safi.
  • Epuka mavazi yote ya kubana ukeni.
  • Kunywa maziwa aina ya mtindi yenye live culture mara kwa mara yatakusaidia kuepusha maambukizi ya fangasi ukeni.
  • Epuka matumizi ya vifaa vya kupanga uzazi na vifaa vya kufanyia mapenzi (sex toys, diaphragm cervical caps) husababisha maambukizi ya fangasi ukeni
  • Epuka kutumia sabuni za kemikali/dawa kuoshea ukeni.

Muhimu kwa Wagonjwa wa Fangasi ukeni

Kwa mwanamke mwenye changamoto ya fangasi sugu , tunashauri atumie Uterus cleansing pill kusafisha kizazi ili kuondoa maambukizi haya. Uterus cleansing pill (UCP) ni vidonge 2 vilivyotengenezwa kitaalamu kwa kuzingatia uasili wa dawa kutatua changamoto za wanawake kama kupata harufu mbaya ukeni, maambukizi ya fangasi na bacteria, PID na kuziba kwa mirija ya uzazi.

ucp

Vidonge vya Uterus cleansing vinatumika kwa wiki moja. Kidonge kimoja kinawekwa ukeni na kutolewa baada ya siku 3, kisha unapumzika masaa 24 ,unaweka tena kidonge kingine. Havitumiki kwa wajawazito, bikira na kipindi cha hedhi.

Gharama ya Vidonge ni sh 50,000/= kwa dozi moja inayotumika kwa week 1, Lakini kulingana na ukubwa wa tatizo lako tunaweza kushauri utumie dozi mpaka mbili kwa Tsh 100,000/=

Angalizo

Kuna wimbi kubwa la wajasiliamali mitandaoni wanauza vidonge vyenye mfanano na hivi vya UCP, tena wanauza kwa bei rahisi sana. Watu hao siyo madaktari wala siyo wataalamu wa afya na wanauza bidhaa feki ambazo ni hatari wa afya yako. Wengi wao hawana hata ofisi, ukipata madhara unakosa pa kuuliza. Kuwa makini na watu hao, wamejaa sana insta na fb.

Ofisi zetu zipo Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai,
Chati na Daktari kwa Whatsapp kupitia namba :0678626254 kupata Huduma

Share and Enjoy !

Shares

40 replies on “Ni ipi dawa asili ya kutibu fangasi ukeni (vaginal candidiasis)”

Baada ya kutumia hiko kidonge tatizo linaisha na visa na haliludi tena au,maana nimetumia dawanyingi sana lakini hakunakitu…

Yes,tunakupa uhakika wa kupona ndani ya wiki mbili ukianza kutumia dawa.

Tatizo litaisha kabisa Mariam, tuna shuhuda nyingi za watu waliopona fangasi kupitia dawa zetu. Karibu uwe mmoja wa mashuhuda wetu

Helo tutakushauri pia namna nzuri ya kujikinga usiugue fangasi kwa siku za baadae.

Uhakika wa kupona kabisa unaweza tumia doz ngap make nishatumia dawa nyingi bila mafanikio

tafadhali tupigie kwa namba zetu 0678626254 kupata maelekezo

Mim uke wangu unawasha nakutoa maji meupe pia umeyoka vinyama vinavi shikika je naweza patA tiba mana nimetumia dawa nying bil mafanikio

Utpata tiba na kupona, tafadhali tuandikie kwa whatsapp namba 0678626254.

Uke wangu umeota vinyama vyeupe kama uyoga, je tiba yake ni dawa gani?

Tuandikie whatapp kwa namba 0678626254 upate msaada wa haraka

Tafadhali rudia tena kusoma makala yetu ina maelezo ya dawa pia

Kuna dawa za kumeza tutakupa Samia, tupigie kwa namba zetu 0678626254

Dawa tutakutumia mpaka songwe, tupigie kwa namba 0678626254.

Mimi kuna dada yangu unasumbuliwa na tatizo hili la fangasi na yupo mazingira ya kijijini sana je naweza nikatumia dawa gani ya asili ili nimsaidie dada yangu.
Please naombeni msaada

tafadhali mpeleke hospital ya karibu yake apate huduma

karibu tukuhudumie, tiba zetu asili ni hakika zinaleta matokeo

Jaman Mimi Kila nikifanya tendo naumia Kuna sehem akigusa panauma sana Naomba msaada

je kutokwa majimaji kwenye maziwa nalo ni tatizo?na linaweza kusababisha mwanamke kutoshika ujauzito ba nn chanzo cha tatizo hilo NZ je linatibikaje?

Iwe kweli jamani watu wanaachika kwasababu wanaume zao wanajua wanasalitiwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shares