Virutubisho kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili na kuzuia maambukizi ya mara kwa mara ya bacteria, virusi, fangasi na vimelea wengine.
1.Garlic Oil Softgel
Kazi na faida za Garlic oil Softgel
Kuua aina nyingi za vimelea kama bakteria wabaya, amiba, na fangasi
Kupunguza mafuta mabaya kwenye damu (bad cholesterol)
Kuimarisha kinga ya mwili
Kurekebisha shinikizo la damu na hivo kulinda mfumo wa usafirishaji damu
Garlic oil softgel inawafaa zaidi wenye magonjwa kama fangasi, PID, UTI na shinikizo kubwa la damu
Gharama Tsh 75,000/=, vidonge 60
2. Propolis plus Capsule
Kazi na faida za Propolis
Kuangamiza na kuzuia kukua kwa bakteria wa aina nyingi na maambukizi ya virusi
Kuinua kiwango cha lishe na afya kwa ujumla na kuimarisha kinga ya mwili. Inafaa Kutumiwa Kwa:
Watu wenye maambukizi sugu (bakteria, fungus na virusi)
Watu wenye upungufu wa kinga za mwili
Watu wenye matatizo ya kukauka kwa koo, matatizo ya conjunctiva za macho (conjunctivitis), sinus congestion, mafua, influenza, bronchitis, matatizo ya masikio, matatizo ya fizi na eneo linalozunguka meno, pneumonia, maambukizi kwenye nyongo, vidonda vya tumbo, maambukizi ya njia ya mkojo, matatizo ya utumbo na magonjwa ya ngozi. Gharama Tsh 90,000/=, vidonge 60
3. Ganoderma
Kazi na faida za Ganoderma
Kuimarisha kinga za mwili na hivyo kuzuia kansa na maambukizi ya fangasi na bacteria.
Kupunguza madhara yatokanayo na tiba za mionzi na chemotherapy (kama kutapika, maumivu, upungufu wa chembechembe nyeupe za damu, kutoota nywele, uchovu, n.k.); kuongeza kasi ya uponyaji baada ya tiba za mionzi na chemotherapy;
Kuongeza kinga za mwili; kupunguza makali ya brochitis sugu, pumu na mzio. Yafaa zaidi Kutumika Kwa: