1.Livergen
Viungo: Cassia Seed, Fructus Lycii, White Chrysanthemum, Root of Dahurian Angelica, Rhizoma Dioscoreae, Dandelion
Kazi na Faida za livergen :
- Kuchochea utoaji sumu mwilini
- Kuboresha mzunguko wa damu ndani ya mishipa midogo ya ini na kuimaarisha utendaji wa ini
- Kusaidia ujenzi wa seli mpya za ini
- Kupunguza kasi ya kuharibika kwa ini (liver cirrhosis) kunakochangiwa na ini kuwa na mafuta, hepatitis na utumiaji wa pombe
- Kuzuia uharibifu wa ini kutokana na kemikali, metali nzito, madawa, sumu ndani ya chakula na vichafuzi vingine.
Inafaa Kutumika Kwa:
- Watu wanaotaka kuondoa sumu katika miili yao na kusafisha ini
- Watu wenye matatizo ya ini kama mafuta (Fatty liver),homa ya ini(hepatitis), homa ya nyongo ya manjano (jaundice), liver cirrhoses na magonjwa mengine ya ini
- Watu wenye magonjwa ya nyongo (cholecytitis), mawe ya nyongo (gallstone), wenye homa ya nyongo ya manjano au wenye matatizo mengine ya nyongo
- Watu wanotumia sana pombe
- Watu wanaoishi na kufanya kazi kwenye mazingira hatarishi kama kiwandani
Gharama ya Livergen ni Tsh 90,000/= vidonge 60 .vyenye uwezo wa 500mg@
2. Cordyceps
Viungo: Cordyceps sinensis mycelium, Radix ginseng
Kazi na faida za Cordyceps
- kusafisha na kuimarisha ini na figo
- kuimarisha kinga na kusaidia upumuaji mzuri
Cordyceps inafaa zaidi kwa
- wanaotaka kusafisha mwili na kutoa sumu
- wenye changamoto za figo na ini
- Watu wenye udhaifu wa kinga; mfano wenye magonjwa kama , mafuta kwenye ini, TB, Ukimwi na
- wanaotumia tiba za Chemotherapy na Radiotherapy.
- Watu wenye udhaifu katika ufanyaji kazi wa maini, mapafu, au figo;
- Wanariadha wanaohitaji nyongeza ya nguvu katika mwili.
Gharama ya Cordyceps ni Tsh 75,000/=, vidonge 60
3.Lecithin
- Kulilinda ini na kusaidia ufanyaji kazi wa ini.Kuimarisha mfumo wa neva na kuboresha ubongo;
- Kupunguza kiwango cha lipids katika damu kwa kubadilisha mafuta mabaya (LDL) kuwa mafuta mazuri (HDL);
Lecithin inafaa zaidi kutumika na
- Watu wanaohitaji kuboresha kumbukumbu na umakini wa ubongo
- Watu wenye uwingi wa mafuta mabaya kwenye damu matatizo ya ini, moyo na ubongo
- Watu walio katika hali mbaya au wenye matatizo ya muda mrefu ya mafuta kwenye ini, homa ya ini (hepatitis) na liver cirrhosis.
- wanaohitaji kusafisha na kuimarisha uwezo wa ini
Gharama Tsh 85,000/= vidonge 100, 1.2gm@