Virutubisho vya ubongo

Virutubishi vya asili kwa ajili ya afya ya ubongo.

1.Deap sea fish oil

Sifa na faida za fish oil kwenye afya ya ubongo na moyo.

  • Kupunguza kiwango cha lipids (mafuta kama cholesterol na triglycerides) kwenye damu,
  • Kupunguza mpambano/mcharuko (inflammation) unaoendelea ndani kwa ndani kwenye mwili. mpambano huu huletekeza matatizo ya kiafya kama mzio, alegi na maumivu ya viungo
  •  kupanua na kulainisha mishipa inayobeba damu yenye oksijeni (ateri).
  •  walengwa: watu wenye matatizo ya moyo na ubongo (mfano kupoteza kumbukumbu)
  • Gharama: Tsh 90,000/=,   vidonge 100.

2.Super Coenzyme 10

super-coq10

Kazi na faida za super Coq10

  • Ni antioxidants ambazo huzuia magonjwa yanayodhoofisha misuli ya moyo na ubongo
  • Kuongeza stamina na kujenga mwili
  • kirutubisho hiki kinawafaa zaidi : watu wenye matatizo ya kifafa, matatizo ya moyo kama myocardial infarction, shinikizo kubwa la damu, cholesterol nyingi na angina pectoris
    • wagonjwa wanaotumia tiba ya chemotherapy na radiotherapy
    • wagonjwa wanaopata ganzi mara kwa mara na waliowahi kufanyiwa upasuaji wa moyo.

Gharama: Tsh 85,000/= vidonge 60

3. Ginko biloba

ginko biloba
Kazi Na Faida Zake kwenye afya ya ubongo
  • Kuongeza uwasilishaji wa oksijeni kwenye ubongo na kuongeza kumbukumbu
  • Kuzuia au kuponya matatizo ya maumivu ya miguu (intermittent claudication)
  • Kurekebisha mafuta kwenye damu na presha

walengwa: wazee, wenye matatizo ya ubongo na moyo, wenye kinga ndogo, wenye kupoteza kumbukumbu na wanaopenda kuzuia uzee wa haraka.

Gharama: Tsh 85,000. vidonge 60

Share and Enjoy !

Shares
Shares