Logo yetu ina herufi mbili na ua la kijani, herufi L ikisimama badala ya neno linda, na A ikisimama badala ya neno afya, ambayo kwa pamoja ni jina la website yetu, ua la kijani linawakilisha uasili wetu katika kutoa huduma, tukilenga zaidi Tiba asilia zisizo na kemikali ama Tiba lishe.